Isipopigwa kwa muda mrefu

Isipopigwa kwa muda mrefu

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,683
Reaction score
14,066
Huwa inarudi kwenye upya wake...

Kwa hiyo nawashauri muwe mnazitunza....

Pia mkila mboga za majani inaifanya iwe na afya......

Kaika kuiosha usitumie sabuni
...piga maji tu kwa wingi....kwani sabuni inawaua wale bacteria wazuri......

Ile harufu yake ya asili hutupa mshawasha na kuongeza........UTAMALIZIA MWENYEWE
 
Kumbe nazo zinajivua gamba! Ila watu wa mwambao wahuni sana wana remix yao ya limao na mdalasini.. Ikilowekwa kwa nususaa tu hata kama kilometers zilikuwa zimeenda sana na Jana yake imetoka kutumika inarudi almost 0km! 😂
 
Back
Top Bottom