super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,478
- 1,099
Ugaidi ni roho ya dhambi inayotafuta kuchukua roho za watu wasio na hatia. Ukiona una ndugu ana element za ugaidi toa ripoti polisi kwa kuwa ukikaa kimya anaweza kukuua wewe au ndugu zako wa karibu kwa kuwa yeye hupenda damu za watu zimwagike. Kushabikia ugaidi kwa kuufananisha na ujasiri ni upuuzi.
Gaidi ni muuaji toa taarifa za ugaidi kwenye jeshi la polisi.
Gaidi ni muuaji toa taarifa za ugaidi kwenye jeshi la polisi.