Enheee safi kabisa 👏🏾... ASP na TANU zimeasisiwa na waislamu. Na ndio zilizozaa CCM📌📌📌
Utakuwa ama hujitambui au hujui chochote!! TANU haikuasisiwa na dini yoyote bali Mwalimu Nyerere ndiye aliyeianzisha TANU, Baada ya waswahili wa Dar kukaa na TAA kwa miaka mingi ikiwa haina uelekeo wala maendeleo yoyote.
Nyerere alipojiunga na TAA aliona mapungufu ya hicho chama, akaamua kukijenga upya na kubadili jina, huku akikijengea mtizamo na mwelekeo mpya. Kama TAA ingeendelea kubakia na waswahili wa Dar, habari ya uhuru wala isingeweza hata kusikika.