Kuna haja kubwa sana ya Waislamu wakaanza mpango maalum wa "NEW REVOLUTION". Hii nchi inaenda pabaya sana. Mpango wa Mapinduzi uendelezwe kwa nguvu za dhati, na ninaamini Waislamu watachukua nchi kwa njia yoyote ile. Kuna watu ndani ya Serikali hii hawana hata huruma na maskini; kazi yao kubwa ni kuendeleza UFISADI, RUSHWA. Hii nchi inahitaji "MAPINDUZI MAPYA YA KUUONDOA UTAWALA WA MAFISADI" Waislamu ndiyo wanaoteseka zaidi na huu utawala. Is Time For Change.