super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,478
- 1,099
Binafsi nimekuelewa [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122].....acha kupotosha umma hao unaowataja ni wajinga tu kwanza hao dini yao haiendi kwa ilmu zaidi ya rai muislamu ni wajibu kwako kusoma dini ili uweze kutofautisha baina ya haqi na batwil!! Mkuu nitumie namba zako kwa pm nikutumie sauti za watu wenye elimu kubwa ya dini hasa masheikh wakisunni wakitahadharisha umma dhidi ya ugaidi
Sasa kama akiua kafir (kama ulivyosema) Anakwenda peponi, akiua muislam mwenzie anaenda wapi?wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Mimi najifunza kila wakati ila kuna wengine wamefungwa na " dini " zao, na watu hao ndo hushabikia mauwaji ya wenzao, ila kila " dini " ina watu wabaya na wazuri, Mfanomtu kitu Jifunze basi hata kuandika vizuri,fungua akili uone mbali siyo kubaki gizani.
mleta mada yuko sahihi na nikweli kabisaa hamna hata aya moja ktk qurani inayotaka watu wauane....na ukisoma vzr historia ya uislamu utagundua maswahaba wengi walikuwa wakiabudia miti na vitu vinginevyo sa lau kama mtume Angekuwa na msimamo kama wa isis wakuua kila asiyekuwa muislam je hao maswahaba Wangeingia vp ktk uislamu maana angewaua wotee!! dini ya uislamu inavyofahamika tofauti na ilivyo na mtu akitaka kuufaham uislam kwa elimu basi ni lzm akae chini asome mfano uislamu unazingatia haqi za jirani ambae si muislam tena haqi hizoo ametufundisha mtume sasa he lau kama mtume angekuwa muuaji kama Osama bin laden je hata hizo haqi za jirani asiye muislam angezifundisha? tafadhali ndugu zetu ktk utu na ubinadamu acheni dhana potofu dhidi ya uislamu!! uislamu haukubaliani kabisa na vitendo vya kigaidi
Umejibu vizuri mkuu but ningeshukuru kama mngewasaidia hao wanaowaza ivo kwa imani hiyo na muwape hiyo quran mnayotumia angalau dunia ingetulia na hili janga maana nashangaa hata wale walioua kenya CCTV ilionyesha walikua wanasali baada ya mashambulio tena adhana ya saa moja usiku wameweka silaha pembeni kisa adhana inalia nilishindwa kulia au kucheka.Katika Quran hakuna hicho ulichokieleza ila Quran inasema kwamba Atakaeua nafsi moja isiyo na hatia ni sawa na ameua ulimwengu mzima na atakayeiokoa nafsi moja ni sawa na ameuokoa ulimwengu mzima. Pia quran inasema kuwa tusiwacheke na kuwakejeli wanaoabudu wengine Zaidi ya Allah. sasa sijui hao wanaoua wapate mabikira 72 wanasoma Quran Gani ama wanafata muingozo gani,na nahisi hao unaowasikia wakikupa habari hizo ni wale waislam majina. kumbuka Kuitwa Rashid hakumfanyi mtu kuwa muislam. Shukran
Mkuu RGforever, Zanzibar mbali sana, kumbuka sakata la kitoto la Mbagala. Watoto wadogo kubishana kulikaribia kusababisha maafa makubwa!Unajua Unaweza Kuwatetea Ila Kwa Matendo ya Waislamu Yanayofanywa Mfano Tu Zanzibar hapo Inaniwia Vigumu kusema Magaidi Si Waislamu
Acha umbea una uhakika ni wao?Asalam Aleikum..!
Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.
Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?
Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.
Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.
Wasalam
Acha unafiki wewe wale ndio wanafuata dini ya uislam na watampga yyte ambae anapnga au hatekelezi maandiko!!Eb kakisome kitabu chenu ukimalize ukieleweAsalam Aleikum..!
Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.
Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?
Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.
Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.
Wasalam
Islamic States ndiyo waislam original,wewe mtoa post ni kafiri tu
uislam ni Amani best anayeshabikia mauaji mitaani kwenu chunguza vizuri utakuta ni member wa hao wauajiwewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
wewe ni muongo, tunaishi na waislamu na wanashabikia wakristo kuuawa eti ni makafir, Kwa hiyo uislamu ni ugaidi kabisa, si ndo nyie mkiuwa kafir Kwa kujilipua mnaenda peponi na kupewa wabikra 72 na juice tamu?
Ubarikiwe sana mkuu.Asalam Aleikum..!
Nasikitika kusema kuwa watu wengi hawajajua kuwa waislam ndo target kubwa ya magaidi. ISIS sio waislam kwa sababu hakuna muislam mwenye akili timamu atakayeweza kwenda kulipua Madina. Hii inadhihirisha wazi kwamba ISIS, Al Qaeda na wengineo wako after something else na sio kwa ajili ya dini.
Uislam ni salama na umejitenga mbali na upuuzi unaofanyika kwa jina la Uislam. Kwa akili ya kawaida tujiulize kwanini hao wanaojiita waislam wanalipua ndani ya misikiti, wanaua katika miji ya waislam?
Ndugi zanguni nawaombeni tuuweke Uislam mbali na upuuzi huu na tuwaone hao magaidi ni wapuuzi wasio na akili ambao wanafurahia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Angalieni kule Syria hao ISIS wakiteka mji wanaua wanaume wote na kuwateka wanawake na kuwafanya watumwa wa ngono.
Mimi ni muislam na kamwe siwez kuwasaport wala kuwafurahia magaidi kwa sababu dini yangu hairuhusu unyama unaofanywa na Magaidi.
Wasalam
Aliwafanyia nini? Weka na rejea tujifunze kuongeza maarifa. Ahsante.Wewe ujui unachoongea. Madina kulikuwa na koo nyingi za wayaudi. Alafu wakajua muhamad akija atawamaliza waka mualika na kujisalimisha. Ila muhamad alienda akawafanyia kitu mbaya zaidi ya watusi walichofanyiwa. Sasa jiulize kwanini hakuna wayaudi madina.
Quran Za kiswahili zipo kama hijaziona pole. Naomba uniambie ama unukuu katika quran sehem ilosema kuwa Kafiri hastaili kuishi.!Acha unafiki wewe wale ndio wanafuata dini ya uislam na watampga yyte ambae anapnga au hatekelezi maandiko!!Eb kakisome kitabu chenu ukimalize ukielewe
AF uje kujibu haya
Kwanini hawataki kuigeuza quaran" kwa lugha za husika kama kiswahili au kingereza n.k ili kila MTU a some aielewe!!mnatetea eti utapunguza swawabu!!
2.Wazinzi wakikamatwa mwanamke inabidi apgwe mawe ,mbona hampgi
3. Wasio waamini uislam mnawaita kafiri,na kadiri yenu kafiri hatakiwi wala Hana haki ya kuishi
Wanachofanya IS wapo sawa kadiri ya maandiko yenu !!Huwez kuyapnga hayo makundi wakati dini yenu ndo inasema hivo!!
Kumbuka tu kilichotokea Kenya!! Wale wanatekeleza kilichoandkwa!!