Huko ni kuishiwa hoja na kujenga your own conclusion. Kutozingatia facts ni dalili ya udhaifu.
You have to know that mke wake alifikia age of 'biological maturity' kaam kweli unataka 'sayansi' kabla ya hicho ambacho wewe unaita rape. Hilo huzingatii na badala yake unataka kuamini unavyotaka wewe. Kwa nini unajidanganya mwenyewe.
Mzanganyika taratibu miaka 9 unathubutu kusema alifikia age ya biological maturity tafadhali ebu tafuta utetezi mwingine waombe kina xpaster wakusaidie kukujibia hoja.muhamad alifanya fauli mbaya sana tena alianza kumtamani kitoto kikiwana na umri wa miaka 6 tu.
Niko maeneo ya shule ya msingi sanawari natazama vitoto vya darasa la kwanza vina umri kati ya miaka 6 na 7 yaani nakosa maneno ya kuandika jinsi nilivyochukia.Nashangaa sana waumini wa hii dini ya waarabu hawataki kujifunza kwamba muhamed hakuwa mtu wa mwenyezi wala mwenyezi mungu hawezi kukubali kumtuma mtu anayedaka watoto wadogo wa miaka 9.
Uhusiano wa 'ndani' haukuanza mpaka alipofikia umri wa biological maturity. hayo ndio mafundisho rasmi, wahoji waumini kwa mafundisho yao rasmi sio kulazimisha kudai kwamba watu wanaamini yale ambayo hawayaamini na hayapo katika mafundisho yao kama madai ya miaka 6 nk.
Kwa nini unadhani Kitabu kilichipotia kwa Muhammad (PBUH) hakibadilishwi lakini cha Paulo hubadilishwa na kitaendelea kubadilishwa? Nipe intelligent answer.
Katika kujua nani mkweli kati ya St. Paulo na Muhammad (PBUH), je unatambua kwamba waandishi wengi wa Biblia hawajulikani? Mfano mwandishi wa Hebrews hajulikani na hiyo ni rasmi kabisa, waandishi wa baadhi ya vitabu wanasema 'probably, 'maybe', 'possibly' fulani kaandika, sasa kama nabii aliyepokea hata hajulikani vipi ana qualify maandishi yake yaitwe maneno ya Mungu. Unatambua kwamba moja ya tofauti ni kitabu kimoja vs zaidi ya mia moja-Catholics wana 73, wengine 66, Jehovah wana cha kwao, mormoms wanasema vyote corrupt isipokuwa na cha kwao etc.
Kwa nini waislamu pekee hawabishani on kitabu kipi ndio sahihi na wana kimoja tu?