Irene Uwoya

Status
Not open for further replies.
Wote mliochangia hapa ni mafisadi wa mapenzi, kwani mnababaika na nini? Shanga au chupi?..........Wake zenu hawana?...........Kawanunulieni ili mpate kusikia raha ya shanga. Kwanza demu mwenyewe.....................!
 
mwanamke ni tabia si sura!!!! Kwanza atakayethubutu kumuoa irine uwoya ajue anataka ndoa ya contract!!!!!
hutaweza kuvumilia tabia zake chafu kama choo cha stendi au vinginevyo nawe mume uwe na tabia kama yake. Kwanza hakuna descent man atataka kumwoa irine uwoya. Mwisho wa siku ataishia kuwa nyumba ndogo ya sugar daddy au ataishia kuolewa na mwanaume asiye na sifa za kuwa baba wa familia. Yetu macho. kama unamtaka kwa short time starehe songa mbele na kujipendekeza kwake ila sijua dau lake ni kiasi gani au yeye hana kiwango??? mastaa wengine huwa ni kwa dola tena za kilo nyingi sasa yeye sijui kima cha chini huanzia ngapi????!!!!!


are you sure about that??? Seems ulitolewa nje!!!!!
 
Mod hii mada haina maana wala mchango wowote kwa JF na umeiruhusu kwa muda sasa. Nadhani ni bora ukaifunga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom