Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Radio One - Irine Isaka

Hakuna FAO La Kujitoa
Amesema PPF ilikuwa na fao la kujitoa lakini kwa sasa limesitishwa, ila NSSF kwenye mafao yao hakukuwa na fao la kujitoa kwa maana hiyo walikuwa wanafanya makosa kuwalipa watu fao hilo.
Nimeangalia hichi kipindi huyu dada simuelewi kabisa... Hela zetu bado wanatubana nazo, kwani wakinipa hela zangu siwezi kuzitunza mwenyewe?? Wangeweka option basi ya mtu kuchagua wapi atunze fedha zake, either kwenye bank account yake au otherwise. Haiwezekani nichangie niwape hela zangu hawa watu then nikitaka kuichukua wanipe masharti.Huu ni upimbi
 
....
.....hiyo ndo mitaji mtu apewe Ngawira angali ananguvu ntafunguwa biashara ntaajiri ....uzeeni ?

daahh aiseehh ....mawazo ya kimaskini siyapendi ...watu you should change the world is moving !!!
 
Mwanamke wa hovyo sana huyu....how come mswada haujapita..lakn fao wametoa.
 
Nimeangalia hichi kipindi huyu dada simuelewi kabisa... Hela zetu bado wanatubana nazo, kwani wakinipa hela zangu siwezi kuzitunza mwenyewe?? Wangeweka option basi ya mtu kuchagua wapi atunze fedha zake, either kwenye bank account yake au otherwise. Haiwezekani nichangie niwape hela zangu hawa watu then nikitaka kuichukua wanipe masharti.Huu ni upimbi
 
KIPIND MHESHIMIWA ANASEMA HAYA MASHIRIKA YAJENGE VIWANDA MLIKUWA WAPI?
Unafikiri watatoa wapi pesa za kujengea viwanda km sio kutoa za wanachama?

Kila mwisho wa mwezi wajeda wanafanya usafi, juzi juzi hapa walikuwa wanarusha denge.

SASA WW ANDAMANA UONE. USHAJIULIZA KWANN UKUTA ILIYEYUKA KM BARAFU KWENYE JUA?
Mukulu kasema wote wafanye kazi, sasa huo muda wa kuandamana unautoa wapi?
No freedom of speech
 
Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
 
Hasira za nini? Kama ni mke wako shauri yako.
 
Hii mifuko ni ushetani tu. Kwani wanashindwa nini kulipa wanachama wao wanapokosa ajira? hizo ni kama amana tu,inabidi mteja azipate pale panakuwa na uhitaji wenye sababu za msingi kama vile kukosa ajira.
 
Mbona bank wanakopesha na wateja wao wanachukua pesa wakati wowote kwanini nyie mifuko ya jamii mnashindwa wakati wateja wenu wanakuja kuchukua pesa zao kwa muda mrefu yaani mnawapangia siku za kujakuchua pesa kwa muda wa miezi 6 au na zaidi?
 
Tuliipenda wenyewe kuvimba na kupasuka ccm mbele kwa mbele.Soma namba
 
Na mtapasuka miaka hii. Kazungusheni nikono na kudeki lami huo ndio hilo FAO la kujitoa litakuwepo maana mikono bado IPO zungusheni sana na kudeki lami itakate apite fisadi wenu ndio mtafanyiwa myatakayo ushauri wa bure huo
 
Huyo unaye Mwita mwanamke ni sawa mama yako umwite mwanamke kisa siasa zenu za kipuuzi hujaelewa jambo unalopoka hata huna hifadhi yoyote ya mfuko kazi yako kelele mwambie lisu wenu akupe elimu uwelewe kazi yako huna mtizamo mrefu unafikili hapahapa.
Kwani hana Uke? au ulitaka aitwe mwanamama?
 
Na mtapasuka miaka hii. Kazungusheni nikono na kudeki lami huo ndio hilo FAO la kujitoa litakuwepo maana mikono bado IPO zungusheni sana na kudeki lami itakate apite fisadi wenu ndio mtafanyiwa myatakayo ushauri wa bure huo
mbona unaleta story za kwenye kampeni? Bado Umekariri propaganda za madalali wa siasa? Fisadi ni hao baba zako waliokula pesa za watu huko NSSF sasa wanakuja na mbinu ya kutumia pesa za watu kwa njia haramu, umelewa pesa za Escrow, kivuko, Mabehewa, ndege mpya, bomba la gesi, kiwanda hewa cha cement Lindi, mpaka umejitoa fahamu.
 
Back
Top Bottom