Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

Status
Not open for further replies.
Mkuu wala hii isikupe wasiwasi kabisa kuhusiana na Bank.. Ebu pata maelezo haya kisha tuyajadili pale unapokwazwa...Nadhani unajua vizuri kuhusu Bonds au sio..

The concept of profit-and-loss sharing in an enterprise, as a basis of financial transactions is a progressive one as it distinguishes good performance from the bad and the mediocre. This concept therefore encourages better resource management. The Islamic sukuk system is similar to bonds of capitalist system, but in sukuk, money is invested concrete projects and profit share is distributed to clients instead of interest earned.

Hamna cha sukuk wala sikukuu, in practice yote yanaishia kuwa utapeli tu mzee! Mdondoaji arudi humu kutuelezea tafsiri halisi ya kile kipengele cha BOT Act.
 
Hamna cha sukuk wala sikukuu, in practice yote yanaishia kuwa utapeli tu mzee! Mdondoaji arudi humu kutuelezea tafsiri halisi ya kile kipengele cha BOT Act.
Mkuu ukisema hivyo unakosea kabisa.. Tukubali ukweli unaposimama na hasa ktk maswala ambayo yanatugusa sote. Wewe ukija kukopa kwangu fedha za Biashara nitakwambia ukitaka millioni moja basi nirudishie cha juu kwa asilimia 30 na ktk muda maalum pasipo kujali umepata faida au hasara.
Unaweza kuchukua ukijua wazi kwamba una gamble na risk ya kupoteza fedha na mali yako ni kubwa sana, Lakini kama kuna mtu mwingine atasema nitakupa millioni moja lakini kwa masharti ya kwamba biashara yenyewe iwe halali, akiridhika na business plan yako mtaingia ubia na kushare faida na hasara baada ya kuondoa matumizi yote. Huoni kama hapa kuna unafuu na usawa fulani kwa mtoaji na mkopeshaji..wakati mgawanyo wa hizo shares mtakubaliana na kuridhiana. Tunachokwepa hapa ni Riba tu, biahsara ipo palepale na ajabu ya Mungu biashara yoyote isiyokuwa na riba haiwezi kumkandamiza mtu mwingine kirahisi. Ukiondoa riba ktk biashara, option za kumyonya mtu mwingine zinaondoka pia.
 
Mkuu ukisema hivyo unakosea kabisa.. Tukubali ukweli unaposimama na hasa ktk maswala ambayo yanatugusa sote. Wewe ukija kukopa kwangu fedha za Biashara nitakwambia ukitaka millioni moja basi nirudishie cha juu kwa asilimia 30 na ktk muda maalum pasipo kujali umepata faida au hasara.
Unaweza kuchukua ukijua wazi kwamba una gamble na risk ya kupoteza fedha na mali yako ni kubwa sana, Lakini kama kuna mtu mwingine atasema nitakupa millioni moja lakini kwa masharti ya kwamba biashara yenyewe iwe halali, akiridhika na business plan yako mtaingia ubia na kushare faida na hasara baada ya kuondoa matumizi yote. Huoni kama hapa kuna unafuu na usawa fulani kwa mtoaji na mkopeshaji..wakati mgawanyo wa hizo shares mtakubaliana na kuridhiana. Tunachokwepa hapa ni Riba tu, biahsara ipo palepale na ajabu ya Mungu biashara yoyote isiyokuwa na riba haiwezi kumkandamiza mtu mwingine kirahisi. Ukiondoa riba ktk biashara, option za kumyonya mtu mwingine zinaondoka pia.

Mkandara,
Hivi wewe ukiweka pesa zako kwenye hii islamic banking system, utajuaje kwamba benki haikuzitumia pesa zako kwenye biashara ambazo wewe hutaki? Na pia utajuaje kuwa pesa zako hazitumiki kuwakopesha watu wengine na wao wanairudishia benki tena na riba? Labda hii inawezekana huko Uarabuni lakini si kwa benki zetu za hapa Bongo ambazo ziko mchanganyiko (yaani siyo islamic banking pasee inayofanyika huko). Kwa maana nyingine mabenki ya hapa TZ yameona kuna pesa za bure za waislamu yanayoweza kuzizalisha bila kuwalipa faida wahusika.
 
Mkandara,
Hivi wewe ukiweka pesa zako kwenye hii islamic banking system, utajuaje kwamba benki haikuzitumia pesa zako kwenye biashara ambazo wewe hutaki? Na pia utajuaje kuwa pesa zako hazitumiki kuwakopesha watu wengine na wao wanairudishia benki tena na riba? Labda hii inawezekana huko Uarabuni lakini si kwa benki zetu za hapa Bongo ambazo ziko mchanganyiko (yaani siyo islamic banking pasee inayofanyika huko). Kwa maana nyingine mabenki ya hapa TZ yameona kuna pesa za bure za waislamu yanayoweza kuzizalisha bila kuwalipa faida wahusika.
Mkuu hivi umewahi kuwauliza bank wanapozipeleka fedha zako? Kwa nini hii iwe ni sababu kwako wewe hali wenye kufuata sheria hiyo ni wao. Ni sawa na kwenda kununua nyama machinjioni palipoandikwa halal unaanza kujiuliza hivi kweli huyu ng'ombe amechinjwa na Muislaam? Mkuu ktk Uislaam kila mmoja wetu anachukua jukumu lake, unachuma dhambi zake na atahukumiwa kwa madhambi uloyafanya yeye na sio kufikiria what if..

Sasa unaponiuliza mimi hali siye mwenye bucha mkuu wangu utakuwa unanionea. Mimi naamini nachoambiwa, hata ukinikaribisha kwako chakula ukanambia kimechinjwa Nitakuamini wewe..Kumbuka Yesu alisema kiingiacho tumboni sii haramu, haramu ni kutoamini.. hivyo imani inatangulia kwanza kuamini kama hiki kitu ni haramu kisha automatically hutafanya yaliyo haramu pasipo kuuliza maswali.
 
Hamna cha sukuk wala sikukuu, in practice yote yanaishia kuwa utapeli tu mzee! Mdondoaji arudi humu kutuelezea tafsiri halisi ya kile kipengele cha BOT Act.

Katika kipengele cha BOT Act ya 2006 kinasema kuwa business of banking inahusisha vitu vilivyoainishwa na sio profit sharing kama mnavyoitafsiri humu ndani. Nikinukuu "banking business"means the business of receiving funds from the general public through the acceptance of deposits payable upon demand or after a fixed period or after notice, or any similar operation through the frequent sale or placement of bonds, certificates, notes or other securities, and to use such funds, in whole or in part, for loans or investments for the account of and at the risk of the person doing such business" kinasema na nikitafsiri ni kwamba banking business inainvole financial institution au taasisi za kifedha zinazoweza kutoa pesa through on demand (current accounts and savings), fixed deposits and likewise zinaweza kutoa mikopo na kuwekeza katika risks wanazoweza kuzirecover in case pesa walizopewa hazitarudishwa.

Dhumuni la kuweka kipengele hiki ni kwamba bank ziwe na uwezo wa kumanage risks zake pasina kuathiri deposits za wateja wake (yaani watu tunaoweka pesa zetu bank) but wanaruhusiwa kuwekeza na kuzitumia hizo pesa ili wajipatie na wao faida.

Tukija katika sukuk kiukweli kuna inconclusive results on this issue kwasababu researchers seems to disagree to one another. Kama nilivyoelezea mwanzo urudushaji wa pesa kwa sukuk unategemeana na ratings za wateja husika (Credit ratings). However issue inayowasumbua economists wengi ni concept ya profit sharing while repaying the debt. Kumbuka hili deni mnakuwa mnashare asset, project, au investment au debt (Sukuk Al-Ijara, Sukuk Al-Istisna, Sukuk Al-Musharaka, Sukuk Al-istihmar, Sukuk Murabaha) zote zinaresemble similar characteristics to concept of riba.

However, respondents wanasema kuwa Sukuk return wanayolipwa sio faida kama wanavyolipwa watu katika normal bonds (Coupon bonds) (hata kama umepata faida au la) but hii faida ya uzalishaji ambayo inatokana na benki kuwekeza katika asset (project yenyewe) na sio kukupatia muhusika wewe (yaani mkopaji) pesa. Natumai Njabu umenifahamu hapo.

Nilikuwapo!!!!
 
" ... "banking business" means the business of receiving funds from the general public through the acceptance of deposits payable upon demand or after a fixed period or after notice, or any similar operation through the frequent sale or placement of bonds, certificates, notes or other securities, and to use such funds, in whole or in part, for loans or investments for the account of and at the risk of the person doing such business"

Mdondoaji,

Maana ya "person" kwenye hicho kipengele ni kama ifuatavyo:

"Person" includes any company, partnership, associations or body of persons corporate or unincorporated;

Kwa hiyo tafsiri ya hicho kipengele inaweka wazi kuwa "risk" yoyote itakayotokea kwenye biashara kati ya Benki na Mteja itabebwa na mteja pekee yake. Hii ni kinyume na kanuni za Islamic Banking, ila sema kwa vile BOT inaweza kutoa dispensation au ruhusa maalum kwa mabenki kutoa huduma za fedha ambazo haziendani na hiki kipengele, basi Islamic Banking inaweza kuwa ni halali.
 
Naona tatizo lako ni Lebe au neno Islam!! I
slamimc Banking ni principal ya kiislam kwa hiyo uwezi kuondoa asili ya kitu, hii ni system ambayo iko ethical kuliko convisional banking na misingi yake inatoka kwenye Holly Qur'an.

Mtu yoyote anaweza kufaidika na Islamic account sio lazima uwe muislam, Ulatya Na Amerika wengi ambao sio waislam wanafadika sio tu na Loan, bali kule Islamic Banking ina operate fully (Loan, Investments, Derivative na other Financial instruments)

Duniani watu wanalalamika na hizi banki za kizungu kwasababu ya ubakhili na big profit margin wanayojiwekea pamoja na Bonus, wananchi wa kawaida ndio losers

Kwahiyo islamic banking ndio solution!

Nimeelezea hapa, na kutoa scriptures za kutoka Old Testament zinazoonyesha the Jewish origins of Islamic banking.

Kwa hiyo hii "Islamic Banking" is not that Islamic after all, tukiangalia sana, tunaona Wayahudi walikuwa nayo, wakristo nao walikuwa nayo, na huku Afrika hiyo interest ni idea mpya.

Sasa labda tuelimishane, kitu gani ni "uniquely Islamic" about Islamic banking? Ambacho hakikuwepo kabla ya Quran? Ukiondoa hiyo label na obvious religious superficialities, majina kama Halal and whatnot, kipi hasa ni uniquely Islamic?

Maana isije kuwa tunabishania labels tu, wakati hiyo so called Islamic banking ilikuwapo kabla hata ya the Islamic era.


Perhaps more interesting than what is, what is not Islamic banking etc, naona hamna mtu aliyejibu swali langu.

Hivi kila mtu akiingia kwenye hii green/ Islamic/ No interest banking, banks zitaoperate vipi? Maana ukiondoa interests unaondoa incentive kubwa sana ya banks, kwa mfano, kutoa loan.
 
Kiranga,
Mkuu shukran saana kuleta habari hii kuhusiana na Origin ya mfumo huu wa Bank ambao ulitumiwa na wayahudi, wakristu na hata leo waislaam. Hakika Uislaam sii dini kwa tafsiri yenu au yoyote ile isipokuwa WATU wanaoabudu MUNGU mmoja ( only adhere to ONE divinity). Islam ni dini - a way of life ambayo root yake ni Judaism (Jews), Jesus (wakristu) ambao wote walifuata mfumo mmoja wa maisha - kuabudu mungu mmoja (monotheism) tokeaIbrahim. That is the root ya hizi dini zote tatu.

Matatizo tumeyaanzisha sisi wenyewe binadamu na kama Yesu alivyosema ama kutabiri, kwamba wengi wetu tutafuata Gospel ya binadamu. Na kinachotuchanganya leo ni hizi Gospel za binadamu kiasi kwamba tumepoteza maana ya dini na mafundisho yake. Kwa mfano:-

Kuna Makosa ya wazi kabisa yanayofanywa na wengi wetu hata wanapowataja Wayahudi - JEWS. Kwani neno hilo linatokana na kuwa identify Umma (watu) waliokuwa wafuasi wa YUDA mtoto wa Jacob ambao walimuabudu MUNGU mmoja kupitia mafundisho yake. Kumbuka Jacob alizaa watoto 12, Yuda akiwa mmoja wao hivyo kizazi cha watoto wa Jacob wale wengine 11 hawakuwa wala kuitwa Jews ila walikuwa Wana Israel. Hivyo ukweli wa kihistoria ni kwamba Jews walikuwa Wana Israel lakini sio Wana Israel wote walikuwa Jews...

Leo hii hakuna tena ukweli huu..Waisrael wote wanaitwa Jews hata kama sii waabudu wa Judaism in practice bali ni Jews kwa uzawa wa mama Myahudi (a Jew) na huyu Jewish person anaweza kubatizwa to convert into Judaism.mmmmmh!...Hivyo ufuasi wa Juda ndio imekuwa dini na neno Jews limekuwa ni society ya Wana Israel in general kinyume cha maana iliyotangulia. Hivyo wanaofuata mfumo wa Banking ktk Wayahudi leo hii ni wale wanafuata Judaism ambao wengi wao ni Orthodox lakini sii Wayahudi wote kutokana na Gospel ya Binadamu..

Katika Ukristu, mafundisho yanasema vile vile hakuna tofauti na ya Wayahudi.. Hivyo huwezi kuwa mkristu ikiwa hukubaliani na mafundisho ya Mungu toka Torah hadi Biblia ambayo yanakukataza wewe kuishi maisha nje ya Ukristu..Na moja ya masharti haya ni kutopokea RIBA..Cha kushangaza zaidi ni kwamba wote wanaopinga mfumo huu wa Bank ni watu wanaojiita Wakristu hali mfumo huu ulikuwa ukitumiwa na Yesu, Wafuasi wake na watu wote walioabudu Mungu mmoja ktk misingi ile ya Ibrahim.


Sasa Kama kuna watu wanajiita wakristu hali wakipokea riba ama kuunga mkono kupokea au tozo za riba sijui huu ndio Ukristu gani zaidi ya kuwa ni matumizi ya jina la dini kujenga identity ya society gani one's belong to. Leo hii mtu anabatizwa kuwa Mkristu au Muislaam lakini hana ulazima wa kuishi kama alivyoagizwa, hivyo Uyahudi, Ukristu na hata Uislaam ni Kitambulisho cha jamii fulani sio watu wenye kuabudu Mungu mmoja na wenye mfumo wa Ibada (way of life). Ndio maana tunawaita wale wayahudi, Waislaam, wale Wakristu kwa maana ya Society na sio kwa sababu wanafuata na kuanya Ibada fulani.

Kwa hiyo maadam tumegawanyika kwa madhehebu kutokana na man's Gospel, tumeondoka ktk maana ya dini kuwa ndio njia ya Maisha tuloagizwa kuishi badala yake tumeingiza hizi philosofia za Kiitikadi kujenga dini mpya.. Wapo extremist, conservative na reformist you name it ktk madhehebu yetu na who gave them authority ku challenge Gospel ya Mungu - well anajua Mungu mwenyewe. Kwa hiyo mkuu wangu naweza kabisa kukuuliza wewe kwa nini unabishana na maagiozo ya Mungu hali unajiita Mkristu?
Do you real think you know better than THE Almighty!
 
Naona wengi mmejikita kwenye suala la kuwepo au kutokuwepo kwa riba ambalo kimsingi sio islamic kama wengine walivyotangulia kusema. Hata bila kuwa na 'islamic banking' sio accounts zote za benki zinakuwa na riba...kwa mfano 'current accounts' ambazo zipo muda mrefu tu na hazijawahi kuhusishwa na uislamu au dini yoyote.

Labda kitu ambacho kinaweza kuhusishwa moja kwa moja na uislamu (au dini) ni aina ya uwekezaji ambazo benki inaweza kufanya kutokana na deposits wateja. Kwa mfano chini ya mfumo huu wa islamic banking, benki haiwezi kuwekeza kwenye biashara ya pombe, sigara au vitu vinavyofanana na hivyo ambavyo dini inavitazama kama 'haram'. Sasa hili nalo ukilitizama kwa makini sio la kiislamu hasa kwani hata katika dini nyingine kimsingi hayakubaliki.

Lakini tukirudi kwenye sula la riba, kuendesha benki bila riba ni vigumu hasa kama benki yenyewe sio ya 'kiislamu' (kidini!) na ngumu zaidi hasa kama wateja wenyewe sio hasa waislamu (au 'wanadini') kwa maana yake. Hapa nalenga zaidi suala la uaminifu. Kuendesha mfumo huu usio na riba inahitaji uaminifu na nidhamu ya hali ya juu sana. Pia benki nyingi ambazo zinajitapa kufanya 'islamic banking' sio za kiislamu na zaidi zina mchanganyiko wa biashara na uwekezaji mwingine ambao katika jicho la kiislamu sio 'halal' kihivyo.
 
Ufafanuzi wa maana unahitajika kwenye hili la sivyo huu mlengo wa kidini uliolikumba taifa, utatuumiza sana, kila mtu analalamika siku hizi. Nina ukakika yote hii ni kutokana na namna serikali ilivyo-entertain udini. Watu wa dini nyingine wameanza kuongea sana hasa baada ya JK kuendekeza udini kiasi cha kuonekana. Ingekuwa ni wakati wa awamu zilizopita, si ajabu usingesikia malalamiko. Ila kutokana na wimbi la OIC, Kadhi na kelele zinginyezo, ndio maana watu wako makini sana kwenye hili. Waislamu waliforce sana mahakama ya Kadhi, ilipogoma, wakaanza kupush OIC wakijua kuwa, tukijiunga na OIC then itabidi tu-comply na principles na hapo ndipo mahakama ya kadhi itakapochomekwa.

Sasa hili swala la Islamic Banking limeleta mtafaruku kutokana na maswala yaliyotangulia, hakuna anayeamini kuwa hili swala halina dalili za kuisukuma nchi kwenye udini hasa kipindi hichi cha uchaguzi. Kadhi ilisukumwa sana mwaka 2005 karibu na uchaguzi, now ni Islamic Banking and si ajabu Kadhi nayo itasukumwa tena. Kwa hiyo watu wa dini zingine wako makini sana baada ya mambo mengi yaliyotokea katika kipindi cha mwaka mmoja and hawataki kudanganyika na concepts ambazo zitawapelekea pabaya. Kila mtu anahofu juu ya miaka mitano mingine ambayo JK anaweza ongoza based on mambo yaliyotokea miaka mitano iliyopita. Wanajiuliza, kama katika miaka mitano iliyopita fujo, kelele na udini ulikua kwa kasi, bila kuogopa kuwa ataweza kupigwa chini 2010, je, itakuwaje kwenye miaka mitano ijayo..??

Tuwe makini watanzania, la sivyo hii nchi tutaipeleka pabaya.
 
Kishazi,
Mkuu hapa unapotosha sana. Mahakama ya Kadhi ni utaratibu uliokuwepo toka enzi ya Wayahudi. Hata Yesu alihukumiwa kwa kufuata sheria za dini na sio za Uraia..wakati ule mtu yeyote aliyejiita Nabii wa Mungu na kutangaza neno la Mungu alihukumiwa kifo cha Kusulubiwa, Hii ndio sacrifice ya Yesu kukubali kutangaza neno la Mungu akielewa kwamba hukumu yake ni Kifo. Tena ilitokea hadi wafuasi wote wa Yesu, toka kina Peter hadi huyo Paul (Sauli) walisulubiwa huko Ulaya kupitia mahakama za kadhi..Swala la OIC ni Ujinga mtupu unatumika kwa sababu tumeisha tengana kiimani hivyo lolote la kikristu litakubaliwa lakini sio la Kiislaam.

Leo hii zipo bank za Kikristu na hakuna Muislaam yeyote aliye question kuwepo kwa bank za Kikristu wala Mkristu kujiuliza kwa nini tunafungua Bank za Kikristu hali nchi hii haina dini kwa tafsiri ambayo wangeitumia kama ni bank ya Kiislaam. Na atokee mtu leo aseme bank zote za Kikristu zifungwe utaona wanafiki watakavyokuja na sababu za kusema hao, mara wale wamezoea hawana deal, bila hata kupima kama bank hizo zinafuata kweli misingi ya Kikristu! lakini sababu hizo hizo hawazioni kwenye Bank ya kiislaam watataka kujua undani wake.

Huu Ni UJIMGA na ULIMBUKENI mtupu.. watu wamesoma lakini hawakuelimika na kibaya zaidi nasema hivi hakuna kati yenu MKRISTU...Yes I said so...Nyote nyie ni wanafiki watupu kwa sababu hamfanyi ibada za Kikristu sawa na hao Waislaam ambao pia wanadai Uislaam lakini hawafanyi Ibada za Kiislaam isipokuwa kuchagua baadhi ya ibada zinazo wa suit..

Sisi wote hapa tunafuata Gospel ya binadamu na ndio maana tuna UDINI usiokuwa na maana kabisa ila unafiiki. Inachekesha sana mtu kujiita Mkristu/Muislaam hali hafuati kabisa mafundisho ya Biblia au Kuran. Nasema hivi sisi wote humu ni wanafiki watupu hakuna hata mmoja wetu ni Muislaam au Mkristu isipokuwa tunazitumia dini kujitenga na kundi jingine.

Sielewi kama ni mbinu za wazungu, waarabu au Wahindi kutudhoofisha Waafrika lakini nachoweza kusema tu ni kwamba sisi wote ni WAJINGA na MALIMBUKENI, watumwa wazoefu tulozoea kutofikiri jambo ila masters wetu kutuchagulia destiny yetu..mathlan neno moja lenye maana sawa tutapingana na hata kuuana pasipo kufikiria lina maana moja. i.e. Shalom (Moses), Peace be upon U (Yesu), Asalaam Aleikum (Muhammad)..
Nimemaliza na mtanisamehe kwa lugha chafu -
 
Mkandara Hongera unavyojitahidi kuwaelimisha hawa wa kushoto,

Mara nyingi nasema hawa wa kushoto ni wazito sana kuelewa vitu ambavyo ni simple, sielewi wananmatatizo gani.

Endela kuwaelimisha waha visiki ukichoka nitakusaidia, wako kwenye giza kali na usingizi wa fofo wamelalia masikio.
 
jf inadaiwa kuwa jukwaa la great thinkers lakini yanapokuja masuala ya dini....ni jukwaa la great stinkers.......
 
Kwa kweli nakubaliana kabisa na mtazamo huu. Hizi Benki kuajiri "Shariah Council" kama sehemu ya utoaji huduma za benki za Kiislamu haikubaliki kabisa. Wanajaribu kufanya Shariah ikubalike na kuhalalishwa among mainstream Non-Muslims kama something totally harmless and even beneficial, while at same time wanawapatia ajira halaiki za Wanataaluma wa Quran/Shariah ambao wasingekuwa na kazi kutokana na kukosa elimu ya kisasa.

Hii Ndjabu!! mbona unajikashifu matatizo yako?.
Inaonekana hujui maana ya elimu,si hawa masheikh sasa wanahitajika kwa elimu zao ambazo wewe huna!.
Wewe unafurahi sana waislamu wafe njaa kwa kukosa kuajiriwa.
 
Hii Ndjabu!! mbona unajikashifu matatizo yako?.
Inaonekana hujui maana ya elimu,si hawa masheikh sasa wanahitajika kwa elimu zao ambazo wewe huna!.
Wewe unafurahi sana waislamu wafe njaa kwa kukosa kuajiriwa.

Jee, unajuaje kama mimi siyo Muislamu?
 
Mkandara said:
Mkuu shukran saana kuleta habari hii kuhusiana na Origin ya mfumo huu wa Bank ambao ulitumiwa na wayahudi, wakristu na hata leo waislaam.
Ikiwa mfumo wenyewe wanoutumia ni udanganyifu, halafu wakaupatia jina la Islamic Bank, hapo watakuwa wamefanana na ule mfumo unaotumiwa na Mayahudi:
"At the time of the Cholhamoed the transaction of any kind of business is forbidden. But it is permitted to cheat a goy, because cheating of goyim at any time pleases the Lord."- Chulchan Aruch, Orach Chaim 539.
Mkandara said:
Hakika Uislaam sii dini kwa tafsiri yenu au yoyote ile isipokuwa WATU wanaoabudu MUNGU mmoja ( only adhere to ONE divinity).
Kuamini Mungu mmoja hakumfanyi mtu kuwa Muislamu! karibu kila mtu mwenye akili zake timamu anaamini hivyo.
Nguzo ya kwanza ya Iman ni kumuamini Allah; hii ni kumuamini kuwa mmoja, kumuabudu yeye peke yake bila ya kumshirikisha na yoyote, kumpwekesha Yeye katika Majina yake mazuri na sifa zake na kumpwekesha yeye katika hukmu, yaani hakuna hukmu yoyote inayostahiki kuwapo isipokuwa ile aliyoiteremsha Allah.
Je kuna Myahudi au Mristo anayeamini hivyo?!
Mkandara said:
Islam ni dini - a way of life ambayo root yake ni Judaism (Jews),
Hapa ume claim kwa hiyo the onus ya kuleta proof lies upon you.
Mkandara said:
Kuna Makosa ya wazi kabisa yanayofanywa na wengi wetu hata wanapowataja Wayahudi - JEWS. Kwani neno hilo linatokana na kuwa identify Umma (watu) waliokuwa wafuasi wa YUDA mtoto wa Jacob ambao walimuabudu MUNGU mmoja kupitia mafundisho yake.
Very interesting!
Je, Ashkenaz Jews walikuwa ako wapi wakati huo? kwa sababu waliingia katika dini ya Uyahudi katika karne ya 7 (kama sikosei) ,karne nyingi baada ya Yuda kufa.
Mkandara said:
Hivyo ukweli wa kihistoria ni kwamba Jews walikuwa Wana Israel lakini sio Wana Israel wote walikuwa Jews...Leo hii hakuna tena ukweli huu..
Oh Masikini Mkandara! kwa hiyo Moses alikuwa siyo Myahudi kwa sababu alitokea katika kizazi cha Levi!
Exodus 6: 16] And these are the names of the sons of Levi according to their generations; Gershon, and Kohath, and Merari: and the years of the life of Levi were an hundred thirty and seven years.
[17] The sons of Gershon; Libni, and Shimi, according to their families.
[18] And the sons of Kohath; Amram, and Izhar, and Hebron, and Uzziel: and the years of the life of Kohath were an hundred thirty and three years.
[19] And the sons of Merari; Mahali and Mushi: these are the families of Levi according to their generations.
[20] And Amram took him Jochebed his father's sister to wife; and she bare him Aaron and Moses: and the years of the life of Amram were an hundred and thirty and seven years.
Kwahiyo Moses siyo Myahudi kwa sababu hakutokea katika kizazi cha Yuda bali Levites!
Na Abraham (Ibrahim) hakuwa Myahudi! kutokana na maelezo yako mwenyewe ni kuwa Uyahudi umetokana na Yuda ambaye alikuja wakati Abraham ameshakufa!
Mkandara said:
Waisrael wote wanaitwa Jews hata kama sii waabudu wa Judaism in practice bali ni Jews kwa uzawa wa mama Myahudi (a Jew)
Sasa vipi Muislamu Mpalestine asiitwe Jew?!! huoni kuwa unajichanganya mwenyewe?
Ukweli wenyewe unaonyesha kuwa; aidha hujajitayarisha kwa hii mada au ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiria!
Mkandara said:
Hivyo ufuasi wa Juda ndio imekuwa dini
Sasa inabidi utuelezee huyu Mu Ashkenaz Jew aliyapata vipi mafundisho ya Juda ili tujadiliane hapa.
Mkandara said:
Hivyo wanaofuata mfumo wa Banking ktk Wayahudi leo hii ni wale wanafuata Judaism ambao wengi wao ni Orthodox lakini sii Wayahudi wote kutokana na Gospel ya Binadamu..
Na huu ndio mfumo wenyewe:
"At the time of the Cholhamoed the transaction of any kind of business is forbidden. But it is permitted to cheat a goy, because cheating of goyim at any time pleases the Lord."- Chulchan Aruch, Orach Chaim 539
Mkandara said:
Mahakama ya Kadhi ni utaratibu uliokuwepo toka enzi ya Wayahudi.
Kichekesho! kofi la usoni kwa wanoshinikiza mahakama za Ki Kadhi! vipi?!
Mayahudi walikuwa ni watu wanaouchukua baadhi ya mafundisho ya Torah na kuyawacha baadhi, sasa wewe mwislamu unayetaka kuanziaha mahakama ya kikadhi ambayo utahukumu kwa sheria ya Allah katika baadhi ya mambo (ndoa, talaka,mirathi), na kuyaacha mengine, umeshabihiana na Mayahudi.
May Allah guide these Muslims! Verily to Him we belong and to Him we return.
 
Mkuu nisome tena na tena upate kunielewa vizuri.. Unachanganya sana kwa jinsi unavyofikiria wewe badala ya kusoma ukajifunza ukaelimika. hatushindanihapa kuhusu Dini na watu wake ila ndio ukweli uliopotoshwa.. Nasema tena ukweli umepotoshwa, sii nijuavyo wala mawazo yangu mimi.

Ukweli ni huu..Tafsiri -Jews ni watu wanafuata dini na kuabudu Mungu mmoja (Judaism), ambao sisi tunawaita Wayahudi. Wafuasi wa Yudah waliitwa Jews kwa imani yao na sio kabila lao la uzawa. Kumbuka tu Judah aliongoza watu (wafuasi) waliozaliwa na baba na mama tofauti tofauti, hawakuwa watoto wa Jacob lakini kutokana na imani yao ya dini waliitwa Jews.

Wale watoto wengine 11 wa Jacob hawakumfuata Yudah hivyo hawakuwa Jews kama alivyokuwa Moses hadi siku alomkubali Mungu. kama alivyokuwa Muhammad na Maswaaba wake hawakuwa waislaam hadi siku walotoa shahada na kumkubali Mungu mmoja. Dini na uzawa ni vitu viwili tofauti..Unaweza kuhama imani ya dini lakini huwezi kuhama kabila la uzawa. Hata huyo Yesu alibatizwa na Yohana Mbatiaji iwe wewe mkuu wangu kutojua tofauti na uhalali wa dini na kabila!

Haya maswala mengine yanachosha kujbu mkuu wangu la maana kwanza elewa nilichoandika kisha uliza, haya maswala ya Ashkenaz sijui nini unauliza pumba tupu kwani hata Waislaam Shia, Sunni, Ismailia na wengineo wote wamekuja baada ya Muhammad kufa tena karne zimepita, mbona hujauliza wao walikuwa wapi. Wewe mwenyewe Mmakonde sijui Burush Umekuwaje Muislaam baada ya karne 15 toka kifo cha Muhammad..U Question them not me bob.

Maswala ya mahakama ya kadhi wewe una hakika gani kwamba Waislaam hawakuacha sheria nyinginezo?.. una hakika Mahakama ya kadhi ndio sheria zote za kiislaam na kama zipo nyingine umeshindwa vipi kuzifuata hizi uloacha hali wewe unajiona Muislaam safi.. Na hakika maadam hufuati baadhi ya sheria sidhani kama wewe unastahili kuitwa Muislaam na ndio maana nasema sisi wote hapa ni wanafiki tu wa dini hizi. Sisi wote tumechukua Man's Gospel na ndio maana tunabishana humu. laukama sote tungefuata sheria za Torah (Jews), Wakristu (Injili) na Waislaam (Furkan) tusingekuwa tunabishana humu, wote tungekuwa tukitumikia sheria moja.

Na hayo ya Wapalestina na Wayahudi utajazia mwenyewe maanake sikukuelewa kabisaaa...
 
Mkandara said:
Ukweli ni huu..Tafsiri -Jews ni watu wanafuata dini na kuabudu Mungu mmoja (Judaism), ambao sisi tunawaita Wayahudi.
Lakini kutokana na Halakha mtu anakuwa ni Myahudi kwa kuzaliwa na mama wa Kiyahudi au aliyeingia katika dini ya Kiyahudi. Kwa hiyo unachotuambia wewe ni kuwa Halakha ni waongo! na umeikataa.
Ulichofanya ni kwenda na tafsiri ya kikundi cha Karaite ambacho kilizuka katika karne ya 19.
Mkandara said:
Wafuasi wa Yudah waliitwa Jews kwa imani yao na sio kabila lao la uzawa. Kumbuka tu Judah aliongoza watu (wafuasi) waliozaliwa na baba na mama tofauti tofauti, hawakuwa watoto wa Jacob lakini kutokana na imani yao ya dini waliitwa Jews.
Vizuri kujuwa kuwa Ashkenaz hawa damu yoyote ya Judah! kwa hiyo sio wana wa Israel, na hawana haki yoyote na Jerusalem kidamu.
Sasa tuangalie kidini, Je wana haki na Jerusalem kidini? tujibu.
Mkandara said:
Wale watoto wengine 11 wa Jacob hawakumfuata Yudah hivyo hawakuwa Jews kama alivyokuwa Moses hadi siku alomkubali Mungu.
Vizuri kutuelewesha kuwa Moses hakuwa Myahudi wa damu. Unachodai sasa ni kuwa alikuwa Myahudi kwa kuwa alimkubali Mungu, Je Mkristo ni Myahudi pia kwa sababu amemkubali Mungu? kwa tafsiri yako, ina maana karibu kila mtu ni Myahudi!
Mkandara said:
Dini na uzawa ni vitu viwili tofauti..Unaweza kuhama imani ya dini lakini huwezi kuhama kabila la uzawa.
Kwahiyo Jesus pia alikuwa ni Myahudi kwa uzawa! .....unaanza kujichanganya sasa!
Mkandara said:
Haya maswala mengine yanachosha kujbu mkuu wangu la maana kwanza elewa nilichoandika kisha uliza, haya maswala ya Ashkenaz sijui nini unauliza pumba tupu kwani hata Waislaam Shia, Sunni, Ismailia na wengineo wote wamekuja baada ya Muhammad kufa tena karne zimepita, mbona hujauliza wao walikuwa wapi.
Nina kujibu kuhusu Shiah, Ismailia na wewe nijibu kuhusu Ashkenaz.
Chimbuko la Shiah ni Abdullah ibn Sabah, Myahudi wa Kiyemen aliyeingia katika Uislamu ili kuuharibu na kuwavuruga Waislamu kama alivyojifanya Paul Mkristo ili kuuharibu Ukiristo.
Mkandara said:
Wewe mwenyewe Mmakonde sijui Burush Umekuwaje Muislaam baada ya karne 15 toka kifo cha Muhammad
Kuzungumza au kuandika Kiswahili fasaha hakumfanyi mtu kuwa Mtanzania au Mkenya! ndio Dunia ilivyo!
Zayd ibn Thabit (r.a) ni swahaba muarabu aliyekuwa akizungumza na kuandika Hebrew fasaha na lugha ya Syriac ,alikuwa ni mkalimani wa hizi lugha!
Mkandara said:
U Question them not me bob
But you carry their thoughts!
Mkandara said:
Maswala ya mahakama ya kadhi wewe una hakika gani kwamba Waislaam hawakuacha sheria nyinginezo?.. una hakika Mahakama ya kadhi ndio sheria zote za kiislaam na kama zipo nyingine umeshindwa vipi kuzifuata hizi uloacha hali wewe unajiona Muislaam safi.
Baada ya kufa Mtume (saw), Abu Bakar akateuliwa kuwa Khalifah wa kwanza katika Uislamu. Alipokuja kuwa Khalifah hakusema kuwa mimi ndio ninaanza sasa kwa hiyo nitafuatisha sheria za Allah nusunusu, laa aliweka sheriah za Allah zote!
Kwahiyo ni masikitiko makubwa kwa mtu kwenda kuweka mahakama zinazofuata Sheria za Allah katika masuala ya ndoa, mirathi na talaka tu!
Quran 4:65. But no, by your Lord, they can have no Faith, until they make you (O
Muhammad
saws.gif
) judge in all disputes between them, and find in themselves no resistance against your decisions, and accept (them) with full submission".
Mkandara said:
kama zipo nyingine umeshindwa vipi kuzifuata hizi uloacha hali wewe unajiona Muislaam safi.. Na hakika maadam hufuati baadhi ya sheria sidhani kama wewe unastahili kuitwa Muislaam .
Yes, kama mtu hafuati Sheria nyingine za Kiislamu kwa kuzikataa basi huyu mtu sio Muislamu, Uislamu ni kujisalimisha na kukubali sheria za Allah (aliyokuja nayo mtume) sasa kama mtu ameyakataa ni kwa nini ajiite Muislamu?!
Lakini kama hazifuati sheria nyingine kwa ajili ya uvivu wake au ujinga wake n.k hapa hawi Kaafir.
 
Kila kitu na muda wake, mbona hamipigii kelele bank ya mwingira?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom