Hakuna 50/50..hoja yangu hapa ni waislam ndio wmekuwa na ulalamishi huo kwamba wako nyuma..mfano kuazimwa majengo kuanzisha chuo kikuu cha waislamu morogoro, chanzo ni malalamiko haya haya, miaka zaid ya 20 sasa wmefanya hayo majengo km mali yao wakati walipewa kwa muda na mkapa akawachangia pesa watafute eneo wajenge chuo..liko wapi hilo eneo..? Kuna nia njema sasa hapa..? Wanasubiri siku aje kiongozi arudishe hayo majengo tanesco waanze maneno..Hivi mkuu tukiamua kwenda 50/50 ni watu wapi Takao athirika kati ya waislamu na wagaratia?