mzanganyika
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 257
- 6
naona mnajadili upuuzi tuu hapa...yani dunia ya leo watu tunajadili UDINIIIIIIII!!!!????...
KUNA KITU HAKIPO SAWASAWA VICHWANI MWENU....
swali kwa waislamu...KWANI KUSINGEKUWAPO NA WAKRISTU DUNIANI MUNGEBISHANA NA NANI???....MAANA WAPAGANI HAWANA DINI YOYOTE NA WANAAMINI MIZIMU MAWE NA MITI.....KWANI MAENDELEO YA WAISLAMU WACHACHE KAMA KINA DODI AL FAYED, MMILIKI WA MAN CITY, DR. SALI AHMED SALIM, PROF. LIPUMBA IBRAHIM ETC YAMELETWA NA NANI..AU WAMEZUIWA NA NANI???
SWALI KWA WAKRISTO...INA MAANA BILA WAISLAMU WAKRISTO MNGEKUWA MASIKINI WA KUTUPWA SIO?...ROMA ISINGEJENGWA SIO????...
HAPA TUONGELEE MATATIZO YETU WATZANIA KAMA WAPAGANI..HATUNA DINI...HIZI DINI ZOTE ZIMELETWA NA WANYONYAJI WA KIARABU NA WAKI-ZUNGU,....ILI WATUIBIE RESOURCES ZETU NA KUTUACHA MASIKINI....tafakarini kisha mchukuwe hatua sahihi...acheni malumbano ya kidini hapa
hatuamini kwamba wapagani hawana dini, tunaamini wanao dini na dini yao ndio hiyo ya upagani.
Kwa waislamu, dini sio lazima iwe na Mungu. Hata asiyeamini Mungu pia ana dini.