ni uongo.wakati fulani nilibahatika kutazama program fulani ya cnn ambayo ilikuwa inaonyesha safari za rais bush kwenye eneo la mashariki ya kati. Walionyesha mojawapo ya safari za hatari ambazo bush amewahi kufanya akiwa na airforce one. Msimuliaji alieleza namna vyombo vya ulinzi vya jeshi la anga la marekani vilivyokuwa vinahangaika masaa 24 kuhakikisha kwamba ndege ya rais inakuwa salama wakati wote. Sasa kilichonishangaza ni kwamba eti fursa pekee ya kupumzika ambayo wanajeshi wa jeshi la anga la marekani walikuwa wanapata ni wakati ambapo ndege ya rais imekanyaga ardhi ya israel. Kwa maneno mengine, wamarekani wanauamini sana ulinzi wa israel.
Ni kwa vile uchumi wa usa pia unategemea waisraeli
Ni kwa vile uchumi wa usa pia unategemea waisraeli
Wayahudi wenyewe wanakimbilia Marekani na hata kuishi Israel hawataki. There are more jews in US than they are in Israel
Vichwa vingine bwana kapuku kwelikweli! Kwani ni nani aliyekwambia masaa 24 maana yake muda wote huo ndege (air force one) ilikuwa angani. Sidhani kama NdasheneMbandu alikuwa anamaanisha hivyo. Naona kama umedandia gari kwa mbele. Jeshi la anga la Marekani linakuwa allert muda wote hata kama ndege ya rais ipo on ground ilimradi tu ipo nje ya mipaka ya Marekani. Msipende ku-argue mambo kama hamyahamu.Umemuelewa vizuri kabisa, sidhani kama kuna safari yoyote mashariki ya kati inaweza kuchukua saa 5, leave alone saa 24. Sijui Bush alikuwa anasafiri vipi saa 24, ndani ya Israel sidhani kama kuna haja ya kuwa na wasiwasi kwa kuwa ndege inaruka muda mfupi sana. NI vizuri akijulishwa kuwa Air force ina air defence yake ambayo kimsingi haipigiki..
Lakini waarabu pamoja hasira zao za kujitoa muhanga bado wamedhibitiwa vilivyo.
Vichwa vingine bwana kapuku kwelikweli! Kwani ni nani aliyekwambia masaa 24 maana yake muda wote huo ndege (air force one) ilikuwa angani. Sidhani kama NdasheneMbandu alikuwa anamaanisha hivyo. Naona kama umedandia gari kwa mbele. Jeshi la anga la Marekani linakuwa allert muda wote hata kama ndege ya rais ipo on ground ilimradi tu ipo nje ya mipaka ya Marekani. Msipende ku-argue mambo kama hamyahamu.
Pamoja na yote mnayoeleza kuibeza Israel, ukweli utabaki kuwa Wayahudi wanabaki kuwa an ethnic group of its kind. Akili waliyopewa ya kukabiliana na hujuma za kiarabu dhidi yao ni kubwa sana. Israel ingekuwa ni taifa legelege, wayahudi wangetoweka kwenye uso wa dunia zamani sana. Lakini waarabu pamoja hasira zao za kujitoa muhanga bado wamedhibitiwa vilivyo.
US na Israel wanategemeana kwa mengi,US is a super power but the best allie to Israel hivyo kumpa muIsrael support kubwa sana.Lakini lazima kujua kuwa support anayoitoa US kwa Israel si bure kuna nguvu nyuma ya pazia..
US na Israel wanategemeana kwa mengi,US is a super power but the best allie to Israel hivyo kumpa muIsrael support kubwa sana.Lakini lazima kujua kuwa support anayoitoa US kwa Israel si bure kuna nguvu nyuma ya pazia..
Kuomba Silaha sio tatizo kubwa,kuna Nchi gani duniani ambayo ikiingia Vitani leo hii haitaomba msaada?? Iran haiiwezi ISRAEL kwa uwezo wa Kijeshi,hawa Majaa wapo vizur sana kijeshi.
Since 1976, Israel had been the largest annual recipient of U.S. foreign assistance. In 2009, Israel received $2.55 billion in Foreign Military Financing (FMF) grants from the Department of Defense.[SUP][71][/SUP] All but 26% of this military aid is for the purchase of military hardware from American companies only.[SUP][71][/SUP]
The United States has an anti-missile system base in the Negev region of Southern Israel, which is manned by 120 US Army personnel.
Kama Israel wapo vizuri kijeshi kwa nini wanaenda US kuomba silaha?
Kwani nchi kuwa vizuri kijeshi maana yake ni nini?
Ukweli ni kwamba marekani na israel ni vitu viwili tofauti kabisa.
OTIS