Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,399
- 2,237
Hujajibu swali embu jikite kwenye kujibu swali nimekuuliza hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua ? Mbona wameua raia na wameteka raia hizi sheria zenu mnazomkosoa israel huwa haiwahusu hamas?Kwa hiyo watoto na akina mama wa Gaza ni Hamas!?..hicho kichwa au boga lisilo na MBEGU!?..na unadhani wakati sheria za vita zinawekwa hawakujua kwamba waanzisha Vita ni wengine na si wanawake na watoto!?.. Israel kazikubali hizo sheria,anatakiwa kuzifuata,siyo unawakosa Hamas unamdungua bibi na wajukuu zake wanaokimbia makombora yako!!