Israel imemuaa Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran, Jenerali Ali Shademani, ambaye alichaguliwa siku 4 zilizopita

Israel imemuaa Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran, Jenerali Ali Shademani, ambaye alichaguliwa siku 4 zilizopita

Trump alipiga mkwara.
Screenshot_20250618-115606_YouTube.jpg
 
Israel imemuaa Jenerali Ali Shademani yaani Mkuu wa Majeshi mpya wa Iran ambaye alichaguliwa kushika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuuawa na Israel.

Jenerali Ali ametumikia nafasi hiyo kwa siku 4 na masaa 3 tu.

Taarifa imethibitishwa na kiongozi mkuu wa Iran.
Ungesema Marekani imemuua mkuu wa majeshi wa Irani; Israel inatumika kama kivuli tu.....
Israel kijeshi ni ya kawaida kwa sababu ya uchumi wao ILA nguvu kubwa inategemea kutoka Marekani
 
Ungesema Marekani imemuua mkuu wa majeshi wa Irani; Israel inatumika kama kivuli tu.....
Israel kijeshi ni ya kawaida kwa sababu ya uchumi wao ILA nguvu kubwa inategemea kutoka Marekani
Viwanda vya silaha marekani ni vya wayahudi
 
Na aliye fanya press conference kusema ni mzima ni robot ehh?
Maj. Gen. Ali Shadmani, a senior Iranian commander, has been killed in an Israeli airstrike, days after taking over a top military post amid escalating strikes targeting Iran’s leadership.
The Israel Defense Forces (IDF) said Shadmani was killed Monday during a precision airstrike on central Tehran.
Shadmani had been appointed head of Iran’s Khatam-al Anbiya Central Headquarters—Iran’s military emergency command—following the death of his predecessor, Maj. Gen. Gholam Ali Rashid, in the opening round of Israeli strikes on Tehran last Friday.
 
Kuna mataifa ya kiarabu yanaishi vizur na ni marafiki wa israel. sasa jifanye adui ni shida mwanzo mwisho ndio hao iran.sasa mkuu unachagulia na siku nne unakufa utasema kweli mna nguvu nyie si afadhali na sadamu hussen wa iraki
Uhakika hapo wanatumiwa majirani zake.
 
Back
Top Bottom