Islam and politics in Tanzania

Islam and politics in Tanzania

neno la kwanza Muhammad (PBUH) aliloambiwa na Mungu ni Ikra-soma.

neno la kwanza aliloambiwa Paulo na Mungu ni nini?

Point of Correction!
Mwamadi kabla ya kuambiwa soma alipigwa roba ya mbao mpaka akadhani mauti yamfikia. Hajakaa sawa akatandikwa roba nyingine tena na nyingine tena mpaka akawa hoi bin Taaban (Mungu hawi violent namna hiyo hata siku moja)

Pili alichokua anakisema alikua hakijui kwa sababu alikua illiterate.

Tatu hakuambiwa na Mungu asome bali na Jibreel na sio Mungu.

Kujibu Swali lako kuhusu Paulo ingawa si lazima nikujibu lakini kwa kukusaidia tu ni kwamba neno la kwanza kuambiwa na Mungu ilikua kuitwa jina lake mara mbili, ''Sauli Sauli...' Hili likikua jina lake kabla ya kua Mkristo.

Usidanganye watu tafadhali,
 
Fanya utafiti ujue wabakaji wengi katika majela ya ulimwengu ni wafuasi wa dini gani na wabakwa wengi ni wa dini gani.

utafurahi sana🙂 mimi nilivyoona majibu nilicheka🙂

Kama dini inamwanzilishi ambaye ni mbakaji na wafuasi (kama wewe) ambao wanashabikia ubakaji, inahitaji kwenda wapi zaidi ili kuwajua wabakaji.

Dini zingine na serikali nyingi duniani zisizo na dini zinawafunga jela wabakaji wakati uislam unashabikia ubakaji (kama inavyoonekana hapa). So haishangazi kuona kuwa waislam hawaendi jela kwa ubakaji.
 
wapo wanaochambia toilet paper na maji na wengine toilet paper inatosha. Uliyosema ni kweli.

Convergence gani hiyo ya vitabu 66 vs 73

convergence gani hiyo ya wanaoamini Yesu ni Mungu vs Binaadau

convergence gani ya wanaokubali mapadri mabasha vs wasiokubali

kuna convergence hapo?
Acha wamwabudu Yesu Mwana wa Mungu. Uislamu ni Dini ya Shetani. The devil is at work. There is no doubt on this. Ukweli huo unajidhihirisha kwenye maisha mabovu ya mwanzilishi wa dini, maagizo hatari yaliyo kwenye Quran, na maisha na matendo ya wafuasi wa dini hii. Kataa haya! Dini gani piganaji. Mungu wetu ni Munhu wa huruma, upendo na msamaha. Mungu wenu ni kinyume kabisa! Huyo Mungu wenu hawezi akawa Mungu wa kweli. He must be Lucifer. Jichunguzeni.
 
Kama dini inamwanzilishi ambaye ni mbakaji na wafuasi (kama wewe) ambao wanashabikia ubakaji, inahitaji kwenda wapi zaidi ili kuwajua wabakaji.

Dini zingine na serikali nyingi duniani zisizo na dini zinawafunga jela wabakaji wakati uislam unashabikia ubakaji (kama inavyoonekana hapa). So haishangazi kuona kuwa waislam hawaendi jela kwa ubakaji.

nimekwambia angalia takwimu ili ucheke kama mimi ninavyocheka🙂.

mfano anagalia takwimu za nchi zinazofunga wabakaji kama UK ama USA ama TZ na uniambie majority ya convicts na victims ni akina nani🙂

kwa nini tubishane kama maji matamu ama machungu wakati kila mmoja ana ulimi?
 
Acha wamwabudu Yesu Mwana wa Mungu.

na Mungu mwenyewe je aabudiwe ama ni mwana tu wa kuabudiwa?

na huyo mwana alivyokuwa akisali ndani ya Biblia alikuwa akimuabudu nani kama yeye mwenyewe ndio Mungu?🙂

ama the son is also his own father at the same time🙂
 
Huwezi kulijua fumbo la Utatu Mtakatifu bila kwanza kuvunja mkataba kati yako na shetani na wasaidizi wake mapepo na majini. Vinginevo ni kupoteza muda kukuelimisha kwani huwezi kuelewa hata kama nikikesha nakufundisha.
 
nimekwambia angalia takwimu ili ucheke kama mimi ninavyocheka🙂.

mfano anagalia takwimu za nchi zinazofunga wabakaji kama UK ama USA ama TZ na uniambie majority ya convicts na victims ni akina nani🙂

kwa nini tubishane kama maji matamu ama machungu wakati kila mmoja ana ulimi?

Nimeangalia takwimu na nikagundua kuwa waislam ni wengi mno (ukilinganisha na percentage ya waislam nchi humo).

Sasa ngoma inarudi Egypt, Saudi Arabia, na kwingine kwenye islamic nations ambako juzi walikuwa wanalazimisha binti wa miaka saba kuolewa. Yaani kwao(kama ilivyo kwako) hili sio tatizo bali ni jambo la kawaida.

No wonder ulikuwa unashabikia kutaka kujua uwezekano wa vibinti vya miaka miwili kubalehe.

What a pervet!
 
Huwezi kulijua fumbo la Utatu Mtakatifu bila kwanza kuvunja mkataba kati yako na shetani na wasaidizi wake mapepo na majini. Vinginevo ni kupoteza muda kukuelimisha kwani huwezi kuelewa hata kama nikikesha nakufundisha.

Babuyao,

Utaweza kufundisha mtu ambaye anataka kujua uwezekeno wa vitoto vya miaka miwili kubalehe? Good luck
 
Nimeangalia takwimu na nikagundua kuwa waislam ni wengi mno (ukilinganisha na percentage ya waislam nchi humo).

Sasa ngoma inarudi Egypt, Saudi Arabia, na kwingine kwenye islamic nations ambako juzi walikuwa wanalazimisha binti wa miaka saba kuolewa. Yaani kwao(kama ilivyo kwako) hili sio tatizo bali ni jambo la kawaida.

No wonder ulikuwa unashabikia kutaka kujua uwezekano wa vibinti vya miaka miwili kubalehe.

What a pervet!
Mwafrika, hawa watu wa ajabu sana. Wanatetea mambo ya ajabu sana. Yaani mtu anadiriki kusema mtoto wa miaka 2 olewe tu mradi kavunja ungo? Jamani mambo mengine lazima kutumia akili ya kawaida tu hata bila kupekua kitabu cha dini. Sasa kwao mtoto ni yupi? Yaani katika uislamu hakuna mtoto? Kinachoangaliwa ni via vya uzazi tu? Siamini kama walikuwa serious. Vinginevyo, basi dini hiyo ni hatari sana. Tuchunge watoto wetu. Hawa jamaa watawamaliza. Hakika! Inatisha sana.
 
Nikisema hiki kitabu kimejaa vituko watu wanabisha….

soma aya hii tafadhali..
SURAT AL – BAQARA

97. Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur’ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Unaona sasa hapo quran inatuambia kuwa kuna kiume kiliteremsha quran kwa idhini ya Mwenyezi Mungu na hicho kiumbe ni adui wa jibri…
 
Mwafrika, hawa watu wa ajabu sana. Wanatetea mambo ya ajabu sana. Yaani mtu anadiriki kusema mtoto wa miaka 2 olewe tu mradi kavunja ungo? Jamani mambo mengine lazima kutumia akili ya kawaida tu hata bila kupekua kitabu cha dini. Sasa kwao mtoto ni yupi? Yaani katika uislamu hakuna mtoto? Kinachoangaliwa ni via vya uzazi tu? Siamini kama walikuwa serious. Vinginevyo, basi dini hiyo ni hatari sana. Tuchunge watoto wetu. Hawa jamaa watawamaliza. Hakika! Inatisha sana.

Nilisoma hilo sikushangaa sana maana ni juzi kulikuwa na mjadala mkubwa dunia nzima (natumaini) kuhusu kitendo cha mwarabu mmoja kutaka kuoza binti wake wa miaka 7 kama sikosei kwa kibabu cha miaka sabini.

Kilichoshangaza ulimwengu ni kuwa, waislam wengi walikuwa wanaunga mkono hicho kitendo (labda kwa vile kimefanywa na mwarabu) eti kwa maelezo kuwa hata mtume wao alifunga ndoa na binti wa miaka 9.

Nilivyomsoma mzanganyika akieleza uwezekano wa kitoto cha miaka miwili kubalehe na kuolewa, nilihitimisha tu mtizamo wangu kwake.

A pervet and rapist.
 
Badala ya kuleta challenges based on 'official teachings' wameamua kuleta majungu.

Why dont you ask waislamu maswali juu ya yale wanayoyaamini na kusema on their behalf mambo ama tafsiri ambazo hazipo?

waulize waislamu-kwa nini nyinyi uhanidhi haramu wakati sisi kwetu ni halali. hapo unakuwa angalau umeweka ukweli ndani ya swali.

ama kwa nini musali mara tano. angalau hapo kuna uwekli ndani ya premise of the question.
 
Maswali ndiyo unaendelea kuulizwa hapa..

Kwa nini unadhani ni vizuri kubaka, kunajisi na kukipatia maumivu makali kibinti cha miaka 9 kama ilivyofanya na mtume muhamad?
 
Paulo aliuwa wafuasi wa Yesu wangapi na Muhammad (PBUH) aliuwa wangapi just because ya kumfuata Yesu na sio sababu yoyote nyingine?

Fanyeni utafiti.

Sidhani kama unataka kusema kuwa Paulo naye alibaka, kunajisi na kukipatia maumivu makali sana kabinti ka miaka 9 kama alivyofanya muhamad.
 
Ninyi waislamu adui wenu ni dini yenu. Hiyo ndiyo inayowashika mashati, miguu na kuwafunga mikono na akili kwa minyororo na kuwapeleka inakotaka na kuwafungia humo ili msiendelee. Mnahitaji kufanya mapinduzi humohumo ndani ya mfumo wenu wa elimu na malezi ya dini. Mnawalalamikia wakristo bure. Wakristo ni wema sana, tena wanawapenda kwa pendo la kweli na la kidugu. Ila shida yenu hampendeki. Wala hamtaki kujifunza mema kutoka kwao. Mna safari ndefu sana bado ya kujikomboa kutoka utumwa wenu wa hiari. Kazi kwenu!
 
Wala hamtaki kujifunza mema kutoka kwao. Mna safari ndefu sana bado ya kujikomboa kutoka utumwa wenu wa hiari. Kazi kwenu!

Kumuabudu binaadamu anayekula , anayelala na anayehitaji kwenda kujisaidia ndio wema?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom