...KISICHOONEKANA...sio lazima unachosema hakionekani iwe kweli hakionekani kwa kila mtu.na wakati wote na maxingira yote.
...kisichoonekana...kwako
Unatakiwa utueleze Kama mungu yupo and not bla bla......
...KISICHOONEKANA...sio lazima unachosema hakionekani iwe kweli hakionekani kwa kila mtu.na wakati wote na maxingira yote.
...kisichoonekana...kwako
That is neither here nor there.
Nipe maneno yangu yaliyokufanya useme nimesema kisichoonekana hakipo.
Inashangaza kusema kwamba mimi nimesema kisichoonekana hakipo wakati naomba uthibitisho kwamba mungu yupo kwa kutumia "logical consistency" ambayo haionekani.
Mtu anayesema "kisichoonekana hakipo" ataombaje uthibitisho wa uwepo wa mungu kwa kutumia "logical consistency" ambayo haionekani?
Kwa kusema hivyo tu (kwamba mimi nimesema kisichoonekana hakipo)na wewe umekosa logical consistency katika kunichambua ninavyofikiri.
Nisome tena.
husomeki !
husomeki !
100% of the non theists claiming to have arguments and evidence (rather than being honest) have in fact failed to produce any such thing - including you.
There is a real problem with non theist intellectual foundations. I'm just providing the platform for you to expose yourselves.
I offered plenty of good arguments and evidence. You will not be able to defeat anything. You just ignore it.
You offered no arguments or evidence to justify non theist belief.
Ishmael[/MENTION]
...na kwa akili yako usichokiona wewe HAKIPO.vipo unavyoviona wewe tu.
kiwango chako cha upumbavu kiko juu mnoo...
yaani unakutana na mtu then unamwambia kwamba chumbani kwake kuna kibatari cha dhahabu kisichoonekana kinaelea katikati...
kwamba ni illusionist ni kukupa ujiko usio stahili.labda ni mwezi mchanga...
mifano yako imejaa majinga majinga na wala huoni soni.
unategemea ignore list imekupa kiburi cha kuandika majinga majinga...
Majinga majinga yenyewe ni :
kama unafahamu kutokuwepo kwa kibatari cha dhahabu kwa nini uulize au wewe ni chizi ?
wewe umesa chumbani kwangu "HAKUNA " then wataka uthibitishiwe hakuna yako. bogus
umeambiwa Mungu ndiye Muumbaji angalau kina pa kuanzia.
wewe unasema huyo ninayesema ni Muumbaji hayupo ! nakuuliza umejuwake hayupo ? Wakati mimi nafahamu yupo na amewahi kuja duniani akakanyaga ardhi akiitwa Yesu.
badala ya kuniambia namna ulivyomtafuta ukamkosa na ukahitimisha hayupo unabuni mfano uliojaa majinga majinga.
wewe jamaa mzigo kweli kweli...
cc Ishmael
Ukijua kibaya kitatokea tangu mwanzo, utatokaje kwenye furaha na kuanza kuhuzunika hapo kinapotokea kama vile hukujua kitatokea?
Tena kujua kwenyewe ai kwa kibinadamu kama utabiri wa hali ya hewa, ni kujua kama mungu kisikokuwa na uwezekano wa kukosea.
Mungu anatokaje kwenye furaha na kuanza kuhuzunika kwa sababu wanadamu wamekosea wakati alijua yote hayo tangu mwanzo?
Na kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambayo mabaya yanaweza kutokea wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
How can I be scared of something that you can't even prove is there?
Unaweza kuthibitisha mungu huyu yupo?
Anayemuogopa mungu hawezi kupinga uwepo wake, ataanzaje kupinga iwepo wa mungu wakati anamuogopa?
You got it twisted backwards.
Wewe unayesema mungu yupo bila kuweza kunielezea ndio unamuogopa, si mimi ninayekuuliza yupo vipi.
Haya niambie wakati mungu yesu akiwa kaburini siku 3 nani alikuwa mungu?.Je hakukuwa na mungu kwa siku 3?.Je nikisema mnajichanganya na vitabu vyenu vya mila na tamaduni za waisrael nitakuwa wrong.
I have done nothing but proving to you that there is one MIGHTY GOD....THE GREAT I AM. tumekupa maelezo ya kutosha na evidence kuwa yupo. its a fact. sasa kama umeamua kutoelewa, hilo halinihusu. the universe is that way because he wanted it to be that way.
kutoelewa kwako hakumaanishi Kuwa Mungu hayupo. Mungu yupo na tunaendelea kumuona kila siku through his beloved son JESUS CHRIST.
nyie endeleeni kushangaashangaa na kujiona mna akili nyingi
Maswali mawili hujajibu.
Unaweza kithibitisha kwamba mungu yupo? Thibitisha au nipe link ulipothibitisha ni wapi tupachambue.
Mimi nitaogopaje kitu ambacho hujathibitisha kwamba kipo?
kwa nini mungu(kama yupo)aliyetuumba mi na wewe wewe umjue na mimi nisimjue?.kwa nn tumsome mungu darasani?kwa nn wewe unifundishe kuhusu muumba wangu?.
kama aliwez akuiweka pumzi tukaivuta automatically bila kuiomba ama kuitafuta mahala alishindwa nn kufanya tumjue automatically ?.
kuna mambo mengi sana mmeshindwa kujibu humu tangu zamani labd akama we ni mgeni hapa jf ama katika jukwaa hili.
Ukimaliz akujieleza nambie kwa nn mungu aliumba cultural isolation if the Hindu ??.Then nambie if they are praying yo the wrong god.Pili thibitisha kwamba mungu wako ni w akwel na sio mungu wa waislam ?wakristu ama wayahudi pia thibitisha kwamba wao mungu wao sio sahihi.karibu jukwaan
Mimi sitegemei link yoyote inithibitishie uwepo wa Mungu. nathibitisha mwenyewe kuwa Mungu yupo. mfano mdogo, leo nimekula nikashiba. huo ni uthibitisho aliyeniwezesha hilo ni Mungu mwenyewe
you are in denial, it seems kuna jambo lilikupata na ndilo likakupelekea kuwa hivyo ulivyo. kiufupi una hasira na Mungu. unajiuliza alikuwa wapi wakati hilo jambo linakupata. unatafuta kureconcile na moyo wako, you are trying hard within you kutafuta majibu lkn huyapati. Ili moyo wako utulie, unajiambia hakuna Mungu
mkuu Kiranga unachokifanya ni kutaka kumfahamu huyu Mungu. you are eager to learn and know God, thats a breakthrough. kupitia kwako nimejifunza kitu.....you are not an atheist.
true atheists hawajisumbui hata kufungua nyuzi zinazohusiana na Mungu. to them God isnt worthy even their thoughts.
Kiongozi, hawa jamaa huwa nawaita mindless, kwasababu vipo vitu vingi sana ambavyo havionekani na vipo. Nilitoa mfano wa "love" "upendo",...na kwa akili yako usichokiona wewe HAKIPO.vipo unavyoviona wewe tu.
kiwango chako cha upumbavu kiko juu mnoo...
Mifano yake ni ya kipumbavu na haipo kwenye logic. Ndio maana namuita mjinga wa akili. Sasa kama yeye ni mjinga, kwanini hayupo teyari kuufuta ujinga wake?yaani unakutana na mtu then unamwambia kwamba chumbani kwake kuna kibatari cha dhahabu kisichoonekana kinaelea katikati...
kwamba ni illusionist ni kukupa ujiko usio stahili.labda ni mwezi mchanga...
mifano yako imejaa majinga majinga na wala huoni soni.
Umelenga penyewe Kiongozi.unategemea ignore list imekupa kiburi cha kuandika majinga majinga...
Majinga majinga yenyewe ni :
kama unafahamu kutokuwepo kwa kibatari cha dhahabu kwa nini uulize au wewe ni chizi ?
wewe umesa chumbani kwangu "HAKUNA " then wataka uthibitishiwe hakuna yako. bogus
umeambiwa Mungu ndiye Muumbaji angalau kina pa kuanzia.
wewe unasema huyo ninayesema ni Muumbaji hayupo ! nakuuliza umejuwake hayupo ? Wakati mimi nafahamu yupo na amewahi kuja duniani akakanyaga ardhi akiitwa Yesu.
badala ya kuniambia namna ulivyomtafuta ukamkosa na ukahitimisha hayupo unabuni mfano uliojaa majinga majinga.
wewe jamaa mzigo kweli kweli...
cc Ishmael
You offer no evidence to justify your belief in No God. You offer excuses for why you don't need evidence.kama una kipya leta hapa kama ushahidi ama tujadili lakini kuponda Atheism haitamaanisha Theism ni sahihi
Obviously we both know you are lying. Your lies are even more naked and egregious as the written record reveals I have answered you with a full and valid refutation.Tueleze na c bla bla...
Do you remember nilikwambia wewe ni Muislam halafu ulikuwa unagoma. Unaona jinsi ukificha dini yako mlango wa nyuma sasa umeumbuka.Haya niambie wakati mungu yesu akiwa kaburini siku 3 nani alikuwa mungu?.
.Je hakukuwa na mungu kwa siku 3?
Je nikisema mnajichanganya na vitabu vyenu vya mila na tamaduni za waisrael nitakuwa wrong.