Is JF having a homo problem?šŸ¤”

Is JF having a homo problem?šŸ¤”

Aiseee🤠
Screenshot_20260529_094157.jpg

Au nakosea ndugu zangu Matrix19 Castle_Lite secretarybird Mbaga Jr Chizi Maarifa 😁😁
 
Kuna vikaunti vingi vya kike ila mwandiko kabisa wa kiume na muda mwingine wanajisahau kabisa kukaa kwenye cover up yao.

I think they are gays, haiwezekani kidume utengeneza akaunti ya kike na ukakaa nayo muda mrefu hivi.

SMH.
Mitandao yote ya kijamii ina wasenge kama hao. Kuna senge moja lilijifanya linaitwa Kajala Masanja, limeweka dp ya kajala. Linajifanya linaunganisha watu na misaada ya mabeberu.
 
Kuna vikaunti vingi vya kike ila mwandiko kabisa wa kiume na muda mwingine wanajisahau kabisa kukaa kwenye cover up yao.

I think they are gays, haiwezekani kidume utengeneza akaunti ya kike na ukakaa nayo muda mrefu hivi.

SMH.
hawa vijana wanajifanya wanawake wapo humu wanasubiri mwanaume ajichanganye pm wale nauli.
 
Back
Top Bottom