Ishu ya vibanda fikirieni mara mbili, mnaharibu maisha ya watu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,086
15,958
Sawa tumekubali city centre, Kkoo na kwingine sababu ya msongamano wa watu ni kweli watoke

Ila sasa mnatoa watu wako Kinyerezi ndani ndani, Madale, Goba huko ndani ndani vijana, wamama wamejiajiri wanaweka vibanda along the road huko pembezoni mwa jiji tena sio kwenye mifereji bali wanarudisha nyuma mita kadhaa bado huko pia mnawambia watoe, dahhh!

Kwa hiyo mnataka wafanye biashara kwenye frame za laki 2 mpaka laki 3, why mnakataza hata huku pembezoni mwa jij?

Watu wafanyeje sasa wakuu, hao machinga wa siku hizi wengi ni graduates wa vyuo vikuu.

Ajira zenyewe mnazo wa-preach ndio hizo...mnataka wafanye nini wakuu?

Hayo maeneo mnayosema mnawatengea, kwa wingi wao hayawezi tosha hata siku1.

Wakuu toeni hayo mabanda kwenye stand za mabasi masoko ya mijini ila huku pembezoni waacheni jamani

Suala hili ni kubwa kuliko mnavyofikiria.

Wengne tuna kofia mbili, tuko kwenye biashara na tuko kwenye ajira formal na tumeajiri watu wengi.

Watu wanacheka, Well tutayumba for a while lakini tutarudi na njia nyingne bora. Naamini hilo mfanyabiashara ni mtu mwenye akili nyingi sana naamini hilo.

Uzi tayari
 
Sawa tumekubal city centre..kkoo na kwingne sabab ya msongamano wa watu ni kwel watoke

Ila sasa mnatoa watu wako kinyererz ndan ndan..madale huko..goba huko ndan ndan..vijana ..wamama wamejiajir...wanaweka vibanda along the road huko pembezon mwa jiji tena sio kwenye miferej bal wanarudisha nyuma mita kadhaa...bado huko pia mnawambia watoe..dahhh

Kwahyo mnataka wafanye biashara kwenye frame za lak2 lak3...why mnakataza hata huku pembezon mwa jij..

Watu wafanyeje sasa wakuu...hao machinga wa siku hiz weng ni graduates wa vyuo vikuu...ajira zenyew mnazo wa preach ndo hzo...mnataka wafanye nin wakuu..

Hayo maeneo mnayosema mnawatengea..kwa wing wao hayawez tosha hata siku1....

Wakuu...toen hayo mabanda kwenye stand za mabas masoko ya mijin...ila huku pembezon...waachen jaman...

This ishu ni kubwa kuliko mnavyofikir

Wengne tuna kofia mbili..tuko kwenye biashara na tuko kwenye ajira formal....tumeajir watu weng....

Watu wanacheka..Well...tutayumba for a while lakin tutarud na njia nyingne bora..naamin hilo..mfanyabiashara ni mtu mwenye akil nying sana naamin hilo

Uzi tayar
well said kwakweli inasikitisha sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Imagine hapa kulikuwa na vibanda

IMG_20211022_174916.jpg
 
Sawa tumekubal city centre..kkoo na kwingne sabab ya msongamano wa watu ni kwel watoke

Ila sasa mnatoa watu wako kinyererz ndan ndan..madale huko..goba huko ndan ndan..vijana ..wamama wamejiajir...wanaweka vibanda along the road huko pembezon mwa jiji tena sio kwenye miferej bal wanarudisha nyuma mita kadhaa...bado huko pia mnawambia watoe..dahhh

Kwahyo mnataka wafanye biashara kwenye frame za lak2 lak3...why mnakataza hata huku pembezon mwa jij..

Watu wafanyeje sasa wakuu...hao machinga wa siku hiz weng ni graduates wa vyuo vikuu...ajira zenyew mnazo wa preach ndo hzo...mnataka wafanye nin wakuu..

Hayo maeneo mnayosema mnawatengea..kwa wing wao hayawez tosha hata siku1....

Wakuu...toen hayo mabanda kwenye stand za mabas masoko ya mijin...ila huku pembezon...waachen jaman...

This ishu ni kubwa kuliko mnavyofikir

Wengne tuna kofia mbili..tuko kwenye biashara na tuko kwenye ajira formal....tumeajir watu weng....

Watu wanacheka..Well...tutayumba for a while lakin tutarud na njia nyingne bora..naamin hilo..mfanyabiashara ni mtu mwenye akil nying sana naamin hilo

Uzi tayar
Pole sana..ila fuata utaratibu..hata nyumbani kuna utaratibu..huwezi weka vyombo juu ya kitanda kisa wewe ni myonge maisha lazima yawe na utaratibu..hasa nyie graduates ndio mnatakiwa muonyeshe mfano mana mmeenda shule.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hapo sawa vitoke. Ila kunyerez ndan ndan au mabwepande huko.goba..unatoa vibanda viko kwenye maeneo ya watu binafsi..mnatafta nn....
Walotoa hilo wamekiuka maagizo ya mkuu wa mkoa, Makala alisema walioziba barabara na njia za waenda kwa miguu ndio watoke.

Ila kama nina kiwanja changu nikaweka kibanda cha matunda ambacho hakiko eneo la barabara hamna wa kunigusa.
 
Pole sana..ila fuata utaratibu..hata nyumbani kuna utaratibu..huwezi weka vyombo juu ya kitanda kisa wewe ni myonge maisha lazima yawe na utaratibu..hasa nyie graduates ndio mnatakiwa muonyeshe mfano mana mmeenda shule.

#MaendeleoHayanaChama
Ndo nmekwambia...frame eneo prime kodi ni kuanzia la3 - lak5....kijana anaetoka chuo ana mtaj huo...?..imagine ni mdogo wako....kasoma miaka kibao kamaliza hakuna ajira kajiajir kapangishwa kwenye kibanda analipa kod elf50 anajisongesha ili aende kwenye hzo frame za lak3...mnakuja mnamfukuza....sawa..fanyen hivo kkoo posta etc..sio huku nje ya mji ambako hakuna msongamano huo....sjui unanielewa au
 
Walotoa hilo wamekiuka maagizo ya mkuu wa mkoa, Makala alisema walioziba barabara na njia za waenda kwa miguu ndio watoke.

Ila kama nina kiwanja changu nikaweka kibanda cha matunda ambacho hakiko eneo la barabara hamna wa kunigusa.
Bro huku mitaan gar zinapita zinatangaza watoke hadi huko na watu wanatolewA..na mkuu wa mkoa tuko kimyaaa...safi sana
 
Ndo nmekwambia...frame eneo prime kodi ni kuanzia la3 - lak5....kijana anaetoka chuo ana mtaj huo...?..imagine ni mdogo wako....kasoma miaka kibao kamaliza hakuna ajira kajiajir kapangishwa kwenye kibanda analipa kod elf50 anajisongesha ili aende kwenye hzo frame za lak3...mnakuja mnamfukuza....sawa..fanyen hivo kkoo posta etc..sio huku nje ya mji ambako hakuna msongamano huo....sjui unanielewa au
Kwahiyo kila sehemu mfanye biashara hovyo hovyo..kisa sio city centre..wewe ulienda shule kupoteza muda tu..basi waambie waje wafanye biashara hapo kwako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Walotoa hilo wamekiuka maagizo ya mkuu wa mkoa, Makala alisema walioziba barabara na njia za waenda kwa miguu ndio watoke.

Ila kama nina kiwanja changu nikaweka kibanda cha matunda ambacho hakiko eneo la barabara hamna wa kunigusa.
Huku Kigamboni watu hawajaziba njia wala barabara..... wako mbalii kweli na main road ila wamebomolewa kisa vibanda vinachafua mji
 
Sasa unatakaje?unataka watu waachwe wazagaezagae wazibe njia wajaze mabanda???

Issue hapa wamachinga waondolewe,wawekwe sehemu husika kwa mpngalio na utaratibu

Kikubwa serikali sasa I've na permanent solution
Kuhusu tatizo la wamachinga!

Ova
 
Kwahiyo kila sehemu mfanye biashara hovyo hovyo..kisa sio city centre..wewe ulienda shule kupoteza muda tu..basi waambie waje wafanye biashara hapo kwako.

#MaendeleoHayanaChama
Naona hatuelewan chief..halaf unahis mi ni mnyonge..hahaha..chief
 
Sasa unatakaje?unataka watu waachwe wazagaezagae wazibe njia wajaze mabanda???

Issue hapa wamachinga waondolewe,wawekwe sehemu husika kwa mpngalio na utaratibu

Kikubwa serikali sasa I've na permanent solution
Kuhusu tatizo la wamachinga!

Ova
Haina sasa huo mpango..imewafukuza wako nyumban tu wanangaa macho
 
Sasa unatakaje?unataka watu waachwe wazagaezagae wazibe njia wajaze mabanda???

Issue hapa wamachinga waondolewe,wawekwe sehemu husika kwa mpngalio na utaratibu

Kikubwa serikali sasa I've na permanent solution
Kuhusu tatizo la wamachinga!

Ova
Na pia Tanzania haijafikia level hiyo ya ustaarab..bado nchi maskin sanaa..hakuna mtu anapenda kuwa machinga kaka
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom