Is love a decision or a feeling?

Is love a decision or a feeling?

Falling in love is one of the biggest mistakes most people make!!!...
Even our mamas stopped loving us unconditionally, then kwa nini nimpende mtu...alafu iwe unconditional love..!!

Naomba kupingana na ww about that part of mums stopping to love unconditionally, sio kweli. Upendo wa mama kwa mtoto is unconditional and regardless of what a child does the mother would always love them till their very last breath.
 
Mimi naona upendo unabeba vyote vitatu labda vinatofautiana kipi kinaanza, Hisia, chaguo na maamuzi vyote vinajumuishwa kwenye upendo. Tusidanganyane hapa huwezi kuchagua na kufanya maamuzi bila ya kuwa na hisia.

Cha muhimu unatakiwa kuzicontrol hisia zako kwa kufanya maamuzi yenye busara. Watafiti wanasema usianguke kwenye mapenzi (dont fall in love) ila penda kukua kwenye mapenzi (grow in love). Mapenzi ni kama mbegu, itunze kwa kuipalilia na kuimwagilia maji kila siku, itachepuka na kuwa mche mdogo baada ya muda majani mazuri kisha maua yenye harufu nzuri na hatimaye matunda. Tupende kukuwa kwenye mapenzi.
 
I dont think so eli
 
sure. huku uswahilin kwetu kuna mama ana mtoto mlevi mkorofi na kila aina ya fujo ila huyo mtoto akipatwa na tatzo mama wa kwanza kufika eneo la tukio. upendo wa mama hauishagi ati.
 
Wow!!! Uzi mzuri sana habibty

Kuna msemo pia unasema mazoea hushinda mapenzi ni wa kweli kadri ukiwa na mpenzio siku zinavosoga na mapenzi yanazidi ila tu iwe mapenzi ya kweli toka moyoni iwe pia hakuna ubabaishaji au michepuko

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mimi binafsi nadhani yote mawili yanahusika hapo ila kuhusu lipi linaanza kuna tofauti kati ya wanaume na wanawake. Wanaume zinaanza feeling then decision na kwa wanawake ni vice-versa
 
Naomba kupingana na ww about that part of mums stopping to love unconditionally, sio kweli. Upendo wa mama kwa mtoto is unconditional and regardless of what a child does the mother would always love them till their very last breath.

If that was the case, tusingeona wadada wakitupa watoto vyooni, wakitupa majalalani, pia tusingeona ongezeko la watoa mimba..hata hao wa tumboni ni watoto na wanahitaji hiyo unconditional love.. Sijui utajustify vipi kuwa siku hizi kweli mnawapenda watoto wenu kweli kweli!!
 
Mimi binafsi nadhani yote mawili yanahusika hapo ila kuhusu lipi linaanza kuna tofauti kati ya wanaume na wanawake. Wanaume zinaanza feeling then decision na kwa wanawake ni vice-versa

Hapa kuna ukweli ndani yake
 
Mimi naona upendo unabeba vyote vitatu labda vinatofautiana kipi kinaanza, Hisia, chaguo na maamuzi vyote vinajumuishwa kwenye upendo. Tusidanganyane hapa huwezi kuchagua na kufanya maamuzi bila ya kuwa na hisia.

Cha muhimu unatakiwa kuzicontrol hisia zako kwa kufanya maamuzi yenye busara. Watafiti wanasema usianguke kwenye mapenzi (dont fall in love) ila penda kukua kwenye mapenzi (grow in love). Mapenzi ni kama mbegu, itunze kwa kuipalilia na kuimwagilia maji kila siku, itachepuka na kuwa mche mdogo baada ya muda majani mazuri kisha maua yenye harufu nzuri na hatimaye matunda. Tupende kukuwa kwenye mapenzi.
Nimependa jinsi ulivyofunguka rafiki….
 
If that was the case, tusingeona wadada wakitupa watoto vyooni, wakitupa majalalani, pia tusingeona ongezeko la watoa mimba..hata hao wa tumboni ni watoto na wanahitaji hiyo unconditional love.. Sijui utajustify vipi kuwa siku hizi kweli mnawapenda watoto wenu kweli kweli!!

Love is a choice, kama inavyojieleza hapo kwenye nyekundu.
 
Back
Top Bottom