Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,397
- 9,320
Siasa ni hesabu ninyi wenye akili mko wachache, sisi wajinga ndio wengi labda mtuibie kura tu.km cdm ndio watakuja na gia yao ya kurudisha wafanyabiashara wa vibanda ili wachafue tena jiji,wataungwa mkono na wehu tu lkn sio watu wenye akili timamu.
Hata miongoni mwenu wenye akili serkali ime impose tozo, kujimilikisha biashara kw kulazimisha ushirika wa mazao ambao sio wa wakulima wenyewe ilimradi iweke makato.