Islam and politics in Tanzania

Islam and politics in Tanzania

Usilalamike Mapadre wengi tu wana-ukame nenda pale st. Peter, St. joseph kama uko majuu nenda vatican watukuhudhumia ndiyo walikobobea.

Mhh ukame tena?

Una maana kuwa Muhamad alivyokinajisi, kukibaka, na kukipatia maumivu makali sana kitoto cha miaka 9 alikuwa amezidiwa na ukame?

Nilijua lile baba libakaji lilikuwa limezidiwa na ukame? yaani baba zima lenye uwezo wa kupata wanawake wa umri wake linakimbilia "kuoa" katoto kadogo ka miaka 9.

What a rapist and a devil.
 
Mhh ukame tena?

Una maana kuwa Muhamad alivyokinajisi, kukibaka, na kukipatia maumivu makali sana kitoto cha miaka 9 alikuwa amezidiwa na ukame?

Nilijua lile baba libakaji lilikuwa limezidiwa na ukame? yaani baba zima lenye uwezo wa kupata wanawake wa umri wake linakimbilia "kuoa" katoto kadogo ka miaka 9.

What a rapist and a devil.
Huna clues ya hiyo issue ilivyo kuwa wala huna open mind kuelewa hayo mambo ..kwakuwa uko so "negative" opne your mind buy a book and read for yourself..siyo unaongea upupu tu hapa...ukishindwa nenda kwa Mapdre waku-fundishe....maana wana Ukame na wameruhusiwa kukufundisha watu wasio na akili kama wewe nawe uitikie amini baba askofu huko anakunani hii au huko vatican...finito.
 
Kigezo chake cha kuoa ni kubalee, kigezo cha Paulo ni nini? leo mutasema 17, kesho 18, kesho kutwa 21. mambo ya msingi hubadilika kama kubadilisha nguo na kusingizia hayo ndio mafundisho ya Mungu asiyekuwa na msimamo mmoja!!

Ndugu Mzanganyika;[607023] yaelekea upeo wako wa kuelewa mambo ni mfinyu mno kiasi cha kusikitisha na kwamba unahitaji tiba ya ki-psychologia. Biologically binadamu mwanamke hubalehe(i.e to be matured enough to conceive) when she is at a range of age betwen 9 and 15 years old, and above. Na kwa binadamu mwanaume ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Wataalamu wa biology na mabingwa wengine wa Human Science( i.e anatomy) katika nchi nyingi zilizoendelea za huku Ulaya na Amerika wamebaini hilo na katika hilo wote wanakubaliana. Yaani, binti anaweza kuvunja ungo kuanzia dakika yoyote ile ya umri wake wa kuanzia miaka 9,10, hadi 15. Na ninahakika hata mmoja wa dada zako ni miongoni mwa wale wanawake waliobahatika kuvunja ungo wakiwa na umri huo mdogo sana wa miaka 9, na kwahivyo, sioni sababu ya msingi kwa wewe kushangaa kwa hilo. Ingekuwa vyema kwako kuanza kustaajabu kuvunja ungo kwa dada yako huyo akiwa na miaka 9 tu ambaye siku zote wala naye ,wanywa naye na zaidi ya yote wamuona kila kukicha, kuliko kustaajabu umri mdogo wa mke wa Muhammad(SAW) ambaye hukumuona abadan bali wamsikia tu.
Pia ni vyema ukafahamu kwamba, katika karne nyingi zilizopita, utaratibu uliokubalika na jamii nyingi za wanadamu huko nyuma kuanzia wazungu, wachina, waarabu, wahindi na wa-Afrika, kigezo muhimu na cha awali kabisa kwa mtu kuowa au kuolewa kilikuwa kwanza ni rika lake, yaani kubarehe(kwa mwanaume) au kuvunja ungo(kwa mwanamke). Baada ya kigezo hicho kukamilika, ndipo baadaye yalitazamwa mambo mengine muhimu mathalani, kiwango cha busara cha muoaji au muolewa, tabia njema, uwezo wa kujituma kufanya kazi ya kujipatia riziki kwa njia za halali, ushirikiano wake na watu wengine ndani ya jamii aliyomo, ucheshi,ukarimu, usafi nk.
Sasa ikiwa Muhammad( saw) alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 40, tayari kesha barehe, na zaidi ya yote ni mwanamume rijali kamili na mwenye tabia inayokubalika na jamii yake, na huyo bi Asia anayedaiwa kuolewa naye alikuwa ni mwenye umri wa miaka 9,kesha vunja ungo na zaidi ya yote mwenye uzuri na hurka ya kupendeza, hivyo sioni tatizo lolote la kisheria kwa Muhammad kumuoa na yeye Bii Asia kukubali kuolewa naye.
Point ya mwisho kwako ndugu Mzanganyiko ni kwamba, wataalamu wa Pscychology wanaamini kwamba kwa mwanaume aliyekamilika na ambaye anamajukumu mazito ya kuiongoza jamii yake, ili aweze kufanya kazi hiyo vyema sharti la kwanza ni yeye awe na mke ambaye atampa mapumziko mema na burudisho la ki-Psychologia(i.e to create the sustainable mental stability and confortability). Pale akili ya mume huyo itakapotulia na kuwa OK, ndipo atakapokuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi ki-busara na kwa makini zaidi na siyo kiubabaishaji. Kwa sababu hiyo basi, ndiyo maana hakuna nchi yoyote duniani ambayo kwamba Rais wake ni hanith . Anaweza Rais huyo asiwe na mke wa ndoa halisi, lakini lazima atakuwa na kimada anayetambulika rasmi na watu awaongozaye-wa kumliwaza sawa na liwazo ambalo angelipatiwa na mke halisi kama angeliowa. Hata Cardinal Pengo na Mchungaji Mtikila hapo Bongo wafahamu hivyo. Fanya nao faragha watakueleza kinagaubaga ndugu yangu wala usiwe na mashaka juu ya jambo hilo.
Kwahivyo, Muhammad(SWA),akiwa ni kiongozi wa jamii ilimpasa awe na mke zaidi ya huyo ili fursa ya kutuliza akili ipatikane by 100%, na hivyo aweze kutimiza majukumu yake ya kiroho ipasavyo. Kwa kumalizia, nakushauri na wewe uwe na mke tena dogo dogo ili akupatie mrithi na siyo kuokotaokota migubigubi ya mjini inayo jali poch tu na siyo wajuzi wa mapenzi ya kukufanya wewe akili yako itulie na uweze kuchapa kazi sawasawa.​
 
Ndugu Mzanganyiko;[607023] yaelekea upeo wako wa kuelewa mambo ni mfinyu mno kiasi cha kusikitisha na kwamba unahitaji tiba ya ki-psychologia. Biologically binadamu mwanamke hubalehe(i.e to be matured enough to conceive) when she is at a range of age betwen 9 and 15 years old, and above. Na kwa binadamu mwanaume ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Wataalamu wa biology na mabingwa wengine wa Human Science( i.e anatomy) katika nchi nyingi zilizoendelea za huku Ulaya na Amerika wamebaini hilo na katika hilo wote wanakubaliana. Yaani, binti anaweza kuvunja ungo kuanzia dakika yoyote ile ya umri wake wa kuanzia miaka 9,10, hadi 15. Na ninahakika hata mmoja wa dada zako ni miongoni mwa wale wanawake waliobahatika kuvunja ungo wakiwa na umri huo mdogo wa miaka 9, hivyo, sioni sababu ya msingi kwa wewe kushanga kwa hilo. Ingekuwa vyema kwako kuanza kustaajabu kuvunja ungo kwa dada yako huyo akiwa na miaka 9 tu ambaye siku zote wala naye ,wanywa naye na zaidi ya yote wamuona kila kukicha, kuliko kustaajabu umri mdogo wa mke wa Muhammad ambaye hukumuona abadan bali wamsikia tu.​



Ni vyema ukafahamu kwamba, katika karne nyingi zilizopita, utaratibu uliokubalika na jamii nyingi za wanadamu huko nyuma kuanzia wazungu, wachina, waarabu, wahindi na wa-Afrika, kigezo muhimu na cha awali kabisa kwa mtu kuowa au kuolewa kilikuwa kwanza ni rika lake, yaani kubarehe(kwa mwanaume) au kuvunja ungo(kwa mwanamke), baada ya kigezo hicho kukamilika, ndipo baadaye yalitazamwa mambo mengine muhimu mathalani, tabia njema, uwezo wa kujituma kufanya kazi ya kujipatia riziki kwa njia za halali, ushirikiano wa muoaji/muolewaji na watu wengine ndani ya jamii aliyomo, ucheshi,ukarimu, usafi nk.
Sasa ikiwa Muhammad(sw) alikuwa na umri wa zaidi ya miaka 40, tayari kesha barehe, na zaidi ya yote ni mwanamume rijali kamili na mwenye tabia inayokubalika na jamii yake, na huyo bi Asia anayedaiwa kuolewa naye alikuwa ni mwenye umri wa miaka 9,kesha vunja ungo na zaidi ya yote mwenye uzuri na hurka ya kupendeza, hivyo sioni tatizo lolote la kisheria kwa Muhammad kumuoa na yeye kukubali kuolewa naye.
Point ya mwisho kwako ndugu Mzanganyiko ni kwamba, wataalamu wa Pscychology wanaamini kwamba kwa mwanaume aliyekamilika na ambaye anamajukumu mazito ya kuiongoza jamii, ili aweze kufanya kazi hiyo vyema sharti la kwanza ni yeye awe na mke ambaye atampa mapumziko mema na burusisho la ki-Psychologia(i.e to create sustainable mental stability and confortability). Pale akili ya mume huyo itakapotulia na kuwa OK, ndipo atakapokuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi ki-busara na kwa makini zaidi na siyo kiubabaishaji. Kwa sababu hiyo ndiyo maana hakuna nchi yoyote duniani ambayo kwamba Rais wake ni hanith . Anaweza Rais huyo asiwe na mke wa ndoa halisi, lakini lazima atakuwa na kimada anayetambulika rasmi na watu awaongozaye-wa kumliwaza sawa na liwazo la mke halisi. Hata Cardinal Pengo na Mchungaji Mtikila wafahamu hivyo. Fanya nao faragha watakueleza kinagaubaga ndugu yangu wala usiwe na mashaka juu ya jambo hilo.​

Kwahivyo, Muhammad(SWA),akiwa ni kiongozi wa jamii ilimpasa awe na mke zaidi ya huyo ili fursa ya kutuliza akili ipatikane by 100%, na hivyo aweze kutimiza majukumu yake ya kiroho ipasavyo. Kwa kumalizia, nakushauri na wewe uwe na mke tena dogo dogo ili akupatie mrithi na siyo kuokota migubigubi ya mjini inayo jali poch tu na siyo wajuzi wa mapenzi ya kukufanya wewe akili yako itulie na uweze kuchapa kazi sawasawa.​

hadithi ni ndefu mno.

ninasema katika Uislamu aliyevunja ungo anaweza kuolewa.anayeshangaa na hilo si mimi, mimi naumnga mkono this min requirement ya umri.

katika Ukristo minimum kigezo cha kuolewa ni nini?

vigezo vingine ulivyotaja ni halali, sikuvitaja kwa sababu kilichokuwa challenged ni umri.

Naona kama hoja yako haipingi kigezo cha mtu kuoa/kuolewa akibalee.
kama unapinga what is your age requirement?
 
Ndugu kasome dini kwenye sources zake..unafundishwa dini kwenye JF you will get lost!!! wekeni thread inayohusu Muhamad (S.A.W) tuwafundishe acheni kupotosha watu. Kumbukeni kila neno linaandikwa usije kuulizwa kwa jambo ambalo huna uhakika nalo!
NAshauri 1) Nunua Qur'an Tukufu tafsiri..it will cost 3,000-10,000 (tsh) soma ujifunze it is very straight foward.

Mkuu, huna hata aibu Unatuambia tuisome? Ya nini hasa? ili tujifunze nini? .. Nimefanya scaning ya haraka haraka tu kwa dakika ishirini nimepata verses za ajabu (reffer to post no 49 page 5 of thus thread). Mpaka sasa hivi hakuna hata mmoja wenu aliethubutu kuzizungumzia verses hizo au kukanusha kwamba hazitoki katika kitabu chenu. Sasa na wewe sijui unasemaje

Ningefurahi sana kama ungeanzisha Thread yako kama ulivyosema ili uelimishwe zaidi.
 
Ndugu Mzanganyiko;

Point ya mwisho kwako ndugu Mzanganyiko ni kwamba, wataalamu wa Pscychology wanaamini kwamba kwa mwanaume aliyekamilika na ambaye anamajukumu mazito ya kuiongoza jamii, ili aweze kufanya kazi hiyo vyema sharti la kwanza ni yeye awe na mke ambaye atampa mapumziko mema na burusisho la ki-Psychologia(i.e to create sustainable mental stability and confortability).




Hawa wataalamu wanaohalalisha huu unyama ni wa kiarabu nini?

Muhamad alikuwa tayari na mke mwingine wakati anaamua kubaka na kufanya unyama dhidi ya kitoto kidogo cha miaka 9.

What a rapist!​
 
Ndugu Mzanganyiko;[607023] Point ya mwisho kwako ndugu Mzanganyiko ni kwamba, wataalamu wa Pscychology wanaamini kwamba kwa mwanaume aliyekamilika na ambaye anamajukumu mazito ya kuiongoza jamii, ili aweze kufanya kazi hiyo vyema sharti la kwanza ni yeye awe na mke ambaye atampa mapumziko mema na burusisho la ki-Psychologia(i.e to create sustainable mental stability and confortability).​


Paulo anasema ili umhudumie Mungu (jukumu zito) usioe. na ndivyo mapadri wanavyofanya, hawaoi, at least that is what they tell us kuwa ndio mafundisho yao rasmi.

kwa maana hiyo sayansi ina question kama Paulo alikuwa kweli nabii ama anti-Yesu.

Katika Uislamu waumini wanaambiwa waoe ili wapate 'utulivu'- hao wana saikolojia uliowataja wanakiri kwamba ndoa huleta 'utulivu'.

Mungu asifiwe. penye uweli uzushi hauna nafasi.​
 
Hawa wajahidina wanalalamika ili wapewe tena majengo ya Serikali ili wayafanye kuwa Chuo Kikuu cha Pili? Majengo yameisha jamani, mlielewe hilo, endeleeni tu kukaa vijiweni na kunywa kahawa na gauni zenu ndefu (nasikia mnaziita kanzu) huku mkiendelea kulalamika mkimsubiri marehemu Muhammad (=Allah) atawashushia majengo kutoka akhera (jehanamu) aliko! Mbona alishusha aya? Sasa kwa nini ashindwe kushusha majengo?
 
Paulo anasema ili umhudumie Mungu (jukumu zito) usioe. na ndivyo mapadri wanavyofanya, hawaoi, at least that is what they tell us kuwa ndio mafundisho yao rasmi.

kwa maana hiyo sayansi ina question kama Paulo alikuwa kweli nabii ama anti-Yesu.

Katika Uislamu waumini wanaambiwa waoe ili wapate 'utulivu'- hao wana saikolojia uliowataja wanakiri kwamba ndoa huleta 'utulivu'.

Mungu asifiwe. penye uweli uzushi hauna nafasi.[/LEFT]

Utulivu wa kubaka, kunajisi, na kukipatia maumivu makali kitoto kidogo cha miaka tisa?

Unaweza kulala na kupata usingizi baada ya kufanya unyama huu? Baba zima limezeeka na lina wake wengine lakini bado linaparamia kitoto kidogo cha umri wa mjukuu wake?!

Yaani I can imagine maumivu makali aliyopata huyo mtoto.
 
Uhusiano wa 'ndani' haukuanza mpaka alipofikia umri wa biological maturity. hayo ndio mafundisho rasmi, wahoji waumini kwa mafundisho yao rasmi sio kulazimisha kudai kwamba watu wanaamini yale ambayo hawayaamini na hayapo katika mafundisho yao kama madai ya miaka 6 nk.

Kwa nini unadhani Kitabu kilichipotia kwa Muhammad (PBUH) hakibadilishwi lakini cha Paulo hubadilishwa na kitaendelea kubadilishwa? Nipe intelligent answer.

Katika kujua nani mkweli kati ya St. Paulo na Muhammad (PBUH), je unatambua kwamba waandishi wengi wa Biblia hawajulikani? Mfano mwandishi wa Hebrews hajulikani na hiyo ni rasmi kabisa, waandishi wa baadhi ya vitabu wanasema 'probably, 'maybe', 'possibly' fulani kaandika, sasa kama nabii aliyepokea hata hajulikani vipi ana qualify maandishi yake yaitwe maneno ya Mungu. Unatambua kwamba moja ya tofauti ni kitabu kimoja vs zaidi ya mia moja-Catholics wana 73, wengine 66, Jehovah wana cha kwao, mormoms wanasema vyote corrupt isipokuwa na cha kwao etc.
Kwa nini waislamu pekee hawabishani on kitabu kipi ndio sahihi na wana kimoja tu?

Kama Hujui mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni wewe tu kwa sababu ya kutokujua kwako, Usifikiri watu wote hawajui kama wewe.

What matter katika kitabu ni contents, hakuna shida yeyote kama vinakua vitabu 1000 lakini vyote vina converge katika kufikisha ujumbe wa Mungu, unaowasaidia watu kumjua Mungu na kuishi kwa amani upendo na kuvumiliana.

Wenzetu mnapiga makelele kua mna kitabu kimoja lakini katika hicho hicho kimoja nimetoa verse 3 tu za harakaharaka, woooooooote hamthubutu hata kuzizungumzia kwa sasabu zinatisha. Haingii akilini kama ´maneno ya Mungu´ yanaweza kuwaagiza watu kuua binadamu wenzao.
 
hadithi ni ndefu mno.

ninasema katika Uislamu aliyevunja ungo anaweza kuolewa.anayeshangaa na hilo si mimi, mimi naumnga mkono this min requirement ya umri.

katika Ukristo minimum kigezo cha kuolewa ni nini?

vigezo vingine ulivyotaja ni halali, sikuvitaja kwa sababu kilichokuwa challenged ni umri.

Naona kama hoja yako haipingi kigezo cha mtu kuoa/kuolewa akibalee.
kama unapinga what is your age requirement?
Mkuu, umri wa miaka 9 ni umri mdogo sana. Huyo binti anakuwa bado ni mtoto. Yawezekana labda akawa amebalehe. Lakini kuvunja ungo tu siyo kigezo cha mtu kuolewa. Lazima kuangalia factors nyingine pia, hasa ukomavu wa akili. Lazima awe anajua maana ya ndoa na kuwa na uwezo kamili wa kuingia ndoani kwa uhuru na utashi wake. Hivyo, mtoto wa miaka 9 siamini hata kidogo kama anakuwa anaelewa maana ya ndoa na kufanya uchaguzi wa kuingia kwenye ndoa. Ndo maana wengi hapa wameita kitendo cha Mtume Mohammed kuwa ni cha kibakaji.

Pili, kuolewa mapema watoto wa kike wa kiislamu kunawanyima watoto hao kuendelea na masomo. Na hii ni mbaya. Kumbe hamna sababu ya kulalamika kwamba mmeachwa nyuma kielimu kwa sababu kipaumbele chenu ni ndoa na ngono. Wakristo wanataka mpaka mtoto akue, asome, apate kazi ndo aamue mwenyewe kuolewa na mtu anayempenda. Ndiyo maana mabinti wa kikristo wanaolewa wakiwa na umri unaokubalika: kimwili, kisaikolojia, kiukomavu, nk
 
Nyie Boko Haram kwa kulalamika kusiko na sababu hamjambo! Mmemsahau Rais Mstaafu Benjamin Mkapa alipowatoa tongotongo kwa kuwapatia BURE majengo ya umma pale Morogoro (Chuo cha TANESCO) na kufanya kuwa chuo chenu kikuu cha kigaidi (kiislamu) wakati nyie mkiendelea kuvaa gauni (nasikia mnaziita kanzu) na kuendeleza umbea vijiweni na kunywa kahawa kwa kwenda mbele? Jamani majengo ya BURE yameisha, hata mlalamike vipi! Subirini marehemu Muhammad (=Allah) awashushie majengo toka akhera (kuzimu) kama "alivyoshusha" kile kitabu kilichojaa chuki inayoendelea kuitafuna dunia mpaka sasa!
 
Mkuu, umri wa miaka 9 ni umri mdogo sana. Huyo binti anakuwa bado ni mtoto. Yawezekana labda akawa amebalehe. Lakini kuvunja ungo tu siyo kigezo cha mtu kuolewa. Lazima kuangalia factors nyingine pia, hasa ukomavu wa akili. Lazima awe anajua maana ya ndoa na kuwa na uwezo kamili wa kuingia ndoani kwa uhuru na utashi wake. Hivyo, mtoto wa miaka 9 siamini hata kidogo kama anakuwa anaelewa maana ya ndoa na kufanya uchaguzi wa kuingia kwenye ndoa. Ndo maana wengi hapa wameita kitendo cha Mtume Mohammed kuwa ni cha kibakaji.

Pili, kuolewa mapema watoto wa kike wa kiislamu kunawanyima watoto hao kuendelea na masomo. Na hii ni mbaya. Kumbe hamna sababu ya kulalamika kwamba mmeachwa nyuma kielimu kwa sababu kipaumbele chenu ni ndoa na ngono. Wakristo wanataka mpaka mtoto akue, asome, apate kazi ndo aamue mwenyewe kuolewa na mtu anayempenda. Ndiyo maana mabinti wa kikristo wanaolewa wakiwa na umri unaokubalika: kimwili, kisaikolojia, kiukomavu, nk

Wao hawalioni hili, wanadai kuwa muhamad alikuwa mwanamme rijali kwa hiyo alihitaji mtu wa kumtuliza na kumburudisha.

Yaani katika wanawake wooooote walokuwepo arabia miaka hiyo, Muhamad aliona kitoto cha miaka tisa ndio pekee kinaweza kumliwaza na kumburudisha?

What a rapist!
 
Yaani wao kulalama utadhani ni sehemu ya swala tano. Duuu kila kukicha wakatoliki wanatuonea, serikali inatuonea, vyuo vikuu hatupati nafasi. Kama walivyodai kupeleka wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo (kwa mujibu wa mwongozo) itafikia mahala watadai WABUNGE WA KUTEULIWA WA KIISLAMU........

Hapo Mkuu ndio wanapo shangaza dunia
 
Kama Hujui mwandishi wa kitabu cha Waebrania ni wewe tu kwa sababu ya kutokujua kwako, Usifikiri watu wote hawajui kama wewe.

What matter katika kitabu ni contents, hakuna shida yeyote kama vinakua vitabu 1000 lakini vyote vina converge katika kufikisha ujumbe wa Mungu, unaowasaidia watu kumjua Mungu na kuishi kwa amani upendo na kuvumiliana.

Wenzetu mnapiga makelele kua mna kitabu kimoja lakini katika hicho hicho kimoja nimetoa verse 3 tu za harakaharaka, woooooooote hamthubutu hata kuzizungumzia kwa sasabu zinatisha. Haingii akilini kama ´maneno ya Mungu´ yanaweza kuwaagiza watu kuua binadamu wenzao.

wacha uongo.

Mwandishi wa Hebrews hajulikani, mtaje to prove me wrong.

wacha uongo wa kudai kwamba vitabu vyenu 1000 vina converge katika kufikisha ujumbe. kama ni hivyo wote mungeamini kwamba yesu ni Mungu-mbona 'witnesses; hawataki that nonsense kwamba Mungu anakula, analala na kuhitaji kwenda ******?

verses zimeshajibiwa.

huwezi kuleta verse na tafsiri yako, tafsiri waachie wenyewe. Mimi mbona hakuna sehemu uliyoweza kusema kwamba tafsiri yangu ya kila mtu anazaliwa guilty is wrong!!🙂
 
Tukubali tusikubali ukweli ni kwamba malezi ya kidini kati ya wakristo na waislamu yako tofauti sana. Na malezi haya ndiyo yametuathiri katika nyanja ngingi za maisha na hata kutufanya tutofautiane kati ya waamini wa dini hizi mbili. Malezi ya waislamu yana mkazo zaidi katika dini kuliko katika maeneo mengine. Pia wao yaonekana Quran wanaielewa kwa tafsiri sisisi. Hakuna exegesis. Pale inaposemwa mtu akatwe mkono basi anakatwa; makafiri wapigwe mapanga ili wasilimu, basi watu wanakuwa tayari kuvaa mabomu, nk. Hawa ndugu kutoka huko siyo rahisi. Inawapasa waonekane kama waasi vile.

Ukristo unaweka mkazo kwa elimu ya dini na kwa maendeleo ya watu. Yote yanakwenda sambamba. Na ni kwa sababu hii wakristo wako balanced zaidi. Si rahisi wakristo kuwageuza kwa haya kwani malezi yao ya dini hayakubali mtu kuwa mbumbumbu. Lakini pia mafundisho yao juu ya upendo hata kwa adui, kusamehe, kuvumilia, nk kunawaweka mahali pazuri katika kuishi na wasio wakristo.
 
Tukubali tusikubali ukweli ni kwamba malezi ya kidini kati ya wakristo na waislamu yako tofauti sana. .

wapo wanaochambia toilet paper na maji na wengine toilet paper inatosha. Uliyosema ni kweli.

Convergence gani hiyo ya vitabu 66 vs 73

convergence gani hiyo ya wanaoamini Yesu ni Mungu vs Binaadau

convergence gani ya wanaokubali mapadri mabasha vs wasiokubali

kuna convergence hapo?
 
neno la kwanza Muhammad (PBUH) aliloambiwa na Mungu ni Ikra-soma.

neno la kwanza aliloambiwa Paulo na Mungu ni nini?

Sijui ni mungu gani huyu anayeambia watu wabake vitoto vidogo. NIkimjua huyu mungu koko (miungu ya uongo?) nitamfungia ahera kabisa.
 
Sijui ni mungu gani huyu anayeambia watu wabake vitoto vidogo. NIkimjua huyu mungu koko (miungu ya uongo?) nitamfungia ahera kabisa.

Fanya utafiti ujue wabakaji wengi katika majela ya ulimwengu ni wafuasi wa dini gani na wabakwa wengi ni wa dini gani.

utafurahi sana🙂 mimi nilivyoona majibu nilicheka🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom