Is God fair ?

Is God fair ?

Haya niambie wakati mungu yesu akiwa kaburini siku 3 nani alikuwa mungu?.Je hakukuwa na mungu kwa siku 3?.Je nikisema mnajichanganya na vitabu vyenu vya mila na tamaduni za waisrael nitakuwa wrong.

sio tu kwamba uko wrong ni kwamba hujafikiri hata.
umecopy kutoka memory ya kukariria kichwani ume paste JF.
kutumia.akili.kuhoji.kuhusu Mungu sio dhambi
 
Pole sana La Princesa. Just know kwamba, whatever happens, happens for a reason. Mshukuru Allah kwa chochote kinacho kutokea. You never know as long as you are still alive, kuna mengi yakujifunza na yatakutokea. Mwisho wa siku wate tutakufa hatakama upo katika utajiri au mamlaka kama Steve Jobs, Gaddafi etc.
 
My dear cko kwenye hiyo prob was jus curious kufahamu if God is really fair....nimejifunza kuwa he's so-Fair and moreover he's a loving father
 
Unaweza kuuona upepo?unaweza kuushika?

Sikuomba unionyeshe roho au niishike, nimeomba uthibitisho kwamba ipo, kwa hiyo swali lako halina mlinganyo.

Licha ya hilo, unaweza kuuona upepo kwa principles za brownian motion kama ulisoma physics ya form one.

Unaweza kuushika na kuufungia kwenye puto, unaweza kuutumia kwenda na mashua, kuna mpaka ramani za mikondo ya upepo duniani.

Ona hapa http://earth.nullschool.net/

Unaweza kurhibitisha kwamba roho ipo?

Hujajibu swali hili bado.
 
we jamaa mzigo kweli,ukiulizwa unarejea vitabu unavyokariri wewe kama ndivyo vyenye authority ukipewa ushahidi wa maandiko ya Mungu unataka uthibitishiwe kwanza uwepo wake.
nawewe kwa nini usianze kuthibitisha uwepo wa brown kabla hujataka zitumike kama rejea ?
 
Tatizo unanipa ushahidi wa maandiko ya mungu badala ya kunipa ishahidi wa uwepo wa mungu.
 
Tatizo unanipa ishahidi wa maandiko ya mungu badala ya kunipa ishahidi wa uwepo wa mungu.

maandiko ndiyo rejea. wewe unaombwa ushahidi wa upepo unataka wengine wafuate rejea toka brownian, toa ushahidi wa uwepo wa upepo na sio kukimbia swali kwa kuhoji ati watu hawakusoma so and so !
toa majibu ya kuendeleza na kuleta maana kadri ya mjadala
 
Mimi naamini Mungu lakini sijawahi hata siku moja kuona mwamini Mungu mwenzangu akijibu hoja zako kwa ufasaha hapa JF.

Ni afadhari mimi ninayeamini Mungu yupo kwani siku ya mwisho hata kama kweli hayupo i will lose nothing.
 
maandiko ndiyo rejea. wewe unaombwa ushahidi wa upepo unataka wengine wafuate rejea toka brownian, toa ushahidi wa uwepo wa upepo na sio kukimbia swali kwa kuhoji ati watu hawakusoma so and so !
toa majibu ya kuendeleza na kuleta maana kadri ya mjadala

Kama mungu yupo, muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote, kwa nini kaumba dunia ambayo ina uwezekano wa kuwa na mabaya, mateso, dhiki, etc wakati alikuwa na iwezo wa kuumba dunia ambayo hivyo haviwezekani?
 
SWALI LA "KWA NINI " aliumba ulimwengu huu ambao wewe unakukera ulikwishajibiwa na kupewa ufafanuzi.
ubongo wako umeghoshiwa hautaki kupokea ujuzi mpya hivyo ni busara chafu inayokuongoza kuuliza swali hilo hilo hata upewapo majibu.
labda nijibu upya kwa herufi kubwa: MUNGU ALIUMBA DUNIA NAMNA ILIVYO ILI IWEZE KUHIFASHI VIUMBE WENGINE KWA MPANGILIO WAKE, AKAMUUMBA MWANADAM KUWA MBIA KATIKA KUENDELEZA MAISHA DUNIANI KWA KUMTUNUKU BUSARA NA MAARIFA YA KUISHI NA KUTIISHA DUNIA.
hivyo Hayo uyaonayo matatizo ndiyo.msingi wa kumtofautisha binadam na hayawani wengine kwa kuwa binadam ambaye ni mbia katika uumbaji wa Mungu dhidi ya viymbe wengine anawajibika kutafuta maarifa ya kuifanya dunia ni sehemu bora ya kuishi huku akizingatia ecosystem kuilinda kwa kadri ya mpango wa Mungu.
ni bahati mbaya sana binadam amekosa maarifa kwa kujifungia katika baadhi ya vitengo ndani ya mfumo wa dunia kadri ya Uumbaji wa Mungu.
matokeo yake binadam kajifungia ndani ya kanuni ambazo zinafisha uwezo wake wa kutafuta maarifa zaidi kwa jina la Sayansi; kanuni hizo kutokana na mapungufu yake zomewafanya mwanadam wanaozitegemea waishi wakikabiliwa na msongo mkali wa mawazo na kukosa maarifa na busara ya kibinadam waliopewa na Mungu,kiasi cha kuchanganyikiwa na kuhoji uwepo wa Mung.
 
Kwanza kabisa objection si kwamba ulimwengu unanikera, bali ni kwamba ilimwengu inapingana na nature yake ya mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote.

Pili ingekuwa vizuri unaposema nilishajibiwa unipe link.

Maana unaweza kufikiri umejibu muafaka kwa kusema :mungu haulizwi kwa nini kafanya hiki au kile", mimi nikakwambia hilo si jibu, ni kukinali kwamba hujui jibu.

Unaposema mungu katofautisha viymbe vyake, wengine kawapa akili ya kufikiri, wengine hayawani, huyu mungu gani ana ubaguzi?

Kwa nini wengine kawapa akili na wengine kawafanya hayawani wakati alikuwa na uwezo wa kuwapa akili wote bila ya kipungukiwa na kitu?

Kwa nini hawa hayawani kawabania? Wamemkosea nini? Yeye si mungu wa upendo wote? Mbona anapendelea viumbe wake wengine anawapa akili ya kichambua mema na mabaya, wengine anawafanya hayawani?

Huyu mungu ana upendo wote kweli?

Huyu mungu yupo kweli?
 
Kama mungu yupo, muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote, kwa nini kaumba dunia ambayo ina uwezekano wa kuwa na mabaya, mateso, dhiki, etc wakati alikuwa na iwezo wa kuumba dunia ambayo hivyo haviwezekani?

Sasa mbona unakanyaga matapishi yako mwenyewe!
Lete hoja za kupinga Mungu nje ya vitabu vya dini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom