Is this the end of CHADEMA?

Is this the end of CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa sifa yake kubwa huko uk, ni kukurupuka na kuropoka ! Ilmradi kuna masikio ya kumsikiliza. Alikurupuka kuingia chadema akaropoka mengi biashara zake zilipoanza kwenda kombo akatakurudi ccm kimya kimya, akatimuliwa, kisha akaanzisha id kibao kuijidai ana watetezi, sasa kaanza kuropoka!!! Kama haya ndiyo majembe ccm inayonunua kwa gharama za tenda, kazi ipo!!!!
 
Kuna methali inasema, Dua la kuku halimpati mwewe!
 
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg

We jamaa uwezo wako wa ufahamu na kuchanganua mambo mdogo sana na ndiyo maana uliamua kujiondoa mwenyewe CDM, Hivi kwa huo mfano wako hapo kwenye RED,
1. Unapozungumzia Dhahabu inachimbwa wapi na akina nani walioajiliwa huko, Ingawa bado serikali ya chama unachokiabudu sasa inachukua 3% ya thamani ya dhahabu inayovunwa.

2. Unapozungumzia Samaki wavuvi ni akina nani na wanaouza ni akina nani?
3. Usiwe na akili finyu watu wa Mtwala wanahitaji mitambo yoye juu ya uzalishaji wa hiyo Gesi ichengwe huko na wao wapate ajira na mapato na mikoa mingine itanufaika kwa gesi hiyo kusafilishwa na kuuzwa huko, hakuna mwananchi wa Mtwala aliyesema gesi ibaki huko na kutumika huko, hizo ni mbinu mnazofanya kupotosha ukweli kwani CCM kwa sababu ni Chama Cha Mapinduzi basi kimezoea kupindua ukweli na kuwa uwongo.
 
Ulichoona siyo mwisho wa chadema ila ni mwisho wa fikra zako.
 
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg

Uhai wa chamachochote cha siasa ni kama wa mwanadamu.Kuna maradhi na uzima,kuna kugombana na kutengeneza marafiki,kuna watakaokupenda kupita kiasi na watakaokuchukia bila sababu,kuna ushujaa na usaliti....inachopitia Chadema kimeshaikumba CCM mara kadhaa, most recent case being between the so-called makamanda wavitadhidi ya ufisadi vs watetezi wa ufisadi,Membe&co vs Lowassa&co....orodha ni ndefu.

Ungekuwa mfuatiliaji mzuri wa harakati za vyama vya siasa huko nyumbani ungebaini kuwa kudhoofika kwa NCCR kulikuja mara baada ya kushindwa kwenye uchaguzi mkuu.Kinyume chake,licha ya Chadema kushindwa chaguzi kuu mbili kimeendelea kujijengea umaarufu mkubwa huku kikiongeza idadi ya wabunge.

Chademawana kosa gani kuhamasisha wakazi wa kusini kudai haki yao kama Watanzania kutopuuzwa kwenye unufaikaji wa raslimali iliyopo katikaeneo lao?Kama baadhi ya viongozi wa CCM wanawaunga mkono wana-Kusini,kwanini iwe nongwa kwa Chadema-chama ambacho siku zote kimekuwa kikipigania haki za Watanzania-kuingilia kati?

Hakuna Mtanzania anayelazimishwa kuisapoti Chadema au kuitumania kuwa the real force of the desperately needed changes.Chadema haitokufa kwa ill-wishes za wasioitakia mema bali itazidi kuwa imara kutokana na sapoti za KILA mTANZANIA ALIYECHOSHWA NA NCHI YETU KUGEUZWA SHAMBA LA BIBI
 
TUNTEMEKE wanajua zaidi nini kinachoendelea!
 
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
...

Mkuu chilisosi...nakusikitikia wewe kukimbia chama chetu imara chadema...hapa chadema inajipanga hatutaki wasaliti mbeleni...dhahabu ili iwe safi inapitishwa kwetu moto mkali sana ili uchafu utoke...chadema ili kiwe imara kinapita kwenye matatizo mbali mbali ili wasaliti na vilaza waweze toka...kisha dhahabu safi inavaliwa...subiri 2015 dhahabu safi itakapo valiwa bungeni na ikulu pale..
 
Huyu bwana mi namsupport kwa % 100 hata mimi nimepata wasiwasi huo kwa chama changu, kweli kila siku maandamano tu, hamna njia nyingine ya kutatua matatizo/kudai haki zaidi ya maandamano? Pili: Mbona shu2ma ndani ya cdm @ siku? Mara oh huyu mara huyu why why why?

La mwisho, tuache ushabiki mtu humu akipost ukweli kuhusu chadema, anatukanwa na kukashifiwa why why kwani sisi wanainchi tuliojenga imani ya dhati na chadema hatuna haki ya kutoa maoni pale tùnapoona chama kimepotea/kinapotea hauna haki yakutoa maoni yetu. Watu humu mmekaa kuponda ponda 2 kila m2 anapotoa maoni yake kuhusu chadema anavyoiona?? Why why?
Tatizo ni viroba mkuu, jamaa wanapiga sana viroba, mtu mwenye akili timamu huwekuwa unatukana hovyo kila kukicha, kutukana sio demokrasia bali ujinga, asante kwa kuwakosoa
 
Naomba muisome vizuri na kwa ukaribu hii picha halafu fananisha na yanayotokea chadema, hakuna tofauti trust me!
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg
 
CDM haifi,we subiri 2015 utaona tu wabunge zaidi ya 100 wanaingia mjengoni,ccm itakuwa ndio chama cha upinzani hyo Dec 2015...
Labda katiba isiwe hii, labda nchi isiwe Tz, Kwa mbinu 101 za chama chetu, wale nyuki 25 wa mashineni (wasiouma wala wasio tengeneza asali) lazima wapungue!!!!
Unategemeo lolote la katiba kubadilika??????? labda vifungu vichache visivyogusa maslahi ya chama!!!!!!
 
Chilisosi ya UK.....CDM si kama unavo ifikiria,haiwez kufa leo wala kesho.Wewe utakufa CDM itabaki.
 
Mie naona ndo safari ya ccm kuelekea kaburini kwani hii screening ni ya hali ya juu,na tunashukuru inafanyika kabla ya uchaguzi wa chama hapo baadae!!!
 
Anayekutumia hajakupa mipaka ya kuandika ujinga. Na hapo ndipo mnapokamatika huko magambani. Hivi wewe unajua maana ya chama cha siasa? Yanayotokea CHADEMA unayaona ya ajabu sana kiasi kwamba unataka yajadiliwe? Kwa hiyo kwa mtazamo wako usipoona magazeti yameandika kuhusu CHADEMA unaamini mambo ni shwari? Kwa hiyo kwa muda ambao huoni CCM ikitajwa kwenye magazeti unaamini sasa wamekuwa malaika?

Wewe hujui kujenga hoja mkuu kajipange upya!! Heri wanaokuja nuruni wanacharurana mchana kweupe kwa kuwa siku wakinyamaza tutaamini kweli kuwa wamenyamaza kuliko walionyamaza huko tukijua kuwa kwa ndani wanapigana na hata kuwekeana sumu ya kuua roho na mwili!! Yapo mambo unatakiwa ujifunze kuhusu siasa za Tanzania na hususani kanda ya kusini mwa jangwa la sahara mkuu. Not always silense means peace meeeen!!

Swala la Gesi unaliunganisha na CHADEMA lakini ukweli unabaki pale pale kwamba wananchi wa leo si wa jana. Wnachodai ni kutaka kufaidi rasilimali ndani ya mkoa wao ni hilo si kosa! We unafikiri kiwanda cha kufua umeme wa gesi kikijengwa mtwara au lindi unaelewa manake yake katika economic theory?

Wale wa mwanza, shinyanga nao wanatakiwa kufanya hivyo hivyo kwa kuwa serikali imeshindwa kufanya hivyo!! Ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa rasilimali za taifa zinawanufaisha wananchi. Always remember the sun will shine to those who are standing before those who are kneeling down. Wakati mwingine kuweni mbayuwayu jamani si kila unachotumwa kuja kusema unakuja. "akili za kuambiwa......."
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg
 
Kumbe kuishi nje ya nchi sio dili. Yaani akili za hawa wabeba maboksi wawili mimi sizielewi? Kujikomba ndio kama life style yao vile....
 
Mkubwa hii imekuwa too much sasa majirani tunashindwa kulala mnapiga kelele sana mnapozozana

Butchnan katoa jibu la uhakika kama unataka kuelewa. Yaani kadri mapambano yanavyokuwa too much kama unavyosema ndivyo na ubora utakuwa vivyo hivyo.
Hakuna mapambano yasiyokuwa na wasiliti. Hata Mandela alikuwa anasalitiwa wa waafrika wezake dhidi ya wazungu - sembuse ccm vs Chadema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom