FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
Wewe kila kitu ni udini tu, una matatizo gani?
Udini ndiyo nini?
Wewe hujuwi kuwa isis na ni chombo cha Wayahudi na US?
Wewe kila kitu ni udini tu, una matatizo gani?
Nakubaliana, ISIS hakina maadli yoyote ya Uislamu.Udini ndiyo nini?
Wewe hujuwi kuwa isis na ni chombo cha Wayahudi na US?
Kwenye hiyo post uliyomnukuu Faiza naomba unioneshe na mimi huo udini ulipo.Wewe kila kitu ni udini tu, una matatizo gani?
Kwenye hiyo post uliyomnukuu Faiza naomba unioneshe na mimi huo udini ulipo.
Je na wewe una matatizo gani?
link Russia: Strikes in Syria exclusively targeting ISIL - Al Jazeera English
Kwamba ISIS (ISIL) ni kikundi cha US na washirika wake, soma yaliyomo ndani ya links hapo juu.
Udini ndiyo nini?
Wewe hujuwi kuwa isis na ni chombo cha Wayahudi na US?
Ilikupasa kwenda mbali zaidi na kuzilaani US na washirika wake kwa kuanzisha fujo na majanga ambayo yamepelekea wakristo wenzako kupata mateso. Chini ya Assad , wakristo, waislamu na wasio dini waliishi kama taifa moja.hongera russia hawa jamaa walizoea kuwanjinja wakristo kama kuku sasa wamepata saizi yao.....wakristo tunaiitaji urusi kuliko tunavyoiitaji marekani
Link https://libya360.wordpress.com/2015/09/25/us-special-ops-a-secret-war-waged-in-135-countries/hongera russia hawa jamaa walizoea kuwanjinja wakristo kama kuku sasa wamepata saizi yao.....wakristo tunaiitaji urusi kuliko tunavyoiitaji marekani
hongera russia hawa jamaa walizoea kuwanjinja wakristo kama kuku sasa wamepata saizi yao.....wakristo tunaiitaji urusi kuliko tunavyoiitaji marekani
ISIS/ISIL ni zao la Marekani.
Na hawakuwa serious kuwaondoa maana walitaka ISIS wampe shida Assad kwa faida ya Marekani.
hongera russia hawa jamaa walizoea kuwanjinja wakristo kama kuku sasa wamepata saizi yao.....wakristo tunaiitaji urusi kuliko tunavyoiitaji marekani
hongera russia hawa jamaa walizoea kuwanjinja wakristo kama kuku sasa wamepata saizi yao.....wakristo tunaiitaji urusi kuliko tunavyoiitaji marekani
Kwa hili US wataumbuka zaidi kwa mipango yao mibaya, sasa tutajua zaidi who is who in this war
hongera russia hawa jamaa walizoea kuwanjinja wakristo kama kuku sasa wamepata saizi yao.....wakristo tunaiitaji urusi kuliko tunavyoiitaji marekani
Lkn wakuu mkumbuke kwamba ndani ya Syria Kuna makundi kama matatu yanayompinga assad, hiyo isis linajulikana kwakuwa ndo lenye nguvu na limetapakaa kwingine. Mi sipati picha hii vita itakuwaje mwishoni. Wakati mrusi anamsaidia assad.
Kwa hili US wataumbuka zaidi kwa mipango yao mibaya, sasa tutajua zaidi who is who in this war