Netanyahu ataka IDF wapeleke Barazani Mpango wa Kusafisha Jiji la Rafah, Hamas wakimbilia UN Kuomba Israel idhibitiwe kabla ya Tukio!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,022
Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu amelitaka Jeshi la nchi hiyo kupeleka Kwenye Cabinet Mpango wa Kusafisha Jiji la Rafah na kuwaondoa Wapalestina wote bila kuwadhuru

Hata hivyo balozi wa Palestine UN ametaka Israel idhibitiwe kabla ya kutimiza adhma hiyo ovu

Nao Umoja wa Mataifa ya Kiarabu ndani ya UN umesema unapambana bila kuchoka kuishawishi Israel isimamishe Vita

Source Al jazeera news
 
Acha uzushi wewe. Muislam hashindwi ktk vita vyovyote vile
 
Wewe ni Muislamu kuliko Osama Bin laden?🐼
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana mwanamme na mwanamke na tukakufanyeni mataifa na makabila ili mtambuane. Hakika mtukufu zaidi miongoni mwenu mbele ya Allaah ni yule mwenye kumcha Allaah zaidi.”[1]

Asiyekuwa mwarabu akiwa ni mwenye kumcha Allaah zaidi basi yeye ndiye mbora. Kinyume chake mwarabu akiwa ndiye mwenye kumcha Allaah zaidi basi yeye ndiye mbora. Ubora, utukufu na hadhi inategemea na kumcha Allaah. Yule ambaye atakuwa ni mwenye kumcha Allaah zaidi yeye ndiye mbora. Ni mamoja ni mwajemi au mwarabu.

[1] 49:13
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom