Is love a decision or a feeling?

Is love a decision or a feeling?

Hisia; hapa sasa ni zile unplanned meetings waweza enda hata harusini tu ukakutana na mtu na mkionana tu yaani "auto click" na gaze tu zinamaliza kila kitu yaaani, ila sasa unazuia muendelezo sababu au umeolewa au umeoa....

Hivi kwa tuliooa au walioolewa au wenye mahusiano ya kudumu ni kweli mioyo huwa hailipuki once in a blue moon kwa strangers!!!!!?????????

Well said....umuhimu wa kuhusisha halmashauri ya kichwa upo!
 
Back
Top Bottom