Irene Uwoya

Status
Not open for further replies.
Currently Active Users Viewing This Thread: 29 (11 members and 18 guests)

??? - Uzuri wa Mke ni Urembo - Tabia baadaye - Tutarekebishana ndani-kwa-ndani ?????

kak kuna tabia zingine hazirekebishiki ndani ya ndoa hata baada ya kufa.....

1. kama demu amezoea "umalaya"/ kutoka na wanaume wengi at the same time hiyo amezoea hawezi kuacha hata ukumuoa lazima atakuwa anaruka debe kama kawa.

2. demu kama amezoea kuhongwa na kupewa pewa mahela kwa sana, na wewe unamuoa hela yenyewe ya ngama, jua atawafata tu wenye mafezwa wala hawezi kubadilika eti aanze kukupenda mwenye hela ya mawazo.

3. demu kama tabia yake ni uvivu yani kazaliwa yeye ni kukaa tu kama yai lasubiri liondolewe na kupelekwa sehemu nyingine basi hiyo ndo tabia yake kumbadilisha ni ngama.... n ther est za tabia ambazo ni hatarishi kwa afya yako zinazoweza kuku'cost kwa kuoa dem kisa sura badala ya tabia yake
 
Mwanamke ni tabia si sura!!!! Kwanza atakayethubutu kumuoa Irine Uwoya ajue anataka ndoa ya contract!!!!! Hutaweza kuvumilia tabia zake chafu kama choo cha stendi au vinginevyo nawe mume uwe na tabia kama yake. Kwanza hakuna descent man atataka kumwoa Irine Uwoya. Mwisho wa siku ataishia kuwa nyumba ndogo ya sugar daddy au ataishia kuolewa na mwanaume asiye na sifa za kuwa baba wa familia. Yetu macho. Kama unamtaka kwa short time starehe songa mbele na kujipendekeza kwake ila sijua dau lake ni kiasi gani au yeye hana kiwango??? Mastaa wengine huwa ni kwa dola tena za kilo nyingi sasa yeye sijui kima cha chini huanzia ngapi????!!!!!

Try to look for a wife who will be caring and dedicated mother for you and your children. Tofauti ha hapo unajitafutia kujichimbia kaburi au matatizo katika ndoa na uwe tayari kuishi maisha ya ndoa chungu mpaka uingie kaburini. Nakuambia hakuna pigo kubwa kama nyumbani kwako hakuna furaha, hujisikiii kurudi nyumbani baada ya shughuli za siku, unatamani uendeleaa kuwa vijiweni urudi usiku wa manane nyumbani ukajichomeke kwenye neti kimya kimya!!!! na kuamka alfajiri uwahi supu na mtori wa vijiweni!!!! Du be carefully.
Acha uwoga wa kuchukua mashori wakali.......
vicheche vingi kuku za kienyeji navyo siku hizi havishikiki kitu kama hiki nina imani nikikiweka ndani kitatulia.....ujue kukihendo tu
Namba vipi mkuu Vica?
3. demu kama tabia yake ni uvivu yani kazaliwa yeye ni kukaa tu kama yai lasubiri liondolewe na kupelekwa sehemu nyingine basi hiyo ndo tabia yake kumbadilisha ni ngama....
Mkuu vipi unataka kukibebesha ndoo ya maji kichwani kifaa kama hiki au unataka abebe kiroba cha mahindi kichwani akasage km 10? hata Mungu hatapenda utamuotesha vigimbi
 
Upuuzi mkubwa

Enzi za mwalimu haya hayakuwepo. Haikuwa rahisi kumjadili mtoto wa kike katika vyombo vya habari hata kidogo. Leo tunapoteza muda mwiiingi tu kumjadili.
WIZI MTUPU

Niwatawachapa vibao mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!A
 
Nah, PainKiller will heal you from all these pains.

Yo Yo nimemzawadia ile kitu ulopata enzi zileeee....

Ahahahahaha...aisee ile kitu inaumiza sana daaah! lazima muda wake ukiisha atahitaji painkillers.....ile kitu si mchezo aisee.....
 
tupo nje ya mada wakuu, kuna mweshimiwa aliomba namba ya huyo kigoli, kama umeshapewa namba kinyemela basi tupeane feedback, maana hayo ni mambo ya kujaribu
 
tupo nje ya mada wakuu, kuna mweshimiwa aliomba namba ya huyo kigoli, kama umeshapewa namba kinyemela basi tupeane feedback, maana hayo ni mambo ya kujaribu
nami pia niliiomba......vica kaipata kaingia nayo mitini...
 
1202109467_irenefrontwebs.jpg

Mkuu vica ukishampa habari hizo njema naomba namba yake please nina mambo nataka nitete nae faragha.

Nisaidieni wakuu, hapa ilikuwa ni tangazo la biashara gani au inatangazwa biashara ya nini?
 
demu mwenyewe mbona mmbovu tuu/

she is not DYME material hata kidogo pamoja na kujada PODA usoni still naona hana kipya...ohhh SHE IS ALSO FAT ndio nishalisema hilo

2afj444.jpg


sasa linganisheni hilo li WHALE aka IRENE na hao ma sista hapo juu amabo wamevaa tuu na kutoka bila make up wala nini

mwenye macho haambiwi tazama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom