Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

Israel itayakalia mataifa ya kiarabu hivi karibuni

Chief
Hajachomoka ndg hapo
Bali nimemuona moja ya udhaifu wake,ni matusi na aina fulani ya dharau

Una haki ya kusema hajachomoka maana ni maoni yako..u are entitled of that sir..

Yeye kaona nimechomoka,na ni haki yake..sasa sijui wewe una madaraka gani ya kumpangia cha kusema?

Udhaifu ni tabia ya binadamu..Ina maana Im doing a great job of being a human being....na wewe pia una madhaifu..Hivyo ngoma droo..Sie ni nyani tunao nana makundu yetu tu!

So,whadduup my nyuigah?
 
Kama hujaona pre-christianity mind control kwa huyu mtu basi utakua mnafiki!
Just honest for once people!
I will be very honest with you. yaweza kuwa unachanganya mambo mawili.
1. Unamtambua huyu jamaa kama christiani.
2. Unalitambua Taifa la Kiisrael kama la kikristo.

Ama sivyo jamaa kajitahidi sana kuweka kando mambo ya kiimani kwenye hoja yake.
 
What the fu.ck are those assertions?

I aint here talking christianity and blah blah of any religion!

They aint worth my shells!

Mzee sina muda wa kuongelea anything about dini...ni stori za kusadikika!I wish I can be able to discuss with you but Im sorry!

Talk to somebody else!

Thank you for a discussion opportunity though!
 
Nyie mnaoamini sina shida na nyie...nyie tayari mna imani zetu..

Ninachokichukia ni wale wanaokuja nyuma ambao hawajaamini mnapowalazimisha waamini mnachokiamini...Those are the ones I can talk to and make them think twice before kuamini bila reasoning...

Wewe na wenzako mnaotoka unga wa kuamini sina haja na nyie!tayari mna yenu,kuwabadili is the waste of time!

Mfano wa daraja ni wa kitoto sana maana determining factor ya kujua ukweli is just TIME!Soon utaliona na kujua lipoje!

Tatizo nyie time kwenu ni infinity hivo ni useless,mnabkia na imani tu...Imani zingine ni lethal in such a way zinaleta maumivu kwa wanadamu...Thats ridiculous !
Umedai suala la daraja ni lakitoto lakini umeshindwa kulijibu.
Utapinga kuvunjika kwa daraja kwakuwa tuu hujaliona? Au utasubiri kwanza upate uthibitisho?
Kipi kitatangulia,kuthibitisha au kupinga?
 
Umedai suala la daraja ni lakitoto lakini umeshindwa kulijibu.
Utapinga kuvunjika kwa daraja kwakuwa tuu hujaliona? Au utasubiri kwanza upate uthibitisho?
Kipi kitatangulia,kuthibitisha au kupinga?
Nimejibu...read between the lines!

Nimesema ningehakikisha kwa time kwa kwenda pale physically as it is within my reach....time ya kwenda ninayo,ndio nikasema ingekua factor..

Kama sina uwezo wa kwenda ningetuma mtu....au ningetumia technology,google earth ningeona everything in realtime...

Sina haja ya kwenda popote...Google earth would prove 'eeerthang to me!
 
Safi kabisa.
Kama huwezi kumuamini Mungu mpaka umuone, mbona hutaki kupitia hatua za kumuona kisha ndio upinge? Wewe unapinga kabla hujajaribu kumtafuta. Huoni hujitrndei haki we mwenyewe? Pia unatukosea sisi tunaoamini kwakutuita wapumbavu!
 
What the fu.ck are those assertions?

I aint here talking christianity and blah blah of any religion!

They aint worth my shells!

Mzee sina muda wa kuongelea anything about dini...ni stori za kusadikika!I wish I can be able to discuss with you but Im sorry!

Talk to somebody else!

Thank you for a discussion opportunity though!
Its you talking Christianity, no one else.
 
Kama huwezi kumuamini Mungu mpaka umuone, mbona hutaki kupitia hatua za kumuona kisha ndio upinge?
Hizo njia ni zipi?Wewe ulishazipitia ukamuona?Nipe ushahidi wako kwanza
Wewe unapinga kabla hujajaribu kumtafuta.
Napinga sababu hayupo....yuko wapi sasa?Hizo habari za eti ukifa utamuona ni makisio pia kutoka kwenu,hamna aliewahi kwenda akarudi,yanini mnabuni?
Pia unatukosea sisi tunaoamini kwakutuita wapumbavu!
Ni kweli ni wapumbavu maana ni ajabu kwa miaka bil4 bado mnaamini kitu ambapo hamjawahi kukiona wala hakiwahi kuongea na nyie na hamna aliewahi kwenda kwake (as if kupo) akarudi akawaambia atleast aliongea nae na akamuona.
 
Hizo njia ni zipi?Wewe ulishazipitia ukamuona?Nipe ushahidi wako kwanza

Napinga sababu hayupo....yuko wapi sasa?Hizo habari za eti ukifa utamuona ni makisio pia kutoka kwenu,hamna aliewahi kwenda akarudi,yanini mnabuni?

Ni kweli ni wapumbavu maana ni ajabu kwa miaka bil4 bado mnaamini kitu ambapo hamjawahi kukiona wala hakiwahi kuongea na nyie na hamna aliewahi kwenda kwake (as if kupo) akarudi akawaambia atleast aliongea nae na akamuona.
Mpumbavu zaidi ni yule anayepinga kitu bila utafiti. Bali kwakuiga wapuuzi.
Eti nikupe uthibitisho wangu kwanza,huoni unajiyekenya na kujichekesha mwenyewe!?
Wewe ndio unakataa. Nimekupa njia za kumuona Mungu hutaki. Unataka mi nijisumbue kwenda kumuona ili nikusaidie kuproof!!!?
Hiyo. Ni sawa na mgonjwa wa malaria kufika hsptl akaambiwa apime akagoma tena kwa kashfa halafu akajisifu hana malaria,kisa hajaona vijidudu
 
Kaka, usiwahi kujibu kwa haraka. hii ni hoja mpya na inahitaji kuitafakari kwa mfumo tofauti na huu unaotumika hapa kujadili matatizo yanayolikabili eneo hilo la dunia.

Mimi nakubaliana na jamaa kwa sababu zifuatazo.
Kwanza: Iran sio Taifa la Kiarabu na hata uislamu wao sio real kama inavyodai yenyewe, kuna masecular wengi sana pale iran kuliko mataifa yote pale yanayojitambulisha kama ya kiislamu.

Pili: Ugomvi hasa wa Israel ni Iran ni FAKE: Hawana sababu za msingi zaidi ya Kiongozi mmoja wa Irani kudai siku moja kwamba Iran itaifuta Israel kutoka kwenye uso wa dunia, hawana mpaka mmoja, zaidi, kabla ya hapo walikuwa ni maswahiba wakubwa.

Tatu: Iranian Jews; Pale Iran kuna Majews wengi sana, hawa ni waisrael, na nadhani ndio wanaoinjinia haya mambo pale iran, ama sivyo hao tunaowaita waajemi wasingekuwa na ujanja ujanja tunaoujua wa iran.

Nne: Inakuingia akili vipi Kila wanachofanya Iran pale Syria dhidi ya kinachosemwa ni Israel kinatibuliwa na Israel, yaani uharibu wote wa vifaa vya iran pale sysria, wairan hawajawahi kuona umuhimu wa kuishambulia israel hata kidogo mpaka leo, hata kutokea ndani ya Syria.
SASA si useme tuu kuwa wale walioko Palestina ndio jews,hawa wa akina Netanyau wala sio waisrael ni wavamizi tuu(zionist)
 
Mpumbavu zaidi ni yule anayepinga kitu bila utafiti. Bali kwakuiga wapuuzi.
Eti nikupe uthibitisho wangu kwanza,huoni unajiyekenya na kujichekesha mwenyewe!?
Wewe ndio unakataa. Nimekupa njia za kumuona Mungu hutaki. Unataka mi nijisumbue kwenda kumuona ili nikusaidie kuproof!!!?
Hiyo. Ni sawa na mgonjwa wa malaria kufika hsptl akaambiwa apime akagoma tena kwa kashfa halafu akajisifu hana malaria,kisa hajaona vijidudu

Hovyo sana!

Ungekua nayo huo uthibitisho ungeutoa,huna ndio maana una makelele na kujitia kujenga hoja zina run circles!

Njia za kumuona Mungu ndio hizo za kufa?Nani alishaenda huko akasema alimuona?Au na wewe unabashiri?Mbona unakua mnafiki namna hii?!Sio wewe,wewe ni useless,any human hajawahi tokea akadhibitisha hili,na hatakaa atokee!So far hakuna,kama yupo mtaje!

Ulivyo wa hovyo vidudu vya malaria vinaonekana,thanks to scientists na sio wewe!....Unadhani backteria wanaonekana kwa macho?!Such an ignorant fella!

Kaumwe usiende hospitali nenda kwenye kinyumba kinaitwa kanisani halafu ukipona uje hapa na ushahidi!
 
Khe khe khe khe the

Hapo mwisho nimecheka sana mkuu,
Yani una vijidudu saba kwenye blood alafu ukache kwenda Hospital ili umfuate Gwajima kanisani kwake akuponye...
Aiseee
 
Back
Top Bottom