Serikali itawalazimisha wajiunge vikundi?Unahis wote wameenda shule mkuu...wale wamama wauza supu wanahitaj muongozo...lets not talk about me...i can handle myself .tuongelee hao wengne...mim niko vzur
Unashauri wapelekwe wapi?.Hayo maeneo dar hakuna.....watapelekwa mabwepande..hakuna huduma.hakuna chochote...wanunuz hawatofika huko..
Mkuu...naomba nisibishane nawew..uko mbali na uhalisia..uko ki vitab vitab..ki sera sera.hakuna uhalisia ...naomba nisikujib tena.....kiufup tu..mim nishapita kote hukoUna uhakika nchi hii haina scheme za umwagiliaji?
Unaijua Tume ya Taifa ya Umwagiliaji?
Mwanzo |Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
Ulishafika huko ukakosa msaada?
Mwanzo mgumuHayo maeneo dar hakuna.....watapelekwa mabwepande..hakuna huduma.hakuna chochote...wanunuz hawatofika huko..
Wasio na elimu wafanye kazi zisizohitaji elimuNi darasa la saba hao au ni Uni. Graduates...usiongelee tabaka moja...kwenye machinga kuna graduates wa vyuon na darasa la saba na wengne hata shule hawajaenda..na ndo weng
DuhMazingira mazuri ni yapi?.
Serikali imemkataza mtu kwenda shambani kulima kupalilia na baadae kuuza?.
Kuna kodi kwenye kilimo?
Mkuu...naomba nisibishane nawew..uko mbali na uhalisia..uko ki vitab vitab..ki sera sera.hakuna uhalisia ...naomba nisikujib tena.....kiufup tu..mim nishapita kote huko
Sio lazima waende huko hataMwanzo mgumu
Wakienda huko watu watazoeaaa
Ova
HahahahSio lazima waende huko hata
Baadhi yao wanamudu kupangisha fremu
Kama huyu mwenye hii thread ana uwezo mkubwa tu anaimport vitu toka china ila anajiita machinga
Js imagine
Bil shaka wako wengi tu wa aina yake wanaleta tafraniHahahah
Huyu siyo mmachinga
Ndomana nlimwambia mmachinga ni yule anayetembeza bidhaa zake kwa mguu kutoka sehemu moja kwenda nyingine,jioni anarudi kwake
Ova
Wajipange vzr tuBil shaka wako wengi tu wa aina yake wanaleta tafrani
Ingekua wewe ndo kiongozi ungefanyaje?.Nimeona kuna sehemu muuza pweza kaajiri mzee umri wa miaka kama 60 na kitu kwenda 70 kaambiwa aondoke na ni mbele ya eneo la mtu pembezoni mwa barabara ya vumbi (kifusi cha kokito)!!!!
Nawaza yule mzee ataenda wapi? Kijana ataishi tu ataenda kubeba zege au mchanga alipwe 10 kwa siku nauli 2000, chakula na maji 2500.
nyie ndio mnajenga vibanda na kuvikodisha kisha mnapata pesa.Mnatoa vijana vijijini n thn wanakuja kujazana mjini apa kwa ujira mdogo...hapana aisee hii sio sawa.Unahis hatulip kodi?...hebu pitia pitia tena na uulize kama hatulip kodi...mim nina magol zaid ya 10 nmeajir vijana zaid ya 25...nalipa kodi...siko kwenye barabara niko pembezon mwa jij..kwenye maeneo ta watu...naambiwa nitoe..aisee atakufa mtu kwa lolote.hata kwa kuloga mzee...
km cdm ndio watakuja na gia yao ya kurudisha wafanyabiashara wa vibanda ili wachafue tena jiji,wataungwa mkono na wehu tu lkn sio watu wenye akili timamu.Nafanya hivi kwa kuwa 2025 ni mbali tunajua ukikaribia uchaguzi watakuja na shairi jipya la wanyonge na machinga lkn muda huu CDM wautumie kupata popularity hii sisiem inaingia kwa nguvu za vurugu si kura amabalo litaamusha ari ya ukombozi.