Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,462
Kuelezwa facts siyo "complain" hiyo ni facts. shule zilizotaifishwa hazikuwa za kanisa tu mpaka za kiislamu. isitoshe baada ya kutaifishwa ndio "ubaguzi na uhuni wa mt. nyerere ulipoanza kwa kuweka mapdre wizara ya elimu to select only christians....
waislamu walishasoma kabla ya nyerere wewe dogo acha mapepe soma historia wazee wetu walikuwa wakijua kiarabu kuandika na kusoma, na kiswahili kabla huyo kibaraka wenu kutoka musoma hajafika kuharibu nchi nzuri ya Tanzania na kubandikiza (UDINI hapa) hasa ukatoliki..hili balaa
Mkuu hicho ndicho Kipimo chenu cha Kusoma?