Is God fair ?

Is God fair ?

Kwa nini ufikiri kwamba huzuni ni weakness??????????????
a) was he sad
b) was he disappointed
c) was he dismayed

You are critical on the words used to describe God's response on the fall of his own creation. And the fact that you are dissecting the whole idea of creation in relation to the greatness of creator, i honestly cannot see how you are going to conclusively arrive at the fair conclusion from the human point of view.

because this if a faith based reasoning with its own logical conclusion that sometimes satisfy itself with the mystery that surround the whole idea of God and His creation.

There is no such thing as "faith based reasoning" when it comes to god.

Faith is the suspension of reason, it's "own logical conclusion" is a deus ex machina designed at escaping fair and logical scrutiny.

Hujajibu maswali.

Kwa nini unafikiri ni assumption?

Na huzuni ilimfikia vipi?

Na vyovyote vile itakavyomfikia, mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote anafikiwaje na huzuni?

Huzuni inakuja kwa kupata habari mpya, habari inayobadilisha hali ya mawazo yako kutoka furaha zaidi kwenda huzuni zaidi.

Mungu ambaye hamna kipya kwake, kwa sababu anajua kila kitu na anaweza kila kitu, anapataje huzuni?
 
Mungu ni upendo. ukipenda lazima at one point utaumia na kuhuzunika. hiyo ni asili yake, hiyo ndiyo asili ya upendo. haimaanishi kuwa yeye ni dhaifu.... love is never weak
 
Anayejua yote na kuweza yote anaanzia wapi kuhuzunika?

Ili utoke kwenye furaha na kuhuzunika, ni lazima upate habari mpya.

Kwa mungu anayejua yote, hakuna habari mpya.

Kitakachomuhuzunisha ni kipi wakati yeye hawezi kujua kipya kwa kuwa anajua yote ?
 
Hahah mkuu Kiranga umewashika pabaya hapo hawatoki!,hili swali niliwahi kuwauliza siku za nyuma katika uzi flani wakasepa.Inashangaza sana kuambiwa maneno kama,

Mungu akaona huzuni
Mungu akaghadhabika
Hasira ya mungu ikashuka juu yao
Mungu akawalaani
Mungu akapendezwa nao
Hapa inathibitisha kwamba mungu ni man made kama vitu ama idea nyingine nyingi tu.Mungu mwenye uwezo wote hawezi kuona huzuni wala hasira labda kama mi sielewi nini kinaleta hasira na huzuni.Hapa hawachomoki ndugu!
 
Last edited by a moderator:

Mazuzu mwapongezana...
Huzuni ni nini ?
Ghadhabu ni nini ?
Hasira ni nini ?

Ukifanikiwa kutoa jibu ambalo mtoa ujumbe wa biblia alimaanisha utakuwa umethibitisha hoja yenu ya kijuha ya "hakuna mungu "
 
Last edited by a moderator:
Mungu alipoleta gharika alihuzunika kwa nini kaumba binadamu, akasononeka.

Mungu akaipiga dunia gharika.

Mungu mjuzi wa yote imekuwaje ahuzunike na kusononeka kwa kiumbe alichokiumba yeye mwenyewe mpaka kughairi kuendeleza dunia kama ilivyokuwa na kuipiga gharika?

Ina maana alivyoumba dunia hakujua kwamba hivyo ndivyo itakavyokuwa?

Mungu anayejua yote na kuweza yote atasononekaje? Atahuzunikaje wakati anajua yote na kuweza yote? Kipi kitakuwa kipya kwake mpaka kimsononeshe na kumhuzunisha?

Kwa tafsiri yako hiyo basi leo hii wasingeendelea kuwepo binadamu.
 
Hahah mkuu Kiranga umewashika pabaya hapo hawatoki!,hili swali niliwahi kuwauliza siku za nyuma katika uzi flani wakasepa.Inashangaza sana kuambiwa maneno kama,

Mungu akaona huzuni
Mungu akaghadhabika
Hasira ya mungu ikashuka juu yao
Mungu akawalaani
Mungu akapendezwa nao
Hapa inathibitisha kwamba mungu ni man made kama vitu ama idea nyingine nyingi tu.Mungu mwenye uwezo wote hawezi kuona huzuni wala hasira labda kama mi sielewi nini kinaleta hasira na huzuni.Hapa hawachomoki ndugu!

We unadandia mambo tu..hadi sasa mmeshindwa kuthibitisha dai lenu la kupinga uwepo wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
We unadandia mambo tu..hadi sasa mmeshindwa kuthibitisha dai lenu la kupinga uwepo wa Mungu.

Ndugu UHURU JR niko humu kitambo sana ndugu sijadandia kama unavyosema.Tulie upate msaada wa kifikra utoke katika kuwaza kile tu kilicho ndani ya box.Jitahidi kufanyia kazi mawazo haya uyapatayo humu japo huwezi kukiri kwamba tunakusaidia
 
Last edited by a moderator:
Anayejua yote na kuweza yote anaanzia wapi kuhuzunika?

Ili utoke kwenye furaha na kuhuzunika, ni lazima upate habari mpya.

Kwa mungu anayejua yote, hakuna habari mpya.

Kitakachomuhuzunisha ni kipi wakati yeye hawezi kujua kipya kwa kuwa anajua yote ?

nakuja kukujibu
 
Kiranga Mungu ni UPENDO, unatakiwa ujue complexity ya upendo ktk mantiki ya kuwa huwezi kutofautisha kati ya Mungu na UPENDO.

hivyo basi kwa nini Mungu anahuzunika? ni kwa sababu alimuumba mwanadamu na free will (kumbuka nilishakubana kuhusu free will ukakimbia)... mwanadamu ana uhuru wa kuamua kufanya jambo lolote jema au baya...ndivyo Mungu alivyotaka iwe. sasa anahuzunika pale mtu anapoamua kufuata njia potofu as a result of him being free to choose btn right and wrong.

God cannot contradict himself, atakuacha ufanye yako na ataumia coz he loves u unconditionally, but cant go against his own nature
 
Last edited by a moderator:
Hahah mkuu Kiranga umewashika pabaya hapo hawatoki!,hili swali niliwahi kuwauliza siku za nyuma katika uzi flani wakasepa.Inashangaza sana kuambiwa maneno kama,

Mungu akaona huzuni
Mungu akaghadhabika
Hasira ya mungu ikashuka juu yao
Mungu akawalaani
Mungu akapendezwa nao
Hapa inathibitisha kwamba mungu ni man made kama vitu ama idea nyingine nyingi tu.Mungu mwenye uwezo wote hawezi kuona huzuni wala hasira labda kama mi sielewi nini kinaleta hasira na huzuni.Hapa hawachomoki ndugu!

Huwezi kuelewa hili jambo kama hujui UPENDO ni nini
 
Last edited by a moderator:
Ndugu UHURU JR niko humu kitambo sana ndugu sijadandia kama unavyosema.Tulie upate msaada wa kifikra utoke katika kuwaza kile tu kilicho ndani ya box.Jitahidi kufanyia kazi mawazo haya uyapatayo humu japo huwezi kukiri kwamba tunakusaidia

Mkuu unachekesha sana..hivi ni kipi ambacho naweza kujifunza kutoka kwenu? Maana muda wote ni kupinga tu, sasa unafikiri ni mawazo gani nitayapata kwa huko kupinga kwenu?
Halafu nyie ndiyo hamtaki kufikiri nje ya box,hamtaki sukia chochote kipya, hata huko kupinga kwenu Mungu kwa kutumia hiyo ya upendo tu bado haitoshi kusema hakuna Mungu,maana bado kuna mambo kibao.
Na pia bado kuna watu ambao wanaamini Mungu ila hawaamini hivyo vitabu vya dini, na ndiyo nawaambia mtoe hoja za kupinga Mungu bila kutumia vitabu naona mmshindwa kufanya hivyo.
 
Kwa nn usilijibu hilo la upendo kwanza kisha tukaendelea.Sisi tujo flexible kama ikiwa mtatupa ushahidi yakinifu kwamba mungu yupo na dio idea tu.
 
Huwezi kuelewa hili jambo kama hujui UPENDO ni nini

Hata nikijua upendo ni nini haitamaanisha mungu yupo.Unachotakiwa kujua ni kwamba idea ya mungu au kitu flani chenye uwezo kuliko cc wanadamu inatokana na hisia zetu na harakati za mwanadamu kutaka kujua mwanzo wake ni nini.So ukisema mungu ana uwezo wote na nguvu zote halafu anajua kila kitu hata vijavyo then ukasema mungu alipata hasira kwa baada ya jambo flani kutendwa na wanadamu utakuwa unachekesha fikiria upya.Pia lazima ukubali kuruhusu ubongo wako kupokea vitu na challenge mpya
 
moja ya kitu ambacho aliyewaweka kwenye box kashinda ni kuwafanya mubaki kuwa machine za kuuliza maswali pasipo kujibu.maswali.
 
Hata nikijua upendo ni nini haitamaanisha mungu yupo.Unachotakiwa kujua ni kwamba idea ya mungu au kitu flani chenye uwezo kuliko cc wanadamu inatokana na hisia zetu na harakati za mwanadamu kutaka kujua mwanzo wake ni nini.So ukisema mungu ana uwezo wote na nguvu zote halafu anajua kila kitu hata vijavyo then ukasema mungu alipata hasira kwa baada ya jambo flani kutendwa na wanadamu utakuwa unachekesha fikiria upya.Pia lazima ukubali kuruhusu ubongo wako kupokea vitu na challenge mpya

hapo ndo mnaposhangaza nyie watu. mnapinga tu na tukitaka kuwaelewesha bado hamtaki. kama hutaki kujua kuhusu UPENDO basi hutaki kujua kuhusu MUNGU. hivyo usiseme Mungu hayupo sema hutaki kujua kama yupo ama la. kiufupi nyie wote hamjielewi
 
kwa nini mungu(kama yupo)aliyetuumba mi na wewe wewe umjue na mimi nisimjue?.kwa nn tumsome mungu darasani?kwa nn wewe unifundishe kuhusu muumba wangu?.

kama aliwez akuiweka pumzi tukaivuta automatically bila kuiomba ama kuitafuta mahala alishindwa nn kufanya tumjue automatically ?.

kuna mambo mengi sana mmeshindwa kujibu humu tangu zamani labd akama we ni mgeni hapa jf ama katika jukwaa hili.

Ukimaliz akujieleza nambie kwa nn mungu aliumba cultural isolation if the Hindu ??.Then nambie if they are praying yo the wrong god.Pili thibitisha kwamba mungu wako ni w akwel na sio mungu wa waislam ?wakristu ama wayahudi pia thibitisha kwamba wao mungu wao sio sahihi.karibu jukwaan
 
what we are arguing here is the existence of God in the first place, regardless of christianity, hinduism or whatever coz at least they acknowledge his presence.
God created us with free will, the effect of free will is that we are at liberty to choose whether to know him or not
the difference is that, I have decided to acknowledge his existence and u have decided to ignore him altogether. he can't force u to acknowledge his presence, wewe sio msukule akupelekeshepelekeshe tu. Huo ndo upendo wa Mungu upitao ufahamu wa mwanadamu. amekuumba na anakuachia uhuru wa kumtambua ama kuacha.

I know you can't understand this, can you?
 
kwa nini mungu(kama yupo)aliyetuumba mi na wewe wewe umjue na mimi nisimjue?.kwa nn tumsome mungu darasani?kwa nn wewe unifundishe kuhusu muumba wangu?.

kama aliwez akuiweka pumzi tukaivuta automatically bila kuiomba ama kuitafuta mahala alishindwa nn kufanya tumjue automatically ?.

kuna mambo mengi sana mmeshindwa kujibu humu tangu zamani labd akama we ni mgeni hapa jf ama katika jukwaa hili.

Ukimaliz akujieleza nambie kwa nn mungu aliumba cultural isolation if the Hindu ??.Then nambie if they are praying yo the wrong god.Pili thibitisha kwamba mungu wako ni w akwel na sio mungu wa waislam ?wakristu ama wayahudi pia thibitisha kwamba wao mungu wao sio sahihi.karibu jukwaan

by the way nilichogundua ni kuwa wewe unatambua uwepo wa Mungu ila kuna vitu umeshindwa kuvielewa au kuvielezea, hivyo ukaamua kuhitimisha Mungu hayupo ili upate some peace of mind. in short, you are scared and confused
 
Hahah mkuu Kiranga umewashika pabaya hapo hawatoki!,hili swali niliwahi kuwauliza siku za nyuma katika uzi flani wakasepa.Inashangaza sana kuambiwa maneno kama,

Mungu akaona huzuni
Mungu akaghadhabika
Hasira ya mungu ikashuka juu yao
Mungu akawalaani
Mungu akapendezwa nao
Hapa inathibitisha kwamba mungu ni man made kama vitu ama idea nyingine nyingi tu.Mungu mwenye uwezo wote hawezi kuona huzuni wala hasira labda kama mi sielewi nini kinaleta hasira na huzuni.Hapa hawachomoki ndugu!

God self-exists. This means that God exists without beginning in time as the uncaused prime cause of all things that exist contingently (having a beginning to their existence).

This does not mean God is self-created. Self creation is irrational. Something would have to exist before it exists to self-create.

You need to remember that Self-existence is rationally NECESSARY and not optional, since something exists, rather than nothing.

Why? Because if absolute nothing existed, what would exist now? That's right - nothing. Nothingness cannot cause something to begin existence. Yet, something exists now. Therefore something necessarily always existed (eternally) as the causal prime of all things that begin to exist.

Most non theists ask, well why can't the Universe be that self-existent something? The short answer is that the Universe began to exist, so it cannot possibly have existed eternally in the past.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom