Is this the end of CHADEMA?

Is this the end of CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
2.Tuhuma zinazotolewa na CCM kuwa CDM wanapanga mauwaji ya raia,mbona hawajibu viongozi wa CDM inamaana ni kweli kama ni kweli si kweli kama cdm wamepoteza dira na umaarufu wake sasa unashuka na hatimaye kufa kama ilvyokufa NCCR MAGEZI ya Mrema?.

ilibidi ukawaulize ccm wenye serikali kwanini hawajaenda kuwakamata watu wanaopanga mauaji ??
 
....njaaa haina adabu.....wewe mtoto wako umeshindwa hata kumpeleka shule kisa huna ada..leo bila aibu kukaaa kuandika hili giza kisa mlo wa siku moja.....
 
Haya mambo niliishayatabiri na sasa yanatokea
 
Masalia at work!endeleeni kujidanganya hivyo hivyo,lakini ipo siku mtalia kilio cha mbwa,midomo juu!
 
CDM ilikufa siku nyingi,imebaki kama mtaji wa Mbowe,Slaa na Lema.
 
Mti wenye matunda ukipigwa mawe sana huku haupuputishi matunda mwisho hufa kwa majeraha ya mawe

Nyamaza KILAZA we,

Kama ni kuhusu mti CHADEMA ni MNAZI kamwe jiwe haliwezi kuufanya uangushe matunda, wala majeraha hayaufanyi ufe.
 
CDM ilikufa siku nyingi,imebaki kama mtaji wa Mbowe,Slaa na Lema.
Mkuu ukiangalia hii picha ni kweli kabisa,
Wamebaki akina saa tano na saa mbili wanapigana vitu vi zito usoni wakati viongozi wawili wako mbali wanachungulia kulikoni
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg
 
Haya mambo niliishayatabiri na sasa yanatokea

unapoteza mda kuamini utabiri wako,sheikh yahya alitabiri kifo cha mgombea maarufu mbona hatukuona?
Usipoteze mda wewe njoo cdm achana na hcho chama kinachokufa.
 
watafukuza wote ila siku wakimfukuza ZZK ndio mwisho wa cdm kuwa chama kikuu cha upinzani! zitto ndio nguzo ya chadema iwe wanataka au hawataki yeye ndiye amebeba taswira ya chama

acha utoto wewe,kwani zitto ndio nani chadema.he is just like other members,chadema itazidi kuepo na haifi hata mkiroga mpaka chini ya bahari.
 
kama ilivyokuwa kwa nccr mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
mara ooh saa nane kamuanika zito
mara ooh zito msaliti
mara ooh sshibuda anadhamini wasaliti
mara ooih ccm wanaingiza mapandikizi,
mara ooh juliana kafanya vilee
mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. Haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. Huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? Lake tanganyika? Selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg
nooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg

Pamoja sana kiongozi kwani tumeshagutuka na hiki chama ndio source ya migogoro.CDM kimekua chama cha watu wachache kuburuza wenzeo kisa vyeo vyao.Chama makini ni chama ambacho wanachama wote chini ya katiba ni sawa.Lakini mbele ya Dr na M.bo.we katiba ya chama haifui dafu kwao wao ni miungu watu ndani ya chama na katiba haina nafasi kwa hili lazma hatma ya chama hiki ijulikane!
 
Unapolima shamba lazima uondoe magugu ili mazao yastawi vizuri,tunapojiandaa kunyakua dola lazima tuwaondoe wachumia tumbo wote nakubaki na watu makini kwa ukombozi wa nchi!viva cdm

mkiondoa wachumia tumbo CDM itabaki na nani?
Dr amediriki kukopa pesa za chama tena haijulikani mamilioni hayo kama yatarudi na wala haijulikani ametumia katiba ipi kujikopesha pesa za ruzuku.Dr huyo huyo amefuja pesa za miradi ya maji,juzi tumeona L.e.ma anavyo wahadaa wana Arusha anaomba misaada kwa ngao ya chama na badae anatupia tumboni kwake.Hatma ya CDM si zaidi ya 2015 kwa mwendo huu
 
Hivi CDM inaposafisha UOZO ni migogoro au kujiimarisha.

Wameshagundua na wanajua fika ni nani yupo CDM kwa kuchumia tumbo.

Ni nani asiyejua SHIBUDA, ni jembe la aina yake sio CDM wala CCM wanaoweza kum-contain ni controversial figura. Wanaye na wanajua how to go with him.

Zito huyo sisemi historia itatwambia ila wote mnajua jaribio lake pale alipomtanguliza KAFUALIA kuleta vurugu na kutest reaction ya CDM. Walipokuwa tough alinywea, wanamjua na dawa yake ipo tayari na CDM haitayumba.

Sasa hivi CDM inafanya ufasi na hizi turbulence zita-stabilize kabla ya 2015.

ZITO ndo Mvurugaji na hii ni tabia ya eneo analotoka, tafuta kote watu hawa walipo kama ni salama kuanzia siasa mpaka sehemu za ajira na makazi.
 
watafukuza wote ila siku wakimfukuza ZZK ndio mwisho wa cdm kuwa chama kikuu cha upinzani! zitto ndio nguzo ya chadema iwe wanataka au hawataki yeye ndiye amebeba taswira ya chama

ss kama zito anajiamini aomdoke basi akanzishe chama chake. tena hatumtaki ziko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom