Is Jamii Forums the best Discussion forum in Africa?

i
 

Attachments

  • 1423467660735.jpg
    75.3 KB · Views: 86
  • 1423467717477.jpg
    59.5 KB · Views: 85
swali tata sana ila naijaland wako vizuri..
 

JF(Tanzania),Nairaland(Nigeria),Political forum(US),The Planet(US),Ghanaone(Ghana) .Haya machimbo nayapenda.JF pia siku za nyuma ilikua kali sana Tujitahidi kuirudisha kwenye forum.
 
Mkuu Invisible labda mlitaka maoni ya kina nani? Sikua na takwimu sahihi ila kwa kuangali post za watu wengi walitaka ile mpya irudi.

Binafsi rangi sikuona kua ni kitu kikubwa sana ila yale yalioongezeka ndio yaliyonivutia, kama sisi tunaotumia app ilikua poa sana, labda mngeacha kama mwezi hivi tuone..
 
Last edited by a moderator:
The best in which category??

Swali zuri sana.

Unaposema "the best" ni muhimu kunyumbukisha katika nini.

Kuna wengine wazuri wa kubwaga manyanga ya airi hadharani tu lakini hawajui kujadili.

Wengine wanajua kujadili lakini lazima uwatafutie manyanga.

Wengine the best kwa juwa na site nzuri lakini hawana manyanga wala majadiliano.

Wengine wana watu wengi sana.

Wengine hawana watu wengi lakini hao wachache moto chini.

Et cetera, et catera.
 

Bila kusahau Jukwaa la Urembo...
 
Last edited by a moderator:
Ah ah ah! au marafiki.com

Kabla ya marafiki.com kulikuwa na ujambo.com pamoja na cupidbay.com

Dah... Zilikuwa noma pia darchat... Acha kabisa, zilinimalizia hela kuingia Internet cafe....
 
duh!....

muanzisha thread kajiunga 2015...

sasa sina hakika kama anamfahamu ENIGMA..(ka-nzi),mwanakijiji,gametheory,mukandara,omarilyas,fmes,asprin,bigirita,rev masanilo,ms,....very senior fellaz wa hili jukwaa...

sijui bana...
 
Kwa kuwa tuna JF hapa TZ basi tunafikiri kila nchi wanayo
Ukweli ni kwamba hata Kenya tu hawana forum kama JF

nchi nyiingi za Africa hawana online forums kabisa za kwao wenyewe

wengii huiishia facebook na kwingine kama yahoo groups na kadhalika....

kwanza tujisifu watanzania kwa ujumla wake angalau tunayo JF.....
sio tu ni one of the very popular online forums in Tz na East Africa
but also ni probably the 'no 1 swahili online forums in the world'

sio mchezo....hadi hapo tu tuko mbaali
 
Ruttashobolwa
Mpangilio wa JF na wa Political forum ya US vinafanana

Yaah ni muonekano mzuri sana. hata huu tunao taka kuingia ni mzuri pia hauna tofauti sana na huu...ningependa mabadiliko lakini thread view ibaki hii hii.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata hii wanaotaka tuingie ni nzuri...mimi thread view nahitaji ibaki kama ilivyo
 
Last edited by a moderator:
Nairaland nimeingia muda si mrefu ina watu kama 7000 walio online...
JF these days huwezi jua kuna watu wangapi online labda tunge compare...

Kingine impact ya hiyo forum hasa kisiasa...(maana Afrika demokrasia hiko chini Forum kama hizi zikitumika vizuri zinasaidia kufikia viongozi wetu indirectly)

Kwa wingi wa wanaija...na ujanja wao...hiyo forum imekuwa na impact gani...? Maana japo nasi tuna yetu Naija ina hali mbaya zaidi kisiasa...

JF imekuwa chachu ya mabadiliko kisiasa kwa njia moja au nyingine...

Otherwise we need research kuweza kuwa na jibu la nani zaidi...
Kwangu mimi JF iko juu so far ... ila niko tayari kubadili msimamo nikipata data za ku prove otherwise...
 
duh!....

muanzisha thread kajiunga 2015...

sasa sina hakika kama anamfahamu ENIGMA..(ka-nzi),mwanakijiji,gametheory,mukandara,omarilyas,fmes,asprin,bigirita,rev masanilo,ms,....very senior fellaz wa hili jukwaa...

sijui bana...

Hujielewi ndugu yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…