ISIS Fleeing Syria to Evade Russian Airstrikes

ISIS Fleeing Syria to Evade Russian Airstrikes

And the movie plot thickens! Kwa hiyo muda wote huu ina maana Wamarekani walikuwa wanawafanya nini hao ISIS?
 
hakuna mataifa makubwa hasa ulaya na marekani ambyo yanaweza kusaidia vita za mataifa mengine bila kuwa na maslahi binafsi juu ya hayo mataifa
 
Isil ni zao la marekani na israel, upo ushahidi wa kutosha kabisa. Na ndio maana hata isil walivyoushambulia mji wa kobani unaokaliwa na wa kurdi wa turkey, uturuki na marekani hawakutaka kuingilia kati mapema. Na ndio maana ni baada ya iran kuingia vitani ndio angalau isil ikaanza rudishwa nyuma. Urusi inafahamu fika ndoa ya isil na marekani ndio imesema marekani aondoe ndege zake na imeficha mpango wake wa kijeshi. Tayari marekani imeanza lalamikia mashambulizi hayo.

safi sana,kumbe marekani alikuwa anawafuga isis
 
Isis ni ya usa? Kumbe waarabu/waislamu wananunulika kirahisi hivi?
Salaale
 
2013 suala la pale mashariki ya kati linavurugwa na US, na sasa Russia na washirika wake wamemchoka wanataka kumuadabisha. Israel ki uchumi bado anapata sapoti ya chanzo cha jeuri yake US. Ukisha kumnyoa sharubu US lazima Israel ifikirie mara mbili kuleta fujo za kijinga.
----------------
Putin Mjaja sana kategea WINTER inaingia ndiyo kaanza biashara yake lazima wanunue ile gesi watake wasitake!
 
ISIL/ISIS wanacheza kwenye premier league ya vita ambapo wao ni swindonFC na urusi ni Chelsea. poleni wana swindon FC no disrespect.
 
ISIL/ISIS wanacheza kwenye premier league ya vita ambapo wao ni swindonFC na urusi ni Chelsea. poleni wana swindon FC no disrespect.
 
Russians were never invited by US to attack ISIS. Where did you see them being invited by US? Nuts.
Republican presidential front-runner Donald Trump (Next President of US) said the United States should let Russia fight it out against the Islamic State terrorist group in Syria, saying Syrian President Bashar Assad looks better to him than the alternative.

Donald Trump: 'Let Russia fight ISIS' in Syria - Washington Times

US secretary of state says Russian foreign minister made offer, seemingly in response to concern over reports of Russian military buildup in Syria

Russia proposes talks with US military over Isis situation in Syria | World news | The Guardian

The US secretary of state, John Kerry, has said Russia has proposed talks between the two countries’ militaries on the situation in Syria, apparently in response to Washington’s concern over reports of a Russian military buildup there.

Foreign minister S
4251.jpg
ergei Lavrov made the offer during a phone call on Wednesday, said Kerry, adding that he was in favour of such contacts because the US wants a better idea of what Russia’s current intentions are in Syria. Kerry said Lavrov had told him Russia was only interested in fighting the Islamic State militants.

The White House is also reportedly weighing a meeting between Barack Obama and his Russian counterpart Vladimir Putin when the latter comes to address the UN later this month.
 
Tatizo la hiyo vita ni kwamba, mrusi analinda utawala wa assad, lkn marekani haimtaki assad, hivyo inaunga mkono waasi, wanaompinga assad. Kwa hiyo marekani inakuwa imejipa kazi kubwa ya kupiga isis, wakati huo huo impige assad, kazi ipo. Ndo maana imeishia kujaribu kupatana na mrusi, lkn imegonga mwamba.

KImsingi Marekani hajadhamiria kuwapiga ISIS kinachoendelea ni saa tu..kwa uwezo walionao wamarekani wanajua at any time ISIS wapo wapi wamelala wapi wametoka na mwanamke gani wamevaa nguo gani chakula wanatoa wapi wana magari mangapi diseli inatoka wapi simu wamempigia nani etc etc..wao wanachotaka ni dunia iamini kuwa kweli wanapambana na ISIS ili hali wanataka Assad atoke (hawataki mtandika moja kwa moja kelele zitakuwa nyingi)..Mrusi kwa kuwa anajua hiyo fitna yote (na kwa kuwa analinda soko lake la gesi kwa kupinga gesi kutoka Qatar kupitishwa Syria kwenda uturuki na ulaya) kaamua kugawa kichapo cha mbwa mwizi tokea angani huku ardhini majemedari toka Syria, Lebanon (HIzbolah) na Iran wanakimbiza..kama marekani haitaingilia kati kuwapa silaha na makombora ya kudungulia ndege ISIS basi kiama chao kimewasili
 
ISIL imeundwa na ufalme wa Saudi na Qatar na ndio waliokua wakiufadhili kwa lengo la kuangamiza Nguvu ya iran asiweze kuendeleza mpango wake wa Nuclear, via proxy War. mpaka pale ISIL ulipom-declaire kuwa AlBaghdad kuwa ni world Caliphate. Na kuanza kujiita mara ISIS mwisho IS. hii ni kiashiria kuwa walishajitenga na kuanza kutafuta jina jipya kama sole organization.

haiingii akilini kwa USa kuona raia wake wakichinjwa na ISIS kisha useme waliiunda. Kama ni hivyo wasingeziomba nchi wafadhili zistop kuwasapoti ISIS.

USA na Ulaya ikaziomba nchi za Qatar na Saudi ziache kuisapoti ISIS kutokana na Mauaji ya kikatili waliokua wakifanya, hata hivyo by this time walishakuwa wame overran their perimeter KWasababu ya kibri ya Power waliyokuwa wameshaipata.
NA utaona sasa hivi mataifa ya Ulaya yamekubaliana kutokuwarudisha nyumbani kwao wapiganaji wote waliokwisha taste Blood kule Iraq. Wasije wakapeleka Ugaidi kwao. dawa ni kuwa-Execute hukohuko. Hali kama hii ilishawatokea USa walipoisaidia Taliban, baadaye Mullah alipoichukua afghanistan akaja kumficha Osama na kugoma kumkabidhi kwa USA. Ndipo USA ikachukua Jukumu la kumkimbiza Osama kwenye Vumbi la Afghanistan, na hatimaye kuja kumpata kwenye viunga vya nchi ya Pakistan hapo baadaye. Huku Mullah akiwa ametoweka kabisa.

waarabu wamekua easy to be fooledd by propagandas. KWahiyo Kansa ya ugaidi ni Kansa ya middle east, inayotaka kuila Dunia.
Hata sasa wenye short sighted watamsapoti Russia wakidhani na yeye hata geukwa kama wengine. kule kwake. Usisahahu Russia alikua anawakimbiza Chechnyia kwasababu walikuwa waki bomb Moscow.

Pengine Russia hawezi kusahahu kua Uhusiano wake na iran ni wa kimkakati zaidi, kwani Hawashei the very same ideology of what is virtue for humanity. Russia inamwitaji Iran like Saudi na Qatar na yemen zinavyomhitaji USA. Na ndio maana zinatawaliwa.

someni history sio mnajadili kama mnajadili mpira..
 
KImsingi Marekani hajadhamiria kuwapiga ISIS kinachoendelea ni saa tu..kwa uwezo walionao wamarekani wanajua at any time ISIS wapo wapi wamelala wapi wametoka na mwanamke gani wamevaa nguo gani chakula wanatoa wapi wana magari mangapi diseli inatoka wapi simu wamempigia nani etc etc..wao wanachotaka ni dunia iamini kuwa kweli wanapambana na ISIS ili hali wanataka Assad atoke (hawataki mtandika moja kwa moja kelele zitakuwa nyingi)..Mrusi kwa kuwa anajua hiyo fitna yote (na kwa kuwa analinda soko lake la gesi kwa kupinga gesi kutoka Qatar kupitishwa Syria kwenda uturuki na ulaya) kaamua kugawa kichapo cha mbwa mwizi tokea angani huku ardhini majemedari toka Syria, Lebanon (HIzbolah) na Iran wanakimbiza..kama marekani haitaingilia kati kuwapa silaha na makombora ya kudungulia ndege ISIS basi kiama chao kimewasili

Hawawezi kuacha kufahamu kwa sababu wenyewe wanahusika katika kuwapromote....ukiwa muagizaji ni wazi utajua uliyemuagiza yuko wapi na anafanya nini coz atakuwa anarejesha taarifa.
 
Sema hapo sijui nani yupo sahihi ila nadhani russia yupo bomba, usa wajingaa

Tatizo la hiyo vita ni kwamba, mrusi analinda utawala wa assad, lkn marekani haimtaki assad, hivyo inaunga mkono waasi, wanaompinga assad. Kwa hiyo marekani inakuwa imejipa kazi kubwa ya kupiga isis, wakati huo huo impige assad, kazi ipo. Ndo maana imeishia kujaribu kupatana na mrusi, lkn imegonga mwamba.

Kuna waziri wa uingereza kama sikosei alisema eti russia hawez kuishinda isis hahaha!!!
 
2013 ni maslahi gani russia anayapigania pale syria??? Iran nae ana maslahi gani??? Vipi hawa wamarekani na wenzao nao kwanini hasa wanataka kumtoa assad ilihali putin anawapinga!!!?
 
Last edited by a moderator:
za

Hizo video sitaki kuziamini sana coz,nimeona mtangazaji akisema hiyo video ya kudondoshewa siraha na us ni unconfirmed video,na hata hivyo video nying za hapo ni kutoka RT ambayo ni statio ya russia...na wote tunafaham russia na us wanapondana kama ccm na ukawa ,kama ingekuwa kweli russia ingesema hyo mambo officially...so hizo ni story za kimtazamo zaidi

Sikiliza speech ya putin kule UNGA, google kwenye youtube utaikuta.
 
Isil ni zao la marekani na israel, upo ushahidi wa kutosha kabisa. Na ndio maana hata isil walivyoushambulia mji wa kobani unaokaliwa na wa kurdi wa turkey, uturuki na marekani hawakutaka kuingilia kati mapema. Na ndio maana ni baada ya iran kuingia vitani ndio angalau isil ikaanza rudishwa nyuma. Urusi inafahamu fika ndoa ya isil na marekani ndio imesema marekani aondoe ndege zake na imeficha mpango wake wa kijeshi. Tayari marekani imeanza lalamikia mashambulizi hayo.

Ni kweli na mbaya zaidi hawaja specify itakua ni vita ya muda gani!! Vifaa gani vitahusika!! Vyote ni classified!! Mmarekan analalamika maana makundi yake yanachakazwa na putin!! Kweli putin ni balaa
 
Back
Top Bottom