Ishu ya vibanda fikirieni mara mbili, mnaharibu maisha ya watu

Kupanga fremu mwenyewe yaweza kuwa mtihani
Wajiunge

Hata Kariakoo am told maduka ya simu kwa mfano watu 4 wanashare fremu moja
Inakua na ahueni

Na nyie anzeni kulipa kodi jmn tujenge nchi yetu
 
Unashauri tuendelee kuishi bila utaratibu?.
Hata sheria zina misamaha..watu wanasamehewa kodi..watu wanapata msamaha wa Rais wanatoka jela..kila kitu kina mbadala..msikariri..mkisema sheria ikate kama msumeno ni ngum kuiongoza nchi..mtasababisha machafuko siku 1...naapa hili..ipo siku kitanuka
 
Na pia tanzania haijafikia level hyo ya ustaarab..bado nchi maskin sanaa..hakuna mtu anapenda kuwa machinga kaka
Sasa unataka kama nchi tuwe forward looking ama turudi nyuma?.

Ikizoeleka biashara ina utaratibu wote tukafata itawapandisha hadhi machinga kuwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

Tuangalie faida
Hata Serikali haipendi watu muishi kiholela haiwasaidii
 
Kupanga fremu mwenyewe yaweza kuwa mtihani
Wajiunge

Hata Kariakoo am told maduka ya simu kwa mfano watu 4 wanashare fremu moja
Inakua na ahueni

Na nyie anzeni kulipa kodi jmn tujenge nchi yetu
Unahis hatulip kodi?...hebu pitia pitia tena na uulize kama hatulip kodi...mim nina magol zaid ya 10 nmeajir vijana zaid ya 25...nalipa kodi...siko kwenye barabara niko pembezon mwa jij..kwenye maeneo ta watu...naambiwa nitoe..aisee atakufa mtu kwa lolote.hata kwa kuloga mzee...
 
  • Kicheko
Reactions: RTI
Na pia tanzania haijafikia level hyo ya ustaarab..bado nchi maskin sanaa..hakuna mtu anapenda kuwa machinga kaka
Mazingira ya nchi yetu,kiuchumi ndiyo inafanya kuwepo umachinga
Unafikiri kama kilimo kingewezeshwa,mazingira,miundo mbinu bora
Unafikiri wamachinga wangekuwa wengi

Ova
 
Hata sheria zina misamaha..watu wanasamehewa kodi..watu wanapata msamaha wa rais wanatoka jela..kila kitu kina mbadala..msikariri..mkisema sheria ikate kama msumeno ni ngum kuiongoza nchi..mtasababisha machafuko siku 1...naapa hili..ipo siku kitanuka
God forbid usiombee nchi yetu majanga..
Machafuko vyombo vya dola juzi Kariakoo walidhibiti..isiwe kichaka..

Wenye fremu wanafata sheria jmn..wote tunakata leseni tunakadiriwa kodi nk

Iweje machinga hawataki?.
Nchi ni yetu sote..sio machinga tu...lazma kuwe na usawa..

Hamjazuiwa kufanya biashara issue ni maeneo yasiyo ya kufanyia biashara

Wakapange fremu waone kama kuna mtu atawasumbua wahame
 
Sasa unataka kama nchi tuwe forward looking ama turudi nyuma?.

Ikizoeleka biashara ina utaratibu wote tukafata itawapandisha hadhi machinga kuwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa

Tuangalie faida
Hata Serikali haipendi watu muishi kiholela haiwasaidii
Bado nchi masikin sanaa..tunataka kuruka hatua...hii hatua tuliyopo ndo hyo hyo...tunataka kufos uchumi ilhali hauna ukwel...machinga kwa nchi kama hii masikin hawakwepeki kaka...watoto wanamaliza vyuo maelfu kwa maelfu mna pa kuwapeleka?
 
Unahis hatulip kodi?...hebu pitia pitia tena na uulize kama hatulip kodi...mim nina magol zaid ya 10 nmeajir vijana zaid ya 25...nalipa kodi...siko kwenye barabara niko pembezon mwa jij..kwenye maeneo ta watu...naambiwa nitoe..aisee atakufa mtu kwa lolote.hata kwa kuloga mzee...
Unajifariji...kuwa atakufa mtu and all that
Ila poleh...

Tufafanulie unalipa kodi TRA kwa style gani?
Hayo magoli yana leseni ya biashara?
 
Mazingira ya nchi yetu,kiuchumi ndiyo inafanya kuwepo umachinga
Unafikiri kama kilimo kingewezeshwa,mazingira,miundo mbinu bora
Unafikiri wamachinga wangekuwa wengi

Ova
Ndo muwambie waboreshe mazingira ya uchumi..sio kulipana miposho tuu iliyotukuka..watot wanamaliza vyuo hawana ajira..hakuna hata viwanda vya maana waende..hakuna mashamba makunwa waende.hakuna migodi..yaan hakuna chochote..mnataka watembee na bahasha kila siku...wakijiajir kwa kuchechemea mnawaita machinga mnazid kuwawekea mazingira magum..city centre watoke ndio...ila sio huku pembezon chief..huku waachwe ..sasa unawaafata watu kinyerez..mabwepande huko porin..kisa ana banda na sio frame ya tofal basi avunje...kweli timefika hapa?
 
Bado nchi masikin sanaa..tunataka kuruka hatua...hii hatua tuliyopo ndo hyo hyo...tunataka kufos uchumi ilhali hauna ukwel...machinga kwa nchi kama hii masikin hawakwepeki kaka...watoto wanamaliza vyuo maelfu kwa maelfu mna pa kuwapeleka?
Sasa ndugu yangu suluhu ni kuruhusu uholela ama kuweka maeneo maalumu?

Ila hata Serikali iweke miundombinu
Mfano stendi,vyoo nk
 
God forbid usiombee nchi yetu majanga..
Machafuko vyombo vya dola juzi Kariakoo walidhibiti..isiwe kichaka..

Wenye fremu wanafata sheria jmn..wote tunakata leseni tunakadiriwa kodi nk

Iweje machinga hawataki?.
Nchi ni yetu sote..sio machinga tu...lazma kuwe na usawa..

Hamjazuiwa kufanya biashara issue ni maeneo yasiyo ya kufanyia biashara

Wakapange fremu waone kama kuna mtu atawasumbua wahame
Nimekuuliza kijana anamaliza chuo ahana mtaj hyo kodi ya lak3 anaipata wap?
 
Ndo muwambie waboreshe mazingira ya uchumi..sio kulipana miposho tuu iliyotukuka..watot wanamaliza vyuo hawana ajira..hakuna hata viwanda vya maana waende..hakuna mashamba makunwa waende.hakuna migodi..yaan hakuna chochote..mnataka watembee na bahasha kila siku...wakijiajir kwa kuchechemea mnawaita machinga mnazid kuwawekea mazingira magum..city centre watoke ndio...ila sio huku pembezon chief..huku waachwe ..sasa unawaafata watu kinyerez..mabwepande huko porin..kisa ana banda na sio frame ya tofal basi avunje...kweli timefika hapa?
Sawa....

Labda kwa sisi umachinga ulipoanza tulibahatika ona hapa mjini
Mmachinga alipoanza biashara alikuwa anatembeza tu alikuwa hapangi bidhaa yake chini
Miaka ilivyozidi kwenda kuzoeazoea naye akaanza kupanga bidhaa na kuweka kijifrem

Ova
 
Unajifariji...kuwa atakufa mtu and all that
Ila poleh...

Tufafanulie unalipa kodi TRA kwa style gani?
Hayo magoli yana leseni ya biashara?
Mim nina kampuni. Shugul zangu zote ziko incorporated under my kampuni..nalipa kodi vzur tu...ila mfumo niliotumia wa sehem zaa biashara ni mfumo wa mabanda na mengne ni ofis rasmi..ila mizigo yote nauzia kwenye mabanda..ya chuma mazur sanaaa..nalipa kodi vzur tu
 
Sawa tumekubali city centre, Kkoo na kwingine sababu ya msongamano wa watu ni kweli watoke

Ila sasa mnatoa watu wako Kinyerezi ndani ndani, Madale, Goba huko ndani ndani vijana, wamama wamejiajiri wanaweka vibanda along the road huko pembezoni mwa jiji tena sio kwenye mifereji bali wanarudisha nyuma mita kadhaa bado huko pia mnawambia watoe, dahhh!

Kwa hiyo mnataka wafanye biashara kwenye frame za laki 2 mpaka laki 3, why mnakataza hata huku pembezoni mwa jij?

Watu wafanyeje sasa wakuu, hao machinga wa siku hizi wengi ni graduates wa vyuo vikuu.

Ajira zenyewe mnazo wa-preach ndio hizo...mnataka wafanye nini wakuu?

Hayo maeneo mnayosema mnawatengea, kwa wingi wao hayawezi tosha hata siku1.

Wakuu toeni hayo mabanda kwenye stand za mabasi masoko ya mijini ila huku pembezoni waacheni jamani

Suala hili ni kubwa kuliko mnavyofikiria.

Wengne tuna kofia mbili, tuko kwenye biashara na tuko kwenye ajira formal na tumeajiri watu wengi.

Watu wanacheka, Well tutayumba for a while lakini tutarudi na njia nyingne bora. Naamini hilo mfanyabiashara ni mtu mwenye akili nyingi sana naamini hilo.

Uzi tayari
Fungueni maduka instagram, achaneni na vibanda barabarani, tafuta bodaboda unaemuamini awe anakufanyia delivery na kukuletea cash. Chumba chako kifanye store ya bidhaa zako, kwisha habari.
 
Nimekuuliza kijana anamaliza chuo ahana mtaj hyo kodi ya lak3 anaipata wap?
Hapo ndiyo tunarudi kule

Permanent solution ya umachinga ni watu kujikita kwenye kilimo,
Serikali ingeeelekeza nguvu kuweka mazingira bora huko ili watu wajikite huko

Ova
 
Nimekuuliza kijana anamaliza chuo ahana mtaj hyo kodi ya lak3 anaipata wap?
Ni ngumu kuwa na huo mtaji

Ila suluhu sio kutandaza biashara sehemu zisizo ruhusiwa
Mipango miji wana taratibu zao

Option ya kushea fremu ili kumudu gharama haifai?..?
Hata mawakala mpesa nk huwa wanashea

Unaingia fremu unakuta ina mawakala 5
 
Mim nina kampuni. Shugul zangu zote ziko incorporated under my kampuni..nalipa kodi vzur tu...ila mfumo niliotumia wa sehem zaa biashara ni mfumo wa mabanda na mengne ni ofis rasmi..ila mizigo yote nauzia kwenye mabanda..ya chuma mazur sanaaa..nalipa kodi vzur tu
Eneo hilo linaruhusiwa?

Kumbe we mfanyabiashara mzuri tena mkubwa tuu
Shida nini kurasimisha shughuli yako kwenye maeneo yanayoruhusiwa
 
Back
Top Bottom