Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Yule mwanamke yeye anachojua ni kukopi na kupaste kutoka ulaya....eti azimio la LO halina fao la kujitoa...ukimuuliza je_hayo mafao yote yanayotolewa na hao mnatoa...atasema nini sijui.
Tukubali tu...wasomi wetu wamekosa ubunifu wa kutatua matatizo ya jamii zao...wanachojua ni kusema hata ulaya wanafanya hivi_nafikiri ndio usomi wao ulipoishia....no wonder hatuendelei.

Napendekeza hizo nyazifa za juu na nyeti zichukuliwe na watu wabunifu...sio hawa copy & paste wa ulaya
Nilimshangaa aliposema eti wanataka kuunda bima ya wakati mtu ajira yake imepotea wakati anatafuta nyingine kuwe na fao anapata, nikajiuliza anazungumzia ajira kwenye serikali gani?! Mana kila siku wimbo ni kujiajiri yeye anasema eti kijana huwezi kukaa miezi sita kabla hujapata ajira mpya, aiseee! sijui kama anazungumzia nchi hii au ni huko ulaya anakowaza hovyo kabisa.
 
Ndio aina ya wasomi tulionao...na mbaya zaidi sababu wanajua kujipendekeza wanapewa dhamana ya kuongoza mashirika nyeti...ila ubunifu ni zero...wanachojua ni copy & paste ya mambo ya ulaya...na huwa wanapewa mishahara minono hasa.
Nchi hii kuendelea itachukua muda sana.....Rais ana dhamira nzuri tu...ila watu wa kumsaidia wengi ni wavivu wa kufikiri,waoga,hawana uthubutu...na ubunifu..ni zero
 
Stu.pid you.
Kama bado mbona hilo fao halipo kwanini hawajasubiri mpaka sheria ipite ndio wasitishe...mmmh
Acha upu..uuzi wewe nyumbu.

Halipo umeenda NSSF ukakataliwa kuchukua? Nenda hata saizi pale mliman City utakuta foleni kibao tu ya watu wanajaza form na kuchukua pesa. Mjifunze kufuatilia mambo kwa kina kuliko kutokwa na mapovu kwa habari za kusikia vijiweni
 
Acha up.umbavu wako....kama mswada haujapelekwa na kuwa seria...vip mbona haujiulizi fao la kujitoa wamelitoa kabla ya sheria kupita....hauoni huo ni uizi na ukwapuaji wa nguvu unaofanywa na mifuko kwa kushirikiana na serikali yenu tukufu....mmmmh
No wonder Tz wasomi wengi ndio wanaongoza kwa kuelewa mambo kwa kina zaidi ya kukariri na kuja na solution za copy & paste kutoka ulaya kama huyo mwanamke wa jana.

Wasomi wa aina yako ni hovyo sana...ila bahati mbaya ndio wengi kwenye nyazifa nyeti sababu ya kujipendekeza...

Sielewi mapovu ya nn? mimi nimechukua pesa NSSF kinondoni last week hata hiyo miaka 55 sijafika. utapoteza nguvu zako bure kwa kusikiliza habari za vijiweni
 
Halipo umeenda NSSF ukakataliwa kuchukua? Nenda hata saizi pale mliman City utakuta foleni kibao tu ya watu wanajaza form na kuchukua pesa. Mjifunze kufuatilia mambo kwa kina kuliko kutokwa na mapovu kwa habari za kusikia vijiweni
Acha uongo..rafiki yangu kasimamishwa kazi October....kaambiwa hamna kitu...na watu wengi pia wameambiwa the same.
 
Kama hakuna fao la kujitoa, sisi tunaoweka fedha zetu huko ndio tunalitaka liwepo. What is wrong with this country?
 
Acha uongo..rafiki yangu kasimamishwa kazi October....kaambiwa hamna kitu...na watu wengi pia wameambiwa the same.

Alikua anachangia mfuko gani? Navyofahamu PPF ndo hawakua na hilo fao la kujitoa. Mie nimechukua last week NSSF kinondoni branch opposite na mliman City
 
Sielewi mapovu ya nn? mimi nimechukua pesa NSSF kinondoni last week hata hiyo miaka 55 sijafika. utapoteza nguvu zako bure kwa kusikiliza habari za vijiweni
Umechukua baada ya kuacha/kuachishwa kazi lini...hebu funguka...maake watu kila siku wanalalamika hakuna fao.
Huwa nachukia hasa kuona watu wanatetea dhuluma za haki za watu za waziwazi kama hizi....funguka watu wakuelewe .
 
Alikua anachangia mfuko gani? Navyofahamu PPF ndo hawakua na hilo fao la kujitoa. Mie nimechukua last week NSSF kinondoni branch opposite na mliman City
Alikuwa anachangia nssf.....na aliachishwa kazi mwezi wa kumi...wewe uliacha kazi lini..
 
Kama hakuna fao la kujitoa, sisi tunaoweka fedha zetu huko ndio tunalitaka liwepo. What is wrong with this country?
Hapo ndipo tatizo lilipo...watu wanakaa pale ofcn kwao Morocco...wanaamua hatima ya hela za watu kibabe....halafu wanakuja kwenye media huku wamekunja miguu kwa dharau eti tunawajali sana wafanyakazi...tunataka hizo hela wachukue wakifikisha 55 yrs.....huu ni ujambazi wa wazi kabisa
 
wewe ni muongo.. mimi nimeenda jumatatu tu nimeambiwa fao hakuna hadi ipite miezi sita

Sielewi mapovu ya nn? mimi nimechukua pesa NSSF kinondoni last week hata hiyo miaka 55 sijafika. utapoteza nguvu zako bure kwa kusikiliza habari za vijiweni
 
Hahaa wabongo tutalalamika sana, ila mwisho wa siku no action, Kwenye historia hakuna sehemu yoyote mageuzi yalifanyika baada ya watu kulalamika.
 
Hahaa wabongo tutalalamika sana, ila mwisho wa siku no action, Kwenye historia hakuna sehemu yoyote mageuzi yalifanyika baada ya watu kulalamika.
Ndio tunaanzia kwenye mitandao mkuu....taaaraatibu watu watafanya kitu ili kujiokoa...trust me.
 
Halipo umeenda NSSF ukakataliwa kuchukua? Nenda hata saizi pale mliman City utakuta foleni kibao tu ya watu wanajaza form na kuchukua pesa. Mjifunze kufuatilia mambo kwa kina kuliko kutokwa na mapovu kwa habari za kusikia vijiweni

Acha Uongo wewe binafsi nina milioni 100 huko NSSF nimeenda kufungua nimeambiwa nisubiri miezi sita, naninavyoandika hapa nina kama dakika 15 nimetoka kuongea na jamaa yangu ametoka huko NSSF juzi naye kaambiwa asubiri miezi sita ndio aende kufungu kwa kifupi huo ndio wimbo kwa sasa NSSF na PPF nenda hata leo kajifanye unataka kufungua utaambiwa hawatoa hilo fao mpaka miaka 55, Bro ukweli wa hili labda anayeujua ni JPM... Jaribu kwenda kufanya uchunguzi wa kina na si kuangalia foleni binafsi ni mhanga na ninachokuelezea ni uhalisia na kwa kweli nina uchungu maana hela yangu iliyokuwa huko ni nyingi sana.

Bro wasomi tanzania ni tatizo la matatizo ya nchi hii eti unatolea mfano ulaya?? yaani case study ni ulaya ok anyaway mstaafu wa ulaya anafananaje na mstaafu wa tanzania?? Hili Suala ni gumu bro na serikali iseme ukweli na si kutukandamiza wananchi wake kwa manufaa ya wachache... Binafsi imenifanya nichukie kila mtu katika serikali na kumuona mpumbavu maana ukweli ni kwamba serikali imejaa watu ambao hawawezi kuliokoa hili taifa na huu umasikini.. msomi bila aibu eti una fanya comparison ya ulaya na tanzania baadala ya kuangalia hali halisi ya nchi yako na watu wake...
 
Hahaa wabongo tutalalamika sana, ila mwisho wa siku no action, Kwenye historia hakuna sehemu yoyote mageuzi yalifanyika baada ya watu kulalamika.

Yah uko sahihi kabisa....
 
uyu dada na sheria kandamizi simuelewi, hivi wakati ninaangaika na kutafuta kazi serikali ilinisaidia kupata kazi? hivi wenyewe hela si wanaifanyia biashara? wanaendesha magari ya kifahari hao SSRA kwa kutumia hela zetu sisi hatupati hata ongezeko lolote , watupe hela zetu ni zetu na wala sio zao.
 
Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.

Kumbe ni mwanamke kweli, nilifikiri mwanaume akamuita mwanamke. Kwani kuna mama asiye mwanamke?
 
Back
Top Bottom