Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Halipo umeenda NSSF ukakataliwa kuchukua? Nenda hata saizi pale mliman City utakuta foleni kibao tu ya watu wanajaza form na kuchukua pesa. Mjifunze kufuatilia mambo kwa kina kuliko kutokwa na mapovu kwa habari za kusikia vijiweni
ppf hawatoi mkuu
 
ishu sio mswada, ni kwamba sheria ilishatungwa na kusainiwa na raia mwaka 2012, ilipoanza kutekwlezwa watu wakaja juu ikatolewa agizo la kuacha hali ibaki kama zamani, ila aheria haikufutwa kwama maana nyingine wamwanza kutekeleza sheria iliyotungwa na kukamilika 2012.

Sheria sio msahafu au Biblia...Sheria zinatungwa ili ziwe na manufaa kwa wananchi....sio sheria kandamizi

Kwa hiyo inatakiwa mswada uwe wa kufanya ppf na nssf ziwe mifuko ya akiba na watu wapate Fao la kujitoa

Tatizo hawa TUCTA na CHODAWU sio kwa faida ya wafanyakazi

Wafanyakazi waamke na waunde timu ya kufuatilia na kudai haki kwa media....Media zitusaidie kuandika. Nashangaa media zina wafanyakazi na wamekaa kimya.... Huku JF hakuna Journalists?
 
Sheria sio Biblia au Msahafu....Sheria inatungwa na ikionekana ni kandamizi huwa inafutwa..

Hii sheria ni kandamizi kwa wanyonge wa Tanzania, haifai kabisa na itafutwa....

Mfanyakazi wa Shirika analipwa kama 40m wengine mpaka 15 m....kwa mwezi...Na mfanyakazi amefanya kazi miaka 2o, Fao lake ni millioni 10 mpaka 20..... Haki iko wapi?

Mswada unatungwa wa kubadilisha NSSF na PPF kuwa mifuko ya akiba na watu wapate FAO ZAO za kujitoa.

JPM anasema yeye ni mtetezi wa wanyonge..kwa hili atekeleze kwa vitendo....aagize mawaziri wake wapeleke mswada na asaini mara moja iwe sheria. Wafanyakazi wapate haki zao (FAO LA KUJITOA) -Mswada wa Mifuko ya akiba ni NSSF na PPF, sio mifuko ya pension

Kwani wakulima wana pension? eti wanawaonea wafanyakazi huruma....huu ni unafiki tu.


Hakuna mfanyakazi ana uhakika wa kufikisha umri wa miaka 60....

na wachache watakaofikisha 60, pension watapewa miaka michache sana kama 4 au 7 ...Mungu akipenda.....akifa

Mtu akistaafu ataishi wapi hata nyumba hana? hiyo pension inatosha kodi ya nyumba, matibabu, chakula?

Mikopo PPF na NSSF masharti magumu sana, almost impossible...to get loan
 
2.jpg
 
Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
Kwani ni mwanamke au mwanaume?
 
Sheria hii ni yakishennnnnizi.Tena aliyeipendekeza ili watu wazulumiwe nao ni maadui wa Mungu.Hata kama rutawaombea Mara mia.
 
Huyu dada wa SSRA hana uwezo wa kusimamia mifuko ta pension kwani sheria na kanuni za SSRA hazitekelezwi kabisa na PPF. Mfano ni pale PPF inapopinga kuwalipa wastaafu wa ATCL japo sheria na kanuni za SSRA zinaelekeza walipwe. Haa baada ya kikao cha pamoja kati ya WIZARA UJENZI, SSRA ,PPF NA MWAKILISHI WA WASTAAFU . Bado PPF hawaja lipa eti Raisi Magufuli amesema kule Arusha mifuko isilipe wastaafu wenye malalamiko .Mimi namuomba mwenyezi Mungu awashushie dhahama wale wanao kwamisha malipo ya madai ya wastaafu ATCL
 
Daaaaah!!!! Mm ndo nmechka kweli mana nmeambiwa nikae miez 6 ndo nipeleke madai yan hawa kunguni hawa..........huu ugomv wa Ngoyai na Jakaya ndo watutesa wakampa huyu burudoza hv ni vita vya panzi...........
 
Irene isaka. PhD ya huyu mdafa ni ya chupi.
Mbona hana akili huyu ? Wafanyakazi wa migodi migodi ikifungwa watasubiri hadi lini?
 
Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
Lissu anahusika nini! Ni ujinga kuzungumzia mtu badala ya jambo husika.
 
Back
Top Bottom