Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

Kwa hiyo watoto na akina mama wa Gaza ni Hamas!?..hicho kichwa au boga lisilo na MBEGU!?..na unadhani wakati sheria za vita zinawekwa hawakujua kwamba waanzisha Vita ni wengine na si wanawake na watoto!?.. Israel kazikubali hizo sheria,anatakiwa kuzifuata,siyo unawakosa Hamas unamdungua bibi na wajukuu zake wanaokimbia makombora yako!!
Hujajibu swali embu jikite kwenye kujibu swali nimekuuliza hamas walipoivamia israel october 7 walichagua wakuwaua ? Mbona wameua raia na wameteka raia hizi sheria zenu mnazomkosoa israel huwa haiwahusu hamas?
 
Na unaona sijajibu swali!!..we ni bogus..haya sema kwa nini sheria za vita ziliwekwa!?..maana hata adui akijisalimisha hutakiwi kumuua Wala kumtesa(pow),adui yule yule aliyeanzisha Vita na kuua wenzenu
 
Kama hamas wanavaa kiraia kipindi cha vita na wanatangaza vifo vya magaidi wao kama vifo vya raia sisi tutajuaje huyu ni raia au ni hamas wajitofautishe wenyewe na raia
Ukiona pahala umeshindwa akili basi kubali tu kuwa akili yako sio mwisho wa kila kitu.
Ufaransa iliposhindwa akili kule Niger waliamua kuondoka zao.
Ukaidi na kiburi cha mayahudi mwisho ni maangamizi kwa wote na aibu.
 
Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!

Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.

Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Si uhamie kabisa huko Gaza kwa ndugu zako
 
Kuna wapuuzi wanaona sifa kushabikia hii vita kupitia dini zao ni upumbavu mtupu na ujinga,wale wakazi wa gaza wanapitia wakati mgumu sana kwa sasa mahitaji muhimu kama chakula ,madawa , maji safi na mengineyo hawapati kutokana na hii vita imewaathiri sana kwa kosa lililofanywa na hamas.
Hamas pia hawakutegemea huu mpango kazi wao ungefeli na kuleta madhara makubwa kwa wapelestina.
 
Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi!

Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi wawaombe kwa njia ya mazungumzo.

Kioja kikubwa zaidi itakuja siku ya kukabidhiwa mateka hao. Watagundua walikuwa chini ya miguu yao lakini hawakuweza kuwaona.
Na wewe umekuwa kipofu! Umekuwa mpumbavu, wala huoni, hao mateka na idadi wa wapalestina waliokufa na kujeruhiwa ni sawa !
 
Hadithi yako ndio hiyo hiyo kila siku.Kujificha nyuma ya wanawake na watoto.
Wanajificha ndani ya mahandaki na Israel hawajaweza kupenya kwenda kuwafuata.
Ulitaka wajitokeze uwanjani wote halafu wapigwe hiyo carpet bombs.
Ama yanayohusu ICJ,ndio uone sasa Israel inavunja amri ya mahakama wazi wazi.Mbona umelikalia kimya kama unajali kufuata sheria na kanuni za vita.

Ingelikua hamjifichi nyuma ya watoto mngefyekwa kitambo, magaidi wengine wa Kiislamu hupambana wao kama wao, ila hawa Hamas ni waoga wa kufa mtu.
 
Hakuna mateka aliye hai
Tusubiri siku Israel imetia saini kusubiri mateka halafu hakuna kitu.Itakuwaje kule Telaviv
Na iwapo wataambiwa wakawapokee mtaa wa Zeitun kule Gaza city sijui nani atawaamini tena Israel katika kupigana na Hamas
 
Kwa hiyo watoto na akina mama wa Gaza ni Hamas!?..hicho kichwa au boga lisilo na MBEGU!?..na unadhani wakati sheria za vita zinawekwa hawakujua kwamba waanzisha Vita ni wengine na si wanawake na watoto!?.. Israel kazikubali hizo sheria,anatakiwa kuzifuata,siyo unawakosa Hamas unamdungua bibi na wajukuu zake wanaokimbia makombora yako!!
Sheria ya kimataifa inakataza kuua, kumfanya ngao,au kumfanya mateka Raia wa kawaidi ambae hausiki na jeshi Lakini hivi vyote Hamas wamevifanya

Mpaka February hii watoto wadogo kina mama na wazee waliuwawa na wengine kufanywa mateka mpaka muda huu una ongelea vipi hili?
 
Na unaona sijajibu swali!!..we ni bogus..haya sema kwa nini sheria za vita ziliwekwa!?..maana hata adui akijisalimisha hutakiwi kumuua Wala kumtesa(pow),adui yule yule aliyeanzisha Vita na kuua wenzenu
Kwa nini hamas hawakuheshimu sheria za vita 07 Oktoba?
 
Sheria ya kimataifa inakataza kuua, kumfanya ngao,au kumfanya mateka Raia wa kawaidi ambae hausiki na jeshi Lakini hivi vyote Hamas wamevifanya

Mpaka February hii watoto wadogo kina mama na wazee waliuwawa na wengine kufanywa mateka mpaka muda huu una ongelea vipi hili?
Mbona unajichanganya!?..soma tena ulichoandika
 
Mkipigwa mnalia lia na kwenda ICJ, Israel ikisitisha basi itafutwe namna nyingine mnajipiga kifua na kuchekelea.
Ifahamike Israel wamekua wanatafuta kila namna ya kuepuka kuua watoto ambao mumejificha nyuma yao, maana dunia itapiga makelele sana.
Nafuu yenu sio Urusi au China, maana wale hupiga carpet bombing bila kujali kiumbe gani au nini. Uwezo ambao Israel wanao pia, tena wana uwezo wa kufagia hiyo Gaza kwa masaa ibaki shamba, ila wanapiga huku wakiwapa chakula cha misaada na mengine....wako makini sana, sema magaidi ya hiyo dini hawana huruma au akili, wanajificha hyuma ya waoto.

Nchi inanuka mavi kwa wasenge

https://blogs.timesofisrael.com/israel-is-the-gayest-country-on-earth/
 
Jibu hivyo hivyo swali lilivyo ulizwa na jinsi ulivyo elewa
Sijaelewa ndiyo maana nimeuliza,maana wanaoua watoto na wanawake ni IDF,kwa kisingizio Cha Hamas kujificha nyuma yao,walidai Hadi Hamas kujificha hospital,hawajatoa ushahidi wowote,yule bibi na wajukuu zake waliuawa na IDF,alikua kawakinga Hamas?..yule Binti mdogo Hindi aliyedunguliwa kwenye gari baada ya wazazi wake kufa kwa kombora la IDF alikua kawakinga Hamas!?
 
Back
Top Bottom