Israel inaomba silaha!!

Bongolander,nina wasiwasi na uwezo wako wa kuelewa na pia wa kufikiri, na hili ni janga la kitaifa kuendelea kuruhusu watu wenye mawazo finyu kama wewe kupewa nafasi ya kuandika upuuzi wa namna hii.1 Mtanzania mkristo kujipa jina la kiyahudi kuna tatizo gani?, 2.kuhusu Israel kuwa Taifa teule si Maneno ya Mlokole bali ni maneno katika Biblia takatifu (ningekuelewa iwapo ungeongelea tafsiri ya huyo mlokole unaemsema kuh andiko hili),3. Unasema kuna watu wanaisifu Israel ila wakienda huko wanatukanwa? na nani? na kwa nini na huyo Mtz klaenda Israel kwa ishu gani? lazima uwe specific,bse kama ni ishu ya ubaguzi kwa watu weusi basi Uarabuni na Ujerumani ndo wanaongoza na mataifa ya Ulaya.4 Unaema bible ndo sourse ya Ed kwa Walokole are you sure,unamaana walokole hawana Elimu dunia au?,pia unasema Elimu hiyo ya Biblia hawajali ni ya mwaka gani? kwani nani alikuambia kwamba elimu ya Bible inabadilika kutokana na mwaka?hiyo inanipa mashaka kuh elimu yako,5.Pia unasema wanadhani waziri mkuu wa Israel ni Musa? wewe katika elimu yako ndogo hiyo ya darasa la saba kuna kipindi ulishawahi kufundishwa kwamba katika mawaziri wakuu waliopata kuongoza Israel ni Musa? na waziri wa fedha ni Yuda?...kama hujui jambo jaribu kuomba ushauri kabla hujaliandika au kulisema.

nauunga mkono....!!
 
Sio kwamba Myahudi (Israel) anaweza asimfikie USA.....ni kwamba hamfikii. Period, end of story.

msijidanganye.
Teknolojia ya Myahudi ipo juu sana kushinda wote. Just google..(ni m2 yup alyerusha rocket kwenda mwezini kwa mara ya kwanza.
2: kuna wayahud wangap marekani? Na wapo katka vtengo gan?
 
Back
Top Bottom