ISIS Fleeing Syria to Evade Russian Airstrikes

ISIS Fleeing Syria to Evade Russian Airstrikes

2013 ni maslahi gani russia anayapigania pale syria??? Iran nae ana maslahi gani??? Vipi hawa wamarekani na wenzao nao kwanini hasa wanataka kumtoa assad ilihali putin anawapinga!!!?
kuna mengi kama vile vitega uchumi, market, kimsingi unapokua na mtandao mkubwa na nguvu yako ya ku-bargain inakua kubwa hasa migogoro ya middle east inayoihusu israel na palestine. pia hata usa inatambua ndio maana inataka kumng'oa Assad pale.
 
Lkn wakuu mkumbuke kwamba ndani ya Syria Kuna makundi kama matatu yanayompinga assad, hiyo isis linajulikana kwakuwa ndo lenye nguvu na limetapakaa kwingine. Mi sipati picha hii vita itakuwaje mwishoni. Wakati mrusi anamsaidia assad.

Russia anateketeza kila kitu kinachopingana na serikali ya assad. Makundi yote yanashikishwa adabu.
 
Russia anateketeza kila kitu kinachopingana na serikali ya assad. Makundi yote yanashikishwa adabu.

Sasa hapo mkuu, USA wanafanya nini Syria, maana hiyo si ni hatari kwao?, au hawa wakubwa wanajuana. Mi naona wanaweza pigana ase na itakuwa balaa, ukizingatia wote ni super power.
 
Mareakani na nguvu zake kubwa za kijeshi yupo Afghanistan miaka 14 sasa ..kuwapiga Taliban.
Tangu 2001 mpaka sasa Taliban wapo wameondoka ikulu tu ya Kabul.
Usa anahakikisha hao wapo ili aendelee na vita yake ya ugaidi ambayo ni vita dhidi ya uislam.
Ilifata iraq nayo akaichafua na pia hakuondoa ugaidi kule..alihakikisha unaendelea.
Ikaja libya juu ya kumuua Ghadafi waliiwacha libya kama ilivo na serikali 2 moja Tripoli na nyengine Bhengazi. na hana nia ya dhati kuondoa ugaidi bali anaupandikiza ili aendelee na ugaidi wao wa kuua waislam duniani.
Syria ndio kichaka cha sasa cha kueneza ugaidi.
Waliwafundisha wahuni outlawed wakawapa silaha nao wakageuzwa kuwa ISIS.
Hawa wamefanya ushenzi mkubwa kwa jina la uislam...na Usa wanawapa msaada mkubwa wa silaha kwa njia za kujifanya wanawasaidia walinzani wa Asad..lakini baadae silaha hizo zinakwenda ISIS.

Hivyo nchi hizi zote zimechafuliwa na walo shiriki hawataki kuona zinakua na amani.
Urusi wameona huu ni ujinga sasa wamekwenda kuwadunda wapinzani wote wa serikali..wote ni magaidi Russia iliwahi kupata matatizo haya ya ugaidi kule chechniya walipo amua sasa basi leo chechneya iko safi ya amani .
Safi sana Russia wapige magaidi na ukimaliza syria ingia iraq na libya.
Gaidi ni gaidi tu na haichagui nani anampiga vita. Usa wasidanganye dunia wao ni wafugaji wa magaidi
 
Ugaidi upo kwenye moyo wa mtu mkuu....vita ngumu kuliko zote ni kumaliza ugaidi
 
Vita ni biashara kubwa inayowezesha nchi kubwa kama marekani,Urusi,Ufaransa na nyinginezo katika kundi la nchi zilizoendelea kulete mlingano katika nchi zao.Uwepo wa vita nje ya nchi hizi na hasa mbali na nchi husika inatengeneza mazingira ya kuwapa ajira raia wake walioko katika ile orodha ya watu wasiokuwa na kazi pamoja na kuwa na uwezo wa kufanya kazi.Hapa wanatumwa watu wenye fani zao nchi za ng'ambo kufanya kazi zao katika nchi zilizoathirika na vita na mara nyingi mlipaji wa gharama za vita ni makubaliano kati ya nchi yenye ubavu dhidi ya nchi mwenyeji iliyoko vitani.Viwanda vya silaha za aina zote, hupata neema ya kutumia silaha zao na wakati huo huo viwanda vya silaha hufanyia majaribio baadhi ya silaha ambazo zinaingia sokoni kwa mara ya kwanza.Hii ndio sababu kubwa ya nchi kama marekani kuwepo Afghanistan na Iraq kwa muda mrefu bila kuondoka,na pale wanapotakiwa kuondoka hua vifaa na maafisa kadhaa wanabaki kwa makubaliano kati ya taifa kubwa na nchi mwenyeji.Hizo ndio siasa za vita ambazo chini ya jamvi ni biashara kubwa sana.:bowl:
 
Back
Top Bottom