Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,737
- Thread starter
- #201
tone na bahari
OTIS
Tone nani na bahari nani?
tone na bahari
OTIS
Nikuulize wewe ulimaanisha nini...
asa mbona ulipinga?
Who will care for air defence when the aircraft is not on flight, a plane is shot down when is on flight not when it has landed. Unajua kuwa air force one haiwezi kutungulika? unajua what air defence system Air force and air force two has one have?
Kalaghabakho!!!Hata South Korea wanabebwa na US! Hata Saudi Arabia wanabebwa na US. Hata Kuwait wanabebwa na US.
US inabeba nchi nyingi sana. Sasa huwezi kusema kila nchi inayobebwa na US kuwa hiyo ndiyo yenye nguvu. Nchi yenye nguvu ni ile inayoibeba nchi ingine.
Kwa US, Israel ni kiroboto. Haifui dafu kwa lolote.
MKUU Kabla ya research tufanye simple logic. unamaanisha kuwa ndege haiwezi kushambuliwa iwapo ardhini? Mbona Israel ililipua ndege Misri wakati zinajiandaa kwenda kushambulia? Sina hakika kitu gani kinasemwa na kujadiliwa hapa, ila nahisi kana kwamba tunajadili ushabiki zaidi ya uhalisia. Hata wale wanaosema research wanaweka ushabiki/unazi badala ya kutoa maelezo na wawaachie wengine wahitimishe/conclude
Nyani Ngabu,bila shaka ulishawahi kwenda USA. Ukaona kama upo Mbinguni
MKUU Kabla ya research tufanye simple logic. unamaanisha kuwa ndege haiwezi kushambuliwa iwapo ardhini? Mbona Israel ililipua ndege Misri wakati zinajiandaa kwenda kushambulia? Sina hakika kitu gani kinasemwa na kujadiliwa hapa, ila nahisi kana kwamba tunajadili ushabiki zaidi ya uhalisia. Hata wale wanaosema research wanaweka ushabiki/unazi badala ya kutoa maelezo na wawaachie wengine wahitimishe/conclude
Haya, wale wanazi wa Israel njooni muelezee hii ya wao kuomba silaha toka kwa Marekani. Si mnadaigi Israel ni super power....come and rationalize this one now!
Narudia tena, THE UNITED STATES OF AMERICA IS THE ONLY WORLD's SUPER POWER na kukilinganisha ki-Israel na Marekani ni sawa na kulinganisha kiroboto na tembo.
Wewe umewahi kwenda USA au Israel?
Wewe nyani mimi sijakuelewa hapo! Yaani point yako nini?
Point yangu ni kwamba, Israel sivyo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodai. Kuna watu wamewahi kudai humu tena bila aibu kuwa Israel ni super power, kuwa jeshi la Israel ndo jeshi lenye nguvu zaidi duniani, na claims nyingine kama hizo zisizo na kichwa wala miguu.
Umeelewa wewe Thinkpad?
Israel ni super power arifu.....ni taifa la Mungu hakun a awezaye kulingusha hata iweje arifu......marekani ni subset ya israel..most ya super people wa US ni wayahudi...tatizo lako unaangalia sana music chanel na kusoma tabloid papers....Chezeya Marekani uchanike msamba!
Israel ni super power arifu.....ni taifa la Mungu hakun a awezaye kulingusha hata iweje arifu......marekani ni subset ya israel..most ya super people wa US ni wayahudi...tatizo lako unaangalia sana music chanel na kusoma tabloid papers....
Acheni kudhalilisha utukufu wa Mungu. Taifa la Mungu linaogopa nuclear!!!!, taifa la Mungu likisikia tu nchi x ina silaha Fulani haraka wanakimbilia kuomba msaada!!!!, taifa la Mungu linatumia mabomu ya sumu kuwashambulia watu wasio na silaha!!!! Taifa la Mungu linahifadhi mamia ya silaha za nuclear lakini halitaki mwingine awe nazo!!!!, Taifa la Mungu lilisema Saddam ana WMD kumbe linasema uwongo. Taifa la Mungu linapora ardhi kwa wasiopatiwa silaha na Marekani. Tafakari vizuri.Israel ni super power arifu.....ni taifa la Mungu hakun a awezaye kulingusha hata iweje arifu......marekani ni subset ya israel..most ya super people wa US ni wayahudi...tatizo lako unaangalia sana music chanel na kusoma tabloid papers....
Ni taifa la Mungu ambaye nadhani ni wa tofauti na Mungu wa hao wanaopigana nao.Acheni kudhalilisha utukufu wa Mungu. Taifa la Mungu linaogopa nuclear!!!!, taifa la Mungu likisikia tu nchi x ina silaha Fulani haraka wanakimbilia kuomba msaada!!!!, taifa la Mungu linatumia mabomu ya sumu kuwashambulia watu wasio na silaha!!!! Taifa la Mungu linahifadhi mamia ya silaha za nuclear lakini halitaki mwingine awe nazo!!!!, Taifa la Mungu lilisema Saddam ana WMD kumbe linasema uwongo. Taifa la Mungu linapora ardhi kwa wasiopatiwa silaha na Marekani. Tafakari vizuri.
Acheni kudhalilisha utukufu wa Mungu. Taifa la Mungu linaogopa nuclear!!!!, taifa la Mungu likisikia tu nchi x ina silaha Fulani haraka wanakimbilia kuomba msaada!!!!, taifa la Mungu linatumia mabomu ya sumu kuwashambulia watu wasio na silaha!!!! Taifa la Mungu linahifadhi mamia ya silaha za nuclear lakini halitaki mwingine awe nazo!!!!, Taifa la Mungu lilisema Saddam ana WMD kumbe linasema uwongo. Taifa la Mungu linapora ardhi kwa wasiopatiwa silaha na Marekani. Tafakari vizuri.
Acha uwongo wewe Natanyahu aliishi Marekani akiwa mdogo ndo maana ana hiyo accent.hata ukisikia Waziri Mkuu wao wa sasa anaongea unaona amekopi hata accent ya sehemu fulani ya Marekani