...na kwa akili yako usichokiona wewe HAKIPO.vipo unavyoviona wewe tu.
kiwango chako cha upumbavu kiko juu mnoo...
yaani unakutana na mtu then unamwambia kwamba chumbani kwake kuna kibatari cha dhahabu kisichoonekana kinaelea katikati...
kwamba ni illusionist ni kukupa ujiko usio stahili.labda ni mwezi mchanga...
mifano yako imejaa majinga majinga na wala huoni soni.
unategemea ignore list imekupa kiburi cha kuandika majinga majinga...
Majinga majinga yenyewe ni :
kama unafahamu kutokuwepo kwa kibatari cha dhahabu kwa nini uulize au wewe ni chizi ?
wewe umesa chumbani kwangu "HAKUNA " then wataka uthibitishiwe hakuna yako. bogus
umeambiwa Mungu ndiye Muumbaji angalau kina pa kuanzia.
wewe unasema huyo ninayesema ni Muumbaji hayupo ! nakuuliza umejuwake hayupo ? Wakati mimi nafahamu yupo na amewahi kuja duniani akakanyaga ardhi akiitwa Yesu.
badala ya kuniambia namna ulivyomtafuta ukamkosa na ukahitimisha hayupo unabuni mfano uliojaa majinga majinga.
wewe jamaa mzigo kweli kweli...
cc Ishmael
Mbona matuc kaka....
Last edited by a moderator: