Kwa hiyo ni uongo bugando ni taasisi ya katoliki na KCMC hospital ni Mali ya kanisa?Uongo huo , vijana wa paulo manadanganywa ..Matapeli wakubwa nyie , yule mmoja na kanisa lake kapitisha madawa , amekufa leo mwanae ni teja wa kutupa ..Wezi nyie .
Naona hilo ndio ultimate goal?CCM imefanyika kuwa jumuiya ya kiislamu kama ilivyo Shula ya maimamu.
Serikali ni dude kubwa , usifananise na vikundi vya ngomaMbona Kuna waislamu wenzako wakina shehe sharifu majini ambao waliuliwa kama kuku na risasi au hujui unakula biriani tuu?
KCMC ulisikia wapi kiongozi mkubwa akalazwa KCMC , wanapewa ruzuku ila hamna kitu ..Hata viongozi wa kanisa hawalazwi hko , kasome historia ya MuhimbiliKwa hiyo ni uongo bugando ni taasisi ya katoliki na KCMC hospital ni Mali ya kanisa?
Au hujui yote haya kisa elimu yako ya madrasa haikukupa mwanga wa kuyajua haya?
Ww ukiambiwa uchague kuishi kati ya Tz ya Nyerere ambayo raia wa kawaida alikuwa haruhusiwi hata kumiliki dawa ya meno bila kibali cha serikali na Tz ya Sasa utachagua kuishi Tz ipi...ona akili ya kibaka, sudan, chad, niger wengi huko ni wakristo, kipi bora nyerere aliyefanya nchi kujenga viwanda vyake yenyewe au yule aliyefanya nchi jalala la takataka zote toka huko zinakotengenezwa znaletwa kutupwa tanzania..mentality za utegemezi wa dini yenu ndio zinaleta umaskini kwa nchi..muslims does not believe n like to work lkn ni hodari wa kutamani mambo mazuri wasiyofanyia kazi.
Nimesema huko nyuma, mwenye macho haambiwi tazama.Sijajua wanaoleta hizi choko choko za udini.ni wapinzani wakristo
Au ni ccm wakristo?
uovu wa awamu hii unatakiwa kupingwa bila KULETA uchochezi wa kidini.kama hatumtaki mama Samia tuseme hatumtaki.sio tuseme hatumtaki alafu Bado tunamfatilia anayofanya.
Nimekuuliza ni taasisi za kikristo au sio haf unajibu mambo yako mengine, hujui kusoma au?KCMC ulisikia wapi kiongozi mkubwa akalazwa KCMC , wanapewa ruzuku ila hamna kitu ..Hata viongozi wa kanisa hawalazwi hko , kasome historia ya Muhimbili
Unaulizwa A haf unajibu B,hebu jifunze kujibu kwanza.Serikali ni dude kubwa , usifananise na vikundi vya ngoma
Unamaneno ya kisenge sana.inaonekana mmeo hakukazi sawasawa.CCM
(A.A,TAA,TANU) ni chama cha waislam,walianzisha wao,wakati huo Babu zenu hawajabatizwa kwa chupi za mtumba na masweta(majoji)
Hiyo ni miradi ya pesa , wanaoajiriwa huko ni njaa tena undungu..Wote wanatamani kufanya kazi za serikali.Nimekuuliza ni taasisi za kikristo au sio haf unajibu mambo yako mengine, hujui kusoma au?
Serikali ni dude kubwa , mmeshindwa mapinduzi ..Usifananise serikali na ujinga wenu wa katoliki.Unaulizwa A haf unajibu B,hebu jifunze kujibu kwanza.
Mimi nilidhani mada yako inajadili Tanganyika, na siyo sehemu au kipande maalum cha nchi hiyo!Katika huu muktadha ni kosa kufikiri uhuru umeletwa na dini fulani, mababu zetu walilianza hilo miaka mingi hata kabla Nyerere hajazaliwa.
Hilo sio jibu lake.. Vema ukajibu ulichoulizwaKwa hiyo na nyinyi chadema yenu imebatizwa?
Tulishakubaliana kuwa hii ni serikali Haram.?basi acha iendelee kufanya uharamu wake.kuchagua wakristo wengi au waislam wengi sio tiketi ya kuisafisha serikali hii.Nimesema huko nyuma, mwenye macho haambiwi tazama.
Leo Makatibu wa CCM wametolewa kutoka Zenj na waislamu ni wengi walioteuliwa kuliko wakristo, na hakuna balance kulingana na populace.
Hilo lisingekuwa tatizo lakini hata uteuzi nyingi za Mama Samia serikalini unafuata mlengo huo huo wa kidini.
Endelea kudhani kama unavyoona.Mimi nilidhani mada yako inajadili Tanganyika, na siyo sehemu au kipande maalum cha nchi hiyo!
Sasa kama maana ni hiyo unayolenga wewe, ni sahihi kuwa lengo la hawa wapiganaji wa maeneo yao huenda hawakuwa na tofauti yoyote na hawa wazee wa Kariakoo na dini yao; na kwa maana hiyo mada yako inakosa inakuwa ni tofauti (inakosa lengo).
Baada ya kusemaUlilijua hilo, uliwahi kulisemea?
Mwalimu Nyerere huwa alikuwa philosophical.Baada ya kusema
Nini kinabadilika?
Mimi sijali, siasa za bongo kichefuchefu. Mtu pekee mzalendo alikuwa Nyerere tu, wengine mhhhhhMama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Hiyo ya vikao vyao kufanyika misikitini is purely exaggerating to the highest order.Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Linaloshangaza ni kwamba hakuna mahali popote nilipopinga hiyo dhana unayoijengea hoja, na in fact, mchango wangu hapo juu unaungana na nadharia yako moja kwa moja; halafu bila kufikiri ukaingiza maswala ya wapiganaji wa kikabila waliokuwa wakipinga tawala za nje ya makabila yao.Endelea kudhani kama unavyoona.
Hiyo ni haki ysko maana binadamu tuna uhuru wa kuelewa jinsi tunavyoelewa.
Mada inasimama pale pale, CCM insilimishwa kipindi hiki, bila ridhaa ya wanachama.