MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.
Siyo mpinzani huyu, mama angemteuwa Joyce mukya tuone jinsi ambavyo uzi ungechafuka.Huyu mama sijui kama ni mpinzani kweli?
Huyu ni CCM mwenzakeSiyo mpinzani huyu, mama angemteuwa Joyce mukya tuone jinsi ambavyo uzi ungechafuka.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wale machoko wa uvccm ndiyo waliomfanyia fujo ndiyo maana hakuna aliyechukuliwa hatu.Wale wadimi wa Bavicha wakamuombe msamaha!