Isingekuwa Kujitoa CHADEMA na Kujiunga CCM...

Kila wakati huwa tunasikia CCM imekufa na baadae wanaosema imekufa wanahamia kwenye Chama hichohicho inachosemekana kimekufa.

CCM naiona ikishinda uchaguzi mkuu wa 2020 iwe kwa halali au kwahila. Tuambieni CDM mtatumia mbinu Gani Mpya kuitoa CCM? Mtawatumia USA na nchi zingine za magharibi? Kwani nchi hizo zinataka kuitoa CCM au zinataka rasilimali? Je CCM wakiamua kuwapa watakacho huo huko mnakosemelea hizo rasilimali za nchi Kama madini n. K mtakimbilia wapi kusemelea?

Rudi kwetu wananchi mtupange mpaka tuwaelewe njooni vijijini Huku maana Hatutumii hata social media Huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mpambano wa vyama kwa sababu vyama havina tena itikadi zinazoeleweka. CCM haijulikani inasimamia na kuongozwa na itikadi gani kama ilivyo kwa baadhi ya vyama vya upinzani

CCM inachotaka inachukua! Inachukua iwe ni "wanachama" iwe ni ushindi nk, inachukua kwa sababu CCM sio kwamba ni Chama Dola bali CCM ndio DOLA yenyewe(tafakari hata usajili wake). Hao kina Balozi Dr Slaa, Dr Mashinji, Mwanakijiji na weengi wengine ambao bado wapo vyama vya upinzani ni watumishi wa DOLA wakitumikia mfumo kwa kadri wanavyoelekezwa

Ajabu ni kwamba weledi ni kama unapungua/ umepungua katika kuyaendesha mambo haya kiasi cha watu wa kawaida kugundua na kuhisi uwepo wa nguvu hii ambayo kikawaida inatakiwa ijifiche sana. Tangia enzi za awamu ya kwanza kwa mfano kulikua na Majaji ambao ni wa kwenye "mfumo" lakini kulikua na weledi wa hali ya juu kutokuwa expose tofauti ilivyo sasa ambapo you can easily spot them

Mwalimu Nyerere alipotoa hoja na shinikizo kwa CCM(dola) kukubali mfumo wa vyama vingi alisema ni muhimu CCM(DOLA) isimamie kuanzishwa kwa siasa hizo ili "iuratibu" mfumo huo yenyewe kabda watu hawajaudai. Mwalimu alikua ni bingwa wa siasa na ndie aliyeusuka 'mfumo" na wengi hawakumuelewa alikua na maana gani aliposema CCM (dola) "iratibu" ujio na uwepo wa vyama vingi

Ushauri wa Mwalimu ulifuatwa ila kwa sasa kinachokosekana ni weledi. Angekuwepo nadhani CCM(dola) ingeshameguka kama "alivyotamani" na kungekua na vyama viwili vikubwa vyenye nguvu sawa vikiachiana madaraka kwa maelekezo kutoka "mahala" na huku kukiwa na stability ya kisiasa na kiusalama nchini. Ni wachache walimuelewa. Mwenyewe aliwahi kusema kua Marekani kuna chama kimoja tu hayo mengine mbwembwe tu

Alimaanisha uwepo wa Republican na Democrat ni uratibu wa Dola na hivyo vyama ndio Dola la Marekani. Ndio maana misingi ya kitaifa ya nchi ile ikiwa ni pamoja na ubabe na ubeberu kwa mataifa mengine uko palepale miaka yote, watawale Democrats au Republicans. Natamani watu waelewe
Aisee nimekuelewa sana ...natamani tuwe hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee ukiacha kkubari kupokea hongo ya ubalozi Ana hoja Nzito khs Chadema... View attachment 1363526

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni halali mwanaCCM kuandika kuhusu chama ambacho siyo chake tena? Hivi akitokea mwanaChadema aliyewahi kuwa ndani ya CCM akaanza kuandika madudu yaliyomo ndani ya CCM na kuwachambua watu walio ndani ya CCM atapona? mkinijibu hapo nikaridhika kesho naanza mipango ya kuandika kitabu kuhusu CCM na wana CCM. Nawahakikishia mtashika midomo, maana naijua CCM na wanaCCM kwa undani sana! Si cha Mangula, Jiwe wala polepole, Bashite, n.k. Ni hatari tupu!
 
Hivi ni kwa nini Dr. Slaa licha ya kuwa mwanaCCM hajaridhika tu na cheo alichopata? Kama alitaka urais kwa nini asigombee mwaka huu kupitia CCM?
 
Mie kwa mtazamo wngu lipo la kujifunza kupitia andiko lake nakushauri jaribu kulisoma narudia tna ukiacha kkubari hongo ya nafasi ya ubalozi na kumpiga Kampeni Mh Magufuli lipo pia la kujifunza ndani yke...
Kwani dr. Slaa hajaridhika tu kuwa mwanaCCM? Mbona bado anaiota Chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikuwa mwafrika aliyeona mbali sana.

Hawa wenzetu wengine na mawazo yao mafupi, wanaangalia tu uchaguzi ujao, na matumbo yao.

Mwalimu aliangalia mbele, miaka 50 na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pambaneni na hali yenu...CCM CHAMALAO...MAGUFULI BABALAO
 
Rudi kwetu wananchi mtupange mpaka tuwaelewe njooni vijijini Huku maana Hatutumii hata social media Huku.
Naipenda sana sentensi hii. Laiti CHADEMA na vyama vingine wangejua umhimu wake hata maumivu wanayopewa yasingekuwa makubwa kiasi yalivyo sasa.

Huenda siku moja watatambua maana ya sentensi hii.
 
Nyerere alikuwa mwafrika aliyeona mbali sana.

Hawa wenzetu wengine na mawazo yao mafupi, wanaangalia tu uchaguzi ujao, na matumbo yao.

Mwalimu aliangalia mbele, miaka 50 na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini umemuwazia Mwalimu kwenye hili mkuu 'infinix'; na wala hukutaka kufafanua zaidi kuhusu aliyoyaona miaka 50 mbele yake!

Kwa hakika kabisa naweza kukuambia kwamba Mwalimu asingetegemea kuiona CCM, chama alichokianzisha na kukijenga kwa umakini mkubwa, kwamba kingekuwa kimefikia kwenye hali kilichomo leo hii.

Sasa kama wewe unayo mawazo tofauti na hayo, yalete tuyajadili.
 
Hakuna mpambano wa vyama kwa sababu vyama havina tena itikadi zinazoeleweka. CCM haijulikani inasimamia na kuongozwa na itikadi gani kama ilivyo kwa baadhi ya vyama vya upinzani

CCM inachotaka inachukua! Inachukua iwe ni "wanachama" iwe ni ushindi nk, inachukua kwa sababu CCM sio kwamba ni Chama Dola bali CCM ndio DOLA yenyewe(tafakari hata usajili wake). Hao kina Balozi Dr Slaa, Dr Mashinji, Mwanakijiji na weengi wengine ambao bado wapo vyama vya upinzani ni watumishi wa DOLA wakitumikia mfumo kwa kadri wanavyoelekezwa

Ajabu ni kwamba weledi ni kama unapungua/ umepungua katika kuyaendesha mambo haya kiasi cha watu wa kawaida kugundua na kuhisi uwepo wa nguvu hii ambayo kikawaida inatakiwa ijifiche sana. Tangia enzi za awamu ya kwanza kwa mfano kulikua na Majaji ambao ni wa kwenye "mfumo" lakini kulikua na weledi wa hali ya juu kutokuwa expose tofauti ilivyo sasa ambapo you can easily spot them

Mwalimu Nyerere alipotoa hoja na shinikizo kwa CCM(dola) kukubali mfumo wa vyama vingi alisema ni muhimu CCM(DOLA) isimamie kuanzishwa kwa siasa hizo ili "iuratibu" mfumo huo yenyewe kabda watu hawajaudai. Mwalimu alikua ni bingwa wa siasa na ndie aliyeusuka 'mfumo" na wengi hawakumuelewa alikua na maana gani aliposema CCM (dola) "iratibu" ujio na uwepo wa vyama vingi

Ushauri wa Mwalimu ulifuatwa ila kwa sasa kinachokosekana ni weledi. Angekuwepo nadhani CCM(dola) ingeshameguka kama "alivyotamani" na kungekua na vyama viwili vikubwa vyenye nguvu sawa vikiachiana madaraka kwa maelekezo kutoka "mahala" na huku kukiwa na stability ya kisiasa na kiusalama nchini. Ni wachache walimuelewa. Mwenyewe aliwahi kusema kua Marekani kuna chama kimoja tu hayo mengine mbwembwe tu

Alimaanisha uwepo wa Republican na Democrat ni uratibu wa Dola na hivyo vyama ndio Dola la Marekani. Ndio maana misingi ya kitaifa ya nchi ile ikiwa ni pamoja na ubabe na ubeberu kwa mataifa mengine uko palepale miaka yote, watawale Democrats au Republicans. Natamani watu waelewe
Mkuu nmekuelewa sana..

Umenena haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Yanga wanaishauri Simba impumzishe Kagere kwamba amechoka na ndio anaikosesha Simba magoli dhidi yao Yanga!
 
Halafu ukiangalia Ccm wanachukua watu wasio na potential wala ushawishi ndani ya upinzani.Mtu pekee waliyemnunua na kulamba dume labda kidogo ni slaa.Wengine hawa wakina Mtoalea na Mtulia.Hawa ni takataka achilia mbali waitara na Gekul.madiwani ndo hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom