Islam and politics in Tanzania

Islam and politics in Tanzania

kuna hadithi 2 za salvation.

1-amini Mungu na mtii ili ukaishi milele. Yaani bosi anasema follow the rules and you will be happy forever.

2-amini Mungu ameshuka kutoka mbinguni kuja kupigwa bakora na kutundikwa msalabani na mayahudi ili ajilipe mwenyewe dhambi za aliowaumba ili aliowaumba asiwaadhibu watakaporudi kwake na wawe happy forever. kama amekuja kwa hiari yake kwa ajili hiyo mbona alikuwa analalamika kutundikwa? Yaani hata suicide bombers huwa hawasiti kufanya vitu vyao lakini Mungu alikuwa anajitetea na kuomba msaada!!

Moja kati ya hizo njia mbili za salvation ni lazima has to be wizi mtupu!!!

kazi kwenu.
Shetani ndiyo tabia yake kunukuu hata maandiko matakatifu kwa lengo la kupotosha watu. This is what you are doing. Nimekueleza jambo la kufanya umeshindwa. Huwezi kuipinga imani ya kikristo kwa kunukuu mistari 2 au 3 ya Biblia. Na huwezi kuuelewa ukristo kwa kuusoma bila kwanza kuvunja mkataba na ibilisi. Ndo maana umeambiwa fanya hayo kwanza baada ya hapo njoo tukufahamishe juu ya hayo unayotaka kuyafahamu. Na utayafahamu. Nje ya hapo ni kumpigia mbuzi gitaa.
 
Kiongozi akiteua mtu anayejulikana kuwa ni corrupt na yeye anahesabika ni corrupt, je Mungu akiteua mtu 'mla wake za watu' na yeye Mwenyewe tumuelewe vipi?

Mungu Hamlazimishi Mtu hata siku moja anakuacha uwe na Free will kumpenda na kumfuata, Daudi alitenda dhambi hilo hatulikatai lakini alijutia klosa lake na Mungu alimwadhibu kwa kosa hilo, Mwishoni alisamehewa na aliendelea vizuri bila ketenda dhambi tena. Huyu ndio Mungu tunaemuabudu,Sisi kama mwanadamu tunaweza kukengeuka na kutenda dhambi kwa bahati mbaya lakini Mungu ni mwingi wa rehema na upendo anasamehe makosa yako kama ukitubu kwa moyo wa ukunjufu mbele zake. Na Ujua kua Mungu hapendi mtu afe katika dhambi ndio maana anawapa nafasi watubu dhambi zao ili awasamehe kwa sababu ni mungu wa upendo anaewapenda wanadamu.

Kamwe hawaui wakosaji kama Mwamedi anavyoamuru.. hii roho ya namna hii haitoki kwa Mungu

Sasa Rafiki yetu Mwamedi alitubia wapi makosa yake yoye aliyotenda kuanzia kubaka watumwa, kuua watu kubaka watoto kupora mali za watu na makosa mengi tu ' Sijui hiyo toba aliifanya lini na saa ngapi.
 
1.Ni wakti ambapo haki lazima itawale batili.
2.Kuwe na usawa katika kugawana rasilimali za nchi na si upande mmoja.

3.Tuache kuficha historia na vizuri iwekwe wazi kwa ajili ya vizazi vya baadae
 
Ndugu kasome dini kwenye sources zake..unafundishwa dini kwenye JF you will get lost!!! wekeni thread inayohusu Muhamad (S.A.W) tuwafundishe acheni kupotosha watu. Kumbukeni kila neno linaandikwa usije kuulizwa kwa jambo ambalo huna uhakika nalo!
NAshauri 1) Nunua Qur'an Tukufu tafsiri..it will cost 3,000-10,000 (tsh) soma ujifunze it is very straight foward.

Wewe Tumain, wenzio akina Mzanganyika, kanda2, Junius, Haki na waislam wote humu ndani ya JF washindwa kusema kama hizo verse hapo chini ni za kweli au la.......... Sasa wewe niambie, hiyo Qur'an Tukufu unayosema tuinunue ina maneno hayo hapo chini in black colour.....??? SEMENI KAMA MANENO HAYA YAMO KWENYE HICHO KITABU AU........????? Seriously, kama maneno haya yamo kwenye hicho kitabu chenu, hiyo hela sitaipoteza kwa kununua kitabu hicho, ni bora nikatwange KITIMOTO KWA HIYO HELA KULIKO KUNUNUA UUWAJI.

Sura 9: Verse 29 Fight against those who (1) believe not in Allah, (2) nor in the Last Day, (3) nor forbid that which has been forbidden by Allah and His Messenger (4) and those who acknowledge not the religion of truth (i.e. Islam) among the people of the Scripture (Jews and Christians), until they pay the Jizyah with willing submission, and feel themselves subdued.

Here they are ordered to fight, kill Christians and Jews. It is a command from their GOD, so those who pretend to condemn Osama bin Laden are just Liars, deep down in their hearts they say keep it up Osama. Jizyah in this scripture is a special Tax that is supposed to be leveied on Non Muslim, if they control Nation Quran tells them to tax non Muslim until they submit to Islam, Meaning you will be taxed to poverty. These are the teachings of ´Quran´

Sura 9: Verse 5 Then when the Sacred Months (the Ist, 7th, 11th, and 12th months of the Islamic calendar) have passed, then kill the Mushrikun (see V.2:105) wherever you find them, and capture them and besiege them, and prepare for them each and every ambush. But if they repent and perform As-Salat (Iqamat-as-Salat), and give Zakat, then leave their way free. Verily, Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.

Here is another command kill non Muslims wherever you find them, I think this is what inspires Osama and his supporters

Sura 9: Verse 38 O you who believe! What is the matter with you, that when you are asked to march forth in the Cause of Allah (i.e. Jihad) you cling heavily to the earth? Are you pleased with the life of this world rather than the Hereafter? But little is the enjoyment of the life of this world as compared with the Hereafter.

Here Mohammed or supposedly Allah is surprised to the people who do not want to blow up themselves.
 
WAKATOLIKI KWELI WANA KAZI. hEBU WAACHENI WAISLAMU NAO WATESE. mBONA NYIE ENZI ZA NYERERE MLITESA.

ACHENI KULALAMA
 
WAKATOLIKI KWELI WANA KAZI. hEBU WAACHENI WAISLAMU NAO WATESE. mBONA NYIE ENZI ZA NYERERE MLITESA.

ACHENI KULALAMA

Barubaru na wenzio, hebu nielezeni haya yamo kwenye Kurani au la.......??? Mbona mnakaa kimya.........???? Au na nyie hamjui kama yamo au laaaaaa...........????

Sura 9: Verse 29 Fight against those who (1) believe not in Allah, (2) nor in the Last Day, (3) nor forbid that which has been forbidden by Allah and His Messenger (4) and those who acknowledge not the religion of truth (i.e. Islam) among the people of the Scripture (Jews and Christians), until they pay the Jizyah with willing submission, and feel themselves subdued.

Here they are ordered to fight, kill Christians and Jews. It is a command from their GOD, so those who pretend to condemn Osama bin Laden are just Liars, deep down in their hearts they say keep it up Osama. Jizyah in this scripture is a special Tax that is supposed to be leveied on Non Muslim, if they control Nation Quran tells them to tax non Muslim until they submit to Islam, Meaning you will be taxed to poverty. These are the teachings of ´Quran´

Sura 9: Verse 5 Then when the Sacred Months (the Ist, 7th, 11th, and 12th months of the Islamic calendar) have passed, then kill the Mushrikun (see V.2:105) wherever you find them, and capture them and besiege them, and prepare for them each and every ambush. But if they repent and perform As-Salat (Iqamat-as-Salat), and give Zakat, then leave their way free. Verily, Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.

Here is another command kill non Muslims wherever you find them, I think this is what inspires Osama and his supporters

Sura 9: Verse 38 O you who believe! What is the matter with you, that when you are asked to march forth in the Cause of Allah (i.e. Jihad) you cling heavily to the earth? Are you pleased with the life of this world rather than the Hereafter? But little is the enjoyment of the life of this world as compared with the Hereafter.

Here Mohammed or supposedly Allah is surprised to the people who do not want to blow up themselves.
 
Kuwa na dini ya wabakaji na wauaji (suicide bombers) ni balaa - bora kutokuwa na dini.
.

Mimi nafikiri kuwa na Dini inayo kumbatia USHOGA na kubariki ndoa za jinsia moja ni balaa bora usiwe na Dini.
 
.

Mimi nafikiri kuwa na Dini inayo kumbatia USHOGA na kubariki ndoa za jinsia moja ni balaa bora usiwe na Dini.
Hebu jibuni maswali yangu. Sura 9 verse 5, 29 na 38 zipo kwenye ile kurani...???? Mnakimbia swali........Mimi nafikiri kuwa na Dini inayo kumbatia MAUWAJI ni balaa bora usiwe na Dini. Tena mbaya zaidi hayo mauwaji yanakumbatiwa na kitabu kinachoitwa kitakatifu cha dini hiyo........ Hii ni baraaaaaaaaaa..........

Hua ushoga unakatazwa kwenye biblia......ref. SODOMA NA GOMOLA.......
Huo uuwaji unaruhusiwa na kurani ..........ref. Sura 9 verse 5,29 and 38........ Si ajabu yule aliyeandika kitabu cha shetani mlitaka kumuua kwa ktumia vifungu hivi kwa vile vinawaruhusu na mnadhani mtapata thawabu kwa kumuua............
 
Barubaru na wenzio, hebu nielezeni haya yamo kwenye Kurani au la.......??? Mbona mnakaa kimya.........???? Au na nyie hamjui kama yamo au laaaaaa...........????

Sura 9: Verse 29 Fight against those who (1) believe not in Allah, (2) nor in the Last Day, (3) nor forbid that which has been forbidden by Allah and His Messenger (4) and those who acknowledge not the religion of truth (i.e. Islam) among the people of the Scripture (Jews and Christians), until they pay the Jizyah with willing submission, and feel themselves subdued.

Here they are ordered to fight, kill Christians and Jews. It is a command from their GOD, so those who pretend to condemn Osama bin Laden are just Liars, deep down in their hearts they say keep it up Osama. Jizyah in this scripture is a special Tax that is supposed to be leveied on Non Muslim, if they control Nation Quran tells them to tax non Muslim until they submit to Islam, Meaning you will be taxed to poverty. These are the teachings of ´Quran´

Sura 9: Verse 5 Then when the Sacred Months (the Ist, 7th, 11th, and 12th months of the Islamic calendar) have passed, then kill the Mushrikun (see V.2:105) wherever you find them, and capture them and besiege them, and prepare for them each and every ambush. But if they repent and perform As-Salat (Iqamat-as-Salat), and give Zakat, then leave their way free. Verily, Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.

Here is another command kill non Muslims wherever you find them, I think this is what inspires Osama and his supporters

Sura 9: Verse 38 O you who believe! What is the matter with you, that when you are asked to march forth in the Cause of Allah (i.e. Jihad) you cling heavily to the earth? Are you pleased with the life of this world rather than the Hereafter? But little is the enjoyment of the life of this world as compared with the Hereafter.

Here Mohammed or supposedly Allah is surprised to the people who do not want to blow up themselves.
Umesahau kuandika kwamba "piganeni ikiwa wao wataanza kuwapiga"
So it is allowed to fight those who fight you wakiacha na waislamu wataacha wakiendelea ni jino kwa jino..what is wrong with that?? mpaka kila moja atakapomheshimu mwezake! na kuishi kwa kuheshimiana.
 
THIS GIVES YOU MORE KNOWLEDGE HOW TO APPROACH THE ISSUE

Nearly 1 in 4 people worldwide is Muslim, report says

  • <LI class=cnnHiliteHeader _extended="true">Story Highlights <LI _extended="true">There are about 1.57 billion Muslims in the world, according to the report
    <LI _extended="true">Report by the Pew Forum on Religion & Public Life
    <LI _extended="true">Nearly 2 out of 3 of world's Muslims are in Asia, report says
  • Roughly 9 of 10 Muslims worldwide are Sunni, report says

October 8, 2009 -- Updated 0316 GMT (1116 HKT)

CNN) -- Nearly one in four people worldwide is Muslim -- and they are not necessarily where you might think, according to an extensive new study that aims to map the global Muslim population.
art.muslims.gi.jpg
Nearly two out of three of the world's Muslims are in Asia, stretching from Turkey to Indonesia.

corner_wire_BL.gif

India, a majority-Hindu country, has more Muslims than any country except for Indonesia and Pakistan, and more than twice as many as Egypt.
China has more Muslims than Syria.
Germany has more Muslims than Lebanon.
And Russia has more Muslims than Jordan and Libya put together.
Nearly two out of three of the world's Muslims are in Asia, stretching from Turkey to Indonesia.
The Middle East and north Africa, which together are home to about one in five of the world's Muslims, trail a very distant second.
There are about 1.57 billion Muslims in the world, according to the report, "Mapping the Global Muslim Population," by the Pew Forum on Religion & Public Life. That represents about 23 percent of the total global population of 6.8 billion.
There are about 2.25 billion Christians, based on projections from the 2005 World Religions Database.
Brian Grim, the senior researcher on the Pew Forum project, was slightly surprised at the number of Muslims in the world, he told CNN.
"Overall, the number is higher than I expected," he said, noting that earlier estimates of the global Muslim population have ranged from 1 billion to 1.8 billion.
The report can -- and should -- have implications for United States policy, said Reza Aslan, the best-selling Iranian-American author of "No God but God."
Fact Box

Report: Top 10 Muslim countries, by population

1. Indonesia: 202,867,000 (country is 88.2 percent Muslim)

2. Pakistan: 174,082,000 (country is 96.3 percent Muslim)

3. India: 160,945,000 (country is 13.4 percent Muslim)

4. Bangaldesh: 145,312,000 (country is 89.6 percent Muslim)

5. Egypt: 78,513,000 (country is 94.6 percent Muslim)

6. Nigeria: 78,056,000 (country is 50.4 percent Muslim)

7. Iran: 73,777,000 (country is 99.4 percent Muslim)

8. Turkey: 73,619,000 (country is about 98 percent Muslim)

9. Algeria: 34,199,000 (country is 98 percent Muslim)

10. Morocco: 31,993,000 (country is about 99 percent Muslim)

Source: "Mapping the Global Muslim Population," The Pew Forum on Religion & Public Life.
"Increasingly, the people of the Middle East are making up a smaller and smaller percentage of the worldwide Muslim community," he told CNN by phone.
"When it comes to issues of outreach to the Muslim world, these numbers will indicate that outreach cannot be focused so narrowly on the Middle East," he said.
"If the goal is to create better understanding between the United States and the Muslim world, our focus should be on south and southeast Asia, not the Middle East," he said.
He spoke to CNN before the report was published and without having seen its contents, but was familiar with the general trends the report identified.
The team at the Pew Forum spent nearly three years analyzing "the best available data" from 232 countries and territories, Grim said.
Their aim was to get the most comprehensive snapshot ever assembled of the world's Muslim population at a given moment in time.
So they took the data they gathered from national censuses and surveys, and projected it forward based on what they knew about population growth in each country.
They describe the resulting report as "the largest project of its kind to date."
It's full of details that even the researchers found surprising.
"There are these countries that we don't think of as Muslim at all, and yet they have very sizable numbers of Muslims," said Alan Cooperman, the associate director of research for the Pew Forum, naming India, Russia and China.
One in five of the world's Muslims lives in a country where Muslims are a minority.
And while most people think of the Muslim population of Europe is being composed of immigrants, that's only true in western Europe, Cooperman said.
"In the rest of Europe -- Russia, Albania, Kosovo, those places -- Muslims are an indigenous population," he said. "More than half of the Muslims in Europe are indigenous."
The researchers also were surprised to find the Muslim population of sub-Saharan Africa to be as low as they concluded, Cooperman said.
It has only about 240 million Muslims -- about 15 percent of all the world's Muslims.
Islam is thought to be growing fast in the region, with countries such as Nigeria, which has large populations of both Christians and Muslims, seeing violence between the two groups.
The Pew researchers concluded that Nigeria is just over half Muslim, making it the sixth most populous Muslim country in the world.
Roughly nine out of 10 Muslims worldwide are Sunni, and about one in 10 is Shiite, they estimated.
They warned they were less confident of those numbers than of the general population figures because sectarian data is harder to come by.
Don't Miss

"Only one or two censuses in the world ... have ever asked the sectarian question," said Grim.
"Among Muslims it's a very sensitive question. If asked, large numbers will say I am just a Muslim -- not that they don't know, but it is a sensitive question in many places," he said.
One in three of the world's Shiite Muslims lives in Iran, which is one of only four countries with a Shiite majority, he said. The others are Iraq, Azerbaijan, and Bahrain.
Huge as the project of mapping the world's Muslim population is, it is only the first step in a Pew Forum undertaking.
Next year, the think tank intends to release a report projecting Muslim population growth into the future, and then the researchers intend to do the whole thing over again with Christians, followed by other faith groups.
"We don't care only about Muslims," Grim said.
They're also digging into what people believe and practice, since the current analysis doesn't analyze that.

"This is no way reflects the religiosity of people, only their self-identification," Grim said. "We're trying to get the overall picture of religion in the world." E-mail to a friend
email.gif

Share this on:

Mixx Facebook Twitter Digg del.icio.us reddit MySpace StumbleUpon

| Mixx it | Share

All About Islam • Turkey • Asia
 
Shetani ndiyo tabia yake kunukuu hata maandiko matakatifu kwa lengo la kupotosha watu. This is what you are doing. Nimekueleza jambo la kufanya umeshindwa. Huwezi kuipinga imani ya kikristo kwa kunukuu mistari 2 au 3 ya Biblia. Na huwezi kuuelewa ukristo kwa kuusoma bila kwanza kuvunja mkataba na ibilisi. Ndo maana umeambiwa fanya hayo kwanza baada ya hapo njoo tukufahamishe juu ya hayo unayotaka kuyafahamu. Na utayafahamu. Nje ya hapo ni kumpigia mbuzi gitaa.

Are you denying a fundamental belief that God came to the world to be whipped His butt by his own creation so that His own creation can be saved?🙂

Does not make sense right🙂 Od course it is nonsense!!!

If you were alive then you you participate to whip God so that you could be saved?🙂

Kwa nini usingeshiriki katika kitendo cha kukuokoa wewe? Kwa nini majina ya walioshiriki hayatangazwi na kutukuzwa kwa sababu mchango wao wa kuchapa Mungu bakora ni lazima ili wewe uwe saved.
 
Onesha kipande kimoja cha histiria aliyobandikwa hapo juu kuwa ni uongo! halafu wewe uonyeshe ukweli mbadala!

Huwezi!

Kama unaweza fanya hivyo. Waswahili tuna usemi wetu ''Ukweli ukibaini uongo hujitenga''. Haya lete huo ukweli wako, na kama huwezi basi ujuwe uongo umejitenga na ukweli unajibaini!

Umeni-challenge nionyeshe angalau "kipande kimoja cha histria" ambacho si sahihi.

Nukuu hii hapa chini ni wazi ni uwongo kwa sababu Waislam hawakuzuiwa bali walikataa wenyewe kuwasomesha watoto wao kwenye shule za Kisasa kwa sababu zinazofahamika. Kalagha baho!

...The British, in alliance with missionaries, had denied Muslims education - the very condition which it put to deny them participation in shaping the future of the country...
 
Umesahau kuandika kwamba "piganeni ikiwa wao wataanza kuwapiga"
So it is allowed to fight those who fight you wakiacha na waislamu wataacha wakiendelea ni jino kwa jino..what is wrong with that?? mpaka kila moja atakapomheshimu mwezake! na kuishi kwa kuheshimiana.
It is wrong bacause we believe in "MSAMEHE MWENZIO 7 X 70 - na siyo JINO KWA JINO", and that is where the big difference starts. Kama kila mtu aki-practice JINO KWA JINO, belive me, just a day is enough to destroy everything in this world.

Till now bado Kinda2, Tumain, Mzanganyika, Haki, Junius na waislam wengine bado hamjajibu kama hizo verse (sura 9 verse 5, 29 and38) zipo kwenye kurani au la .............. Hamna hoja, mnakaa kubisha tu, mnatumia MOYO kufikiri badala ya VICHWA........ Acheni kuendeshwa na hisia..
 
Ninawauliza Wakristu juu ya imani yenu kwamba Mungu kashuka mumpige bakora ili iwe ndio malipo ya dhambi zenu ili nyinyi mupone na adhabu yake

Kama mungekuwepo wakati wa Yesu na kuona Mungu anapitishwa mtaani huku kabebeshwa msalaba akasulubiwe na Mungu auwawe, je na nyinyi Mungeshiriki ama la?

Kama mission yake ilikuwa ni kuja kuuliwa na binaadamu na kakuambia hivyo bila ya shaka ingebidi uwe mstari wa mbele kumuuwa Mungu-kweli ama si kweli? Kama ni kweli kwa nini wale waliomfuata na kusali naye na kumpenda hawakushiriki katika kumuuwa Mungu na badala yake mchezo wote umechezwa na maadui zake na waliomsaliti?

Kuna sababu gani ya msingi ya kukufanya wewe usishiriki kumpa 'kibano kitakatifu msalabani' wakati kibano hicho ndio salvation yako na kinahitajika ili wewe upone?

Kwa nini wewe ungeshiriki wakati wale wafuasi wake wa kweli hawakushiriki?

Je, ungemchapa Mungu bakora?
 
Huyu ndio Mungu tunaemuabudu,Sisi kama mwanadamu tunaweza kukengeuka na kutenda dhambi kwa bahati mbaya lakini Mungu ni mwingi wa rehema na upendo anasamehe makosa yako kama ukitubu kwa moyo wa ukunjufu mbele zake. .

Mbona unachukua falsafa za Kiislamu sasa za 'kuomba msamaha na kusamehewa'? Inaonesha hii falsafa ndio inaingia kichwani kwa kutumia akili.

Nyinyi si munaamini dhambi hufutwa kwa kuamini kwamba Mungu amekufa msalabani kwa ajili yenu?

Munaandika kwamba Yesu 'amelipa' dhambi zenu, kwani kulipa na kusamehe ni sawa? Mimi nikikulipa deni lako utaweza kusema kwamba umenisamehe?
 
miaka 6 au 9 ni age of maturity eeeh? unajua miaka 9 ni mtoto wa darasa la 3? hata mavuzi hayajaanza kuota!!!!!!!! halafu aingizwe MUHOGO na mzee wa miaka 40..? ITS SO PAINFUL JAMANI! lets b realistic ! IMAGINE KAMA NI MTOTO WAKO..? UNGEJISIKIAJE? and u call him PROPHET!!!!!!! aaagrararrar

Ni aibu aibu aibu na unyama unyama unyama wa kutisha,

Mtume muhamad ni mnyama na mbakaji wa kuogopwa. Inashangaza kuwa kuna watu wanamtetea hapa.
 
Mbona unachukua falsafa za Kiislamu sasa za 'kuomba msamaha na kusamehewa'? Inaonesha hii falsafa ndio inaingia kichwani kwa kutumia akili.

Nyinyi si munaamini dhambi hufutwa kwa kuamini kwamba Mungu amekufa msalabani kwa ajili yenu?

Munaandika kwamba Yesu 'amelipa' dhambi zenu, kwani kulipa na kusamehe ni sawa? Mimi nikikulipa deni lako utaweza kusema kwamba umenisamehe?

mzanganyika niambie tule to Verse tulikokua quoted kutoka kwenye Quran ni vya kweli? Au mmeonewa? Psssssss andika font size ndogo ili watu wengine wasione, ni mimi tu ntaona. Nijibu ili huyu alieleta huu uzushi aaibeke..
 
Kwa nini Yesu aliwaombea msamaha waliokuwa wanamsulubu kama kusubiwa kwake ndio ilikuwa mission yake ya kuja duniani- kwani walikosa nini kama kitendo chao kilikuwa kinakamilisha mission yake?

na alikuwa anawaombea msamaha kutoka kwa nani wakati yeye mwenyewe ndio anadaiwa kuwa Mungu na ndio anasamehe na ndio ameumba kila kitu na kila mtu?
 
Jibu mada au hauna cha kujibu kwa yaliyoandikwa na Mohamed Said?

Kwa kusoma kijuujuu tu utaona moja ya hoja nzito aliyotoa "Mwanahistria" (aka Mwanahysteria) Mohamed Saeed kwenye uchambuzi wake wa kisomi wa "histria" ya Uislamu na Siasa Tanganyika ni kwamba Waislamu walinyimwa nafasi au fursa ya kwenda shule.

Hapa chini ni nukuu mbalimbali za "Mwanahistria" Mohammed Saeed zinazoonyesha mtazamo huu potofu, usiyo sahihi na usiyoendana na ukweli wa mambo. La ajabu ni kwamba hakuonyesha reference hata moja ku-support nukuu zote hizi hapa chini zinazodai Waislam kunyimwa fursa ya kwenda shule na Wakoloni kama mwandishi alivyojitahidi sana kufanya kwenye hoja zake nyingine.

Sasa, ukichukulia kwamba madai haya ya uwongo ya Waislamu kubaguliwa na kunyimwa nafasi za kielimu ni hoja nzito na muhimu aliyotumia mwandishi kutetea na kujenga hoja zake nyingine, basi hakika "histria" hii si historia bali ni tamthiliya tu au bedtime stories za kusimulia Watoto wa Kiislamu kitandani kabla ya kulala. Ni wazi, hata kwa kuchambua kijuujuu tu kuwa dhamira ya mwandishi ni kupotosha ukweli.

The church and state provided education to African Christians and denied it to majority Muslims.

Resistance against British colonialism was therefore left to Muslims

The British, in their tactics of divide and rule, isolated Muslims for oppression and elevated Christians to a higher status by giving them educational opportunities.

Muslims suffered also as a colonised subject singled out for discrimination by being denied education curtailing any chances for self-advancement.

The British, in alliance with missionaries, had denied Muslims education - the very condition which it put to deny them participation in shaping the future of the country.
 
Back
Top Bottom