Is this the effect of recession or Obama effect?

Is this the effect of recession or Obama effect?

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,118
Kuna watu masikini US japo wanaonekana wana afya na wamenenepa. Kila tatizo hata la miaka na miaka linaelekezwa kwa Obama, picha kama hizi ndizo zinazompunguzia Obama popularity. Lakini kwa nini now?, je Obama ni mkombozi kiasi kila mtu anahitaji msaada sasa?.

watch link below and think, hii ni kama charity lakini imebadilishwa na kuwa stori ya kuanguka kwa uchumi.

[video]http://www.msnbc.msn.com/id/38382773/ns/dateline_nbc-america_now[/video]
 
Back
Top Bottom