Is God fair ?

Is God fair ?

Naonyesha contradiction.

Mungu mkamilifu kabisa, hahitaji chochote. Hahitaji hata kuumba.

Mungu wenu mnasema mkamilifu.

Hapo hapo kaumba.

Kaumba kwa sababu gani na yeye mkamilifu kabisa?

Alijisikia lonely kukaa mwenyewe akataka kampani viumbe wafanye vituko na yeye a play Judge Judy na kusujudiwa apate kitu cha kupitisha muda?

Hehehe...kutapatapa kubaya sana.

Nimekuuliza ni Mungu gani unayemzungumzia?

Au Mungu anatakiwa awe vp?

Na contradiction ni nini na inahusika vp hapa?

mbona unachekesha!umebugi
 
Hehehe...kutapatapa kubaya sana.

Nimekuuliza ni Mungu gani unayemzungumzia?

Au Mungu anatakiwa awe vp?

Na contradiction ni nini na inahusika vp hapa?

mbona unachekesha!umebugi

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote.

Contradiction ni kitu kujipinga chenyewe.

Contradiction inahusika hapa kwa sababu mungu anajipinga mwenyewe.

Upande mmoja ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Tungetegemea sifa hizi zimfanye aumbe ulimwengu usio na mabaya, mateso, magonjwa, tsunami, matetemeko etc.

Lakini tunaona ulimwengu huu unaosemwa kwamba umeumbwa na huyu mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote, bado una mabaya yote haya.

Kwa nini?

Mungu alitaka ila alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya na mateso yote haya? Kama alishindwa, je, ni kweli anaweza yote?

Ama aliweza, lakini hakutaka tu kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya na mateso yote haya? Kama hakutaka, je, ni kweli ana upendo wote?
 
Hehe..sasa mara unahoji kama Mungu yupo kwanini kaumba ulimwengu wenye mateso mara tena kama Mungu yupo kwanini ahitaji kuumba!

Sasa hapo tukuelewaje?

Ushauri wangu ndugu tafuta ukweli kuliko kuangaika kutafuta visababu vya kukufariji..mi nafikiri laiti mngekuwa na sababu za kusema hakuna Mungu basi msingeitwa wapinga Mungu.
 
Ukweli ni kwamba hujajibu maswali yangu.

Huo ndio ukweli.
 
Ukweli ni kwamba hujajibu maswali yangu.

Huo ndio ukweli.

You have no answers, no evidences, no refutation of mine. You have a weird psychological bias against God and a blind belief in No God that you cannot justify.

If we are 100% chemical animals and our chemicals cause child rape, why is child rape morally wrong?
Why is the child rapist morally culpable when he has no free-will choice?

Answer the questions
 
tafuteni msaada kwa kusubiri
na kwa kusali; na kwa hakika jambo
hilo ni gumu isipokuwa kwa
wanyenyekevu, ***
 
Labda niseme hiv mungu Ni muweza wa yote,upendo mkuu,pia asiyeshindwa lolote. Sasa kwann dunia tunayoishi ina matatizo mengi ina maana huyu mungu anapenda tuishi hiv, Sasa Kama anapenda basi sio mungu mwenye upendo, Kama hapendi tuteseke na yeye Ni muweza wa yote anashindwa vipi kuondoa haya matatizo yote au mungu uyo tunaeambia hayupooo.
 
I am in a deep thoughts,Is God really fair?

For instance...Watu wengi ambao ni WEMA hupitia changamoto nyingi kuliko wale ambao si WEMA
Mimi sasa hivi siamini katika dini kabisa, i don't believe in the God of the Bible neither Allah..all these gods are satanic they don't like human beings.
I don't even believe Jesus existed.
Dini ni mind control system, ipo kwa ajili ya kuficha asili yetu na historia, there are great question which vitabu vya dini havina majibu..kama bible iliandikwa kidhaifu hivyo basi mungu wake pia ni dhaifu na hana akili...ivo yani
 
Inafikirisha sana! Mungu ameumba watu alafu akawatelekeza... Wapowapo tu kama nyanya kwenye tenga
 
In my opinion There is no possibility of God, we are deeply controlled by the minority secret society under the umbrella of Religion and god. how can i feel the existence of uncreated. And if God loves us, we human being we could be the same in every aspects.

Finally "Shetani nayeye ana mamlaka Tumsifu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom