Is God fair ?

Is God fair ?

Ukishakubali hilo ushakubali kwamba wewe ni mjinga katika kumuelewa mungu unayemkubali kwamba yupo.

Na kwa vile ni mjinga wa hilo, unaweza kuwa unamkubali kwamba yupo wakati hata hayupo.

Unajidhihirisha Tu jinsi ulivyojaa majinga majinga. Kama kutoelewa sababu ya kuamua alichoamua pasipo kujadiliana nami ni kutokumjua na kuonyesha wasi juu ya uwepo wake ni nani Mimi nimpigie mziki hadi mbuzi acheze kwaito ?
Maana wewe ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi nikitegema acheze
 
Mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wote na upendo wote anatakiwa angalau awe na logical consistency.

Mungu wenu hana logical consistency.

Huku unaambiwa ana upendo wote na ujuzi wote, huku unaambiwa kaghairi uumbaji wake kamwaga gharika.

Sasa huyu mungu mwenye ujuzi wote na upendo wote alivyokuwa anaumba ulimwengu alishindwa kuuumba usiwe na gharika huko mbeleni? Si anajua yote na ana upendo wote? Gharika imekuja vipi sasa?

No logical consistent.

Lika a bad third rate drama.

Kumbuka ulijibiwa kuwa Mungu anaamua yeye atakavyo kuumba,ukasema wewe haujauliza nani anaamua ukasema wewe unauliza kwanini aamue hivyo? Ambavyo ukasema ni kujipinga.
Hivyo ndiyo ilivyokuwa na ndipo nikakuuliza kwani misingi ya Mungu katika kuumba ni ipi ili tuweze kusema kwamba uumbaji wake huu wa dunia kuwa na maovu ni kujipinga?
Nakubali kuwa Mungu ana upendo na uwezo wote, lakini je,misingi ya uumbaji wake ni ipi?

Maana ukiacha sie binadamu ,wapo wanyama pia ambao sie tunawachinja na kuwafanya kitoweo, je nao pia unawazungumziaje?
 
Hujajibu swali na kuondoa contradiction.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upenod wote kaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu huyu yupo at all?

Nafikiri uthibitisho uliobaki ni wa kukuletea kisayansi Tu.
Labda usubiri kuletewa kweny test tube maana kichwa chako kufikiro 0 totally brainless
 
Uthibitiaho gani ulioutoa mwanzo mpaka huo wa kisayansi pekee uwe ndio umebaki?
 
Unaiamini kama kitabu cha mungu kisicho makosa?

Namwamini Mungu kwa Maana ya Yesu Kristo.
Inategemea ni kitabu gani na ni makosa gani.
Maana kuna vitabu ambavyo ni mafunuo; naamini mafunuo hayana makosa ya ufunuo weyewe Sana Sana ya kitasfiri ktoka lugha moja kwwnda nyingine.
Kuna vitabu ambazo ni watu wa Mungu wakiimba kumsifu Mungu.
 
Kwa hiyo imani yako kuhusu biblia haiko kamili.
 
Misingi ya Uumbaji ya Mungu ni ipi hadi useme kwamba uumbaji huu ni kujipinga?

Kimyaaaa..
 
Nature ya mungu wenu mnasema ni uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Hapo hapo mungu huyu, mwenye kila uwezo na kila upendo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani (kwa sababu uwezo anao, sababu anayo, upendo anao), haumbi ulimwengu huo.

Anaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana (sababu hana, upungufu wa uwezo kusababisha hili hana, upungufu wa upendo kusababisha hili hana)

Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu hili swali.
 
Unajidhihirisha Tu jinsi ulivyojaa majinga majinga. Kama kutoelewa sababu ya kuamua alichoamua pasipo kujadiliana nami ni kutokumjua na kuonyesha wasi juu ya uwepo wake ni nani Mimi nimpigie mziki hadi mbuzi acheze kwaito ?
Maana wewe ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi nikitegema acheze

Kwa hiyo kati yako wewe unayempigia mbuzi Kwaito ili acheze na mimi mbuzi nani mjinga?
 
Nature ya mungu wenu mnasema ni uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Hapo hapo mungu huyu, mwenye kila uwezo na kila upendo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani (kwa sababu uwezo anao, sababu anayo, upendo anao), haumbi ulimwengu huo.

Anaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana (sababu hana, upungufu wa uwezo kusababisha hili hana, upungufu wa upendo kusababisha hili hana)

Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na upendo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu hili swali.

Hujajibu swali nililokuuliza...unarudia yale yale tu,kwanini asingefanya mara mbona hajafanya vile.

Misingi yake ya uumbaji ni ipi?
 
Nimekujibu, wewe hujui kusoma tu.

Misingi ipo katika innate nature of your god per your literature.

Omnipotence, omniscience, omnipresence, omni benevolence.

Do you even know what that is?
 
Hakuna hoja ya msingi hapa,swala ni nyie(watu wa mungu)kuthibitisha kwamba kuna mungu
 
Nimekujibu, wewe hujui kusoma tu.

Misingi ipo katika innate nature of your god per your literature.

Omnipotence, omniscience, omnipresence, omni benevolence.

Do you even know what that is?

Hehehe...najua hiyo ndiyo msingi wa Imani yenu.na wote ndiyo mmekaririshwa hivyo.

Ni vichekesho kusema kwamba hiyo ndiyo misingi ya uumbaji wa Mungu, inaonesha kwa jinsi gani hujui hata unachojengea hoja.

Hizo ni ktk sifa zake na Mungu ana sifa nyingi za pekee.hivyo hata angetaka kuumba ulimwengu ambao watu hawafanyi maovu,basi yeye angejua kila kitu kuhusu hivyo viumbe kabla hata hayajatokea mwanzo hadi mwisho(sababu ni mjuzi wa yote).
Na pia yeye ndiyo angepanga kila kitu kuhusu hao viumbe,hakuna ambacho kingetokea pasina yeye kukitaka kutokea,hivyo Mungu anaumba na hufanya vile atakavyo sababu ndiyo mwenye nguvu na muweza yote.

Sasa tunapokuja kwenye ulimwengu wetu ambao tunafanya maovu na mambo mengine,ni vilevile tu kwamba Mungu anayajua yote ambayo tunayoyafanya na ambayo bado kuyafanya,Yote ambayo yanatokea ktk ulimwengu basi ni yeye(mwenye uwezo wa yote) ndiyo ametaka yatokee hakuna kinachotokea ambacho hakikuwa ni matakwa yake.

Matakwa yake yapo aina:yapo ya aina mbili,kuna mipangilio ya kiulimwengu ambayo kama kuchomoza kwa jua na kuzama,mvu n.k(na ndiyo ktk dalili za uwepo wake), hayo yote ni matakwa yake..halafu matakwa ya aina ya pili ndiyo haya tunayofanya sisi kama hayo maovu na mengineyo, ametuacha tufanye tutakavyo lakini ni ndani ya matakwa yake,kwa maana hiyo ambalo hatolitaka hatutoweza kulifanya.
Ndiyo maana anasema kuwa anaumba na kufanya atakavyo. Na laiti angependa hao wanaofanya maovu kutokufanya hayn maovu basi wasingefanya,kama alivyowafanya malaika.
 
Mungu anajua kila kitu au kuna vitu hajui?
 
Ndiyo; katika kitu kikuu ambacho tunauhuru wa kutumia pasipo kuingiliwa na mwingine awaye yote ni UHURU WA KUWAZA NA KUAMUA NAMNA YA KUTUMIA ULICHOWAZA,hivyo ni juha pekee atayeuliza wenzie wamweleze sababu za MTU mwingine kuwaza na kuamua namna alivyoamua.
Lakini mtaalam wa set theory wewe waona kitendo cha Ishmael kutojua sababu za Kiranga kuamua anavyoamua ni kutokumjua Kiranga na kuonyesha kwamba Kiranga ni dhana Tu ukweli Kiranga HAYUPO.

Kiongozi, naona unamshika pabaya huyu. Anyways. Bado hajajibu maswali yangu.

One of them is this one:
Can non theists defend their belief position that No God exists - or is non theism a mindless belief held without evidence or arguments?
 
Ukisema "kwa nini " mjibu swala anatakiwa aanze na kusema "kwa sababu" sasa wewe mtaalam wa set theory unanutuma nimuulize Ishmael aniambie "kwa nini " Kiranga kakomaa na maswali yake ya kijinga ?
Kwa akili yako pungufu unafikiri Ishmael atakuaje kinachokusukuma wewe kuuliza maswali yaliyosheheni majinga majinga ?

Muulize, kwanini anatumia ignore list KAMA ANATAKA KUJIFUNZA?

The kid, Kiranga is expecting and/or looking for physical evidence of a non-physical being?

That's like expecting to find water with your metal detector.

This non theists provide no evidences, just excuses for why she shouldn't have to justify her position of 'No God exists'.

Intellectual laziness is not evidence.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi, naona unamshika pabaya huyu. Anyways. Bado hajajibu maswali yangu.

One of them is this one:
Can non theists defend their belief position that No God exists - or is non theism a mindless belief held without evidence or arguments?

Mkuu wangu usitegemee jibu toka kwa Kiranga. Ulichouliza hakipo katika Yale aliyokariri...
Sielewi anawaza nini kusema kwamba kutomwambia sababu za Mungu kuumba kwa kadri ya hitaji la Kiranga
Tukimwambia Mungu ametushirikisha katika Uumbaji wake kwa kutuma hekima na busara za namna ya kuishi katika ulimwengu ambao wapumbavu kina Kiranga wanao mapungufu wanayoyaona katika upofu wao wa kiroho yanawathibitishia kutokuwepo kwa mungu.
Ni ngumu kwa MTU mwenye busara kuwaelewa hawa jamaa na kufahamu ni shida gani inawakabili ...
 
Last edited by a moderator:
Mungu anajua kila kitu au kuna vitu hajui?

Do illogical question deserve a logical answer?

1. Kiranga anadai kuwa hakuna Mungu
2. Kiranga sasa anadai kuwa Mungu anajua kila kitu
3. Kiranga anaendela kudai kuwa Mungu kuna vitu hajui

Je, unwezaje kuuliza swali kuhusu Mungu ambaye hayupo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom