Irene Uwoya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Irene Uwoya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vica, Jan 8, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Vica

  Vica Member

  #1
  Jan 8, 2009
  Joined: May 27, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  IRene uwoya
  Rafiki zangu mimi natafuta email au namba ya simu ya Irene uwoya tafadhari ni habar zake njema kama kuna mtu anaweza kunisaidia.Tafadhari
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wasiliana na hawa jamaa ndo wapo karibu nae sana mara kwa mara wanampigia kujua nini kimejili juu yake watakusaidia au watakupa ushiriano wa hali ya juu sana.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Mkuu vica ukishampa habari hizo njema naomba namba yake please nina mambo nataka nitete nae faragha.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jan 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na huyu anaitwa nani?
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ndio kifaa irene Uwoya
   
 6. Vica

  Vica Member

  #6
  Jan 9, 2009
  Joined: May 27, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Namba ningekupa lakini najua jkuna "Mafisi" wengi waninyatia hiyo namba mtoto wa watu asije kosa usingizi bure nadhani wamuona jinsi alivyo,ni sawa na chakula kimeshaletwa mezani bado maji ya kunawa watu waanze kula.nipe namba yako ntakutumia..
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jan 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  astaghafururahi takbiru ala walibaru!!!!!
   
 8. Vica

  Vica Member

  #8
  Jan 9, 2009
  Joined: May 27, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nipeni matokeo ya mpira nasiki tumeshafungwa na Uganda 1-0
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mie wa ukweli mazee kifaa hiki sichezi nacho makida makida sitataka mchezo ukisogea lazima ucheze na
  [​IMG]

  mkuu nitumie kwenye PM utafanya la mbolea kuna zawadi yako mkuu ila usinipe galasa

  Aaameen mkuu hapo kuna haja ya kuvaa kiatu?
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Jan 9, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hellllz naw!! Kiatu cha nini? Raw all the way......
   
 11. Vica

  Vica Member

  #11
  Jan 9, 2009
  Joined: May 27, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mbona kimya!
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mhhh!

  No comment!

  [​IMG]
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Jan 9, 2009
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wasiliana na Yo Yo ataku PM namba ya Irene....
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu na mimi nasubiri mkuu vica akipata tu anipe na mimi...iam serious in this "firm"
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Icho kiuno chake au kakazia na masponchi?
  Naona hawa ni moja kati ya watu Mungu aliwaumba siku ya kwanza kabla hajachoka.
  Akiwa mkeo headache tuu,kubali kushare!
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,718
  Trophy Points: 280
  Icho kiuno chake au kakazia na masponchi?
  Naona hawa ni moja kati ya watu Mungu aliwaumba siku ya kwanza kabla hajachoka.
  Akiwa mkeo headache tuu,kubali kushare!

  MKUU njowepo iko kiuno mungu alikiumba siku akianza kutengeneza makalio...walikuwa wale wa kwanza waliopewa bahati ya mwenyezi mungu
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mkuu vica inakuwaje tena?
  namba namba namba plz
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mkuu vica inakuwaje tena?
  namba namba namba plz
   
 19. YournameisMINE

  YournameisMINE JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 2,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 145
  hii picha ipo kwenye utamu....lol!! hicho kinaitwa choo cha kukaa!
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hihihihihi watu wametoa macho wanasubie wapate cell number......vica ukipata ni PM mkuu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...